Jinsi Silent Ocean Ilivyoanza ( With Our CEO - Salaah S. Mohammed )

  Рет қаралды 11,497

Silent Ocean Limited

Silent Ocean Limited

Күн бұрын

Kwenye video hii, kutana na CEO/ Raisi wa Kampuni yetu, bwana, Swalah S. Mohammed (cousellorsalaah) akikuelezea jinsi alivyoweza kuona fursa mbalimbali ikiwemo fursa ya kuanzisha Cargo system (Silent Ocean Ltd.) kwa wafanyabiashara wakiTanzania wenye uwekezaji nchini China.

Пікірлер: 13
@elinaboa1870
@elinaboa1870 4 жыл бұрын
Big up broo tumekusikia na tunakufatilia the good thing is that you inspire us kufanya vizuri na vikubwa kawa wewe may the GOD bess you and be the best taking all over the africa
@elishambawala9915
@elishambawala9915 Жыл бұрын
Naomba namba yake
@yahyazahor7854
@yahyazahor7854 Жыл бұрын
Sema Nilichukuliwa na kaka nikawekwa China Kwaajili ya kusimamia Kampuni
@annahockson1427
@annahockson1427 3 жыл бұрын
Nc kk
@lujainamahir6266
@lujainamahir6266 3 жыл бұрын
Naomba kujua vipi wanatuma mizigo zanzibar
@andreakapanda1893
@andreakapanda1893 Жыл бұрын
Nina shida ya kuagiza chuma za aluminium nafanyaje? Nipo lindi
@aysha482
@aysha482 7 ай бұрын
Kwa apa dar es salaam wako wapi hao jamani ofisi zao
@aidanbugufi6200
@aidanbugufi6200 4 жыл бұрын
Nipo tz ni mtaji gani nikiwa nao naweza kabisa kuazisha biashara ya nguo mimi nipo Dodoma natamani kuanza kufanya miashara ya nguo
@sophyodago5062
@sophyodago5062 Жыл бұрын
Silent ocean hapa USA wanapatikana wapi ninataka nisafirishe mzigo wangu
@upendomwakanyamale3110
@upendomwakanyamale3110 Жыл бұрын
Ninataka kuagiza mzigo bila kufika china nafanyaje?
@jaisuriapidas9307
@jaisuriapidas9307 4 жыл бұрын
Good sana brother Allah akuongezee , ila usibisahau namm kunionyesha mchongo namba yako sina ila yangu ni hii +25769045344, napatikana bujumbura burundi, ila mm ni mtanzania nahitaji namm unifikishe china
@itel21android2
@itel21android2 4 жыл бұрын
Jaisuria Pidas tunaomba namba zao hao silent ocean Na china kubwa je ukipanda ndege unaelekea wapi
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
What Does A CEO Do?
8:33
Matterhorn Business Development
Рет қаралды 92 М.
Leaving, to find your way home | Benjamin Fernandes | TEDxEuston
18:04
SIO JAMBO GUMU KUJARIBU, ONDOA UOGA ANZA NA KIDOGO ULICHONACHO
5:36
Self made KE millionaire agrees to share how to Compound KSH 1 Million from KSH 20,000
15:32
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 90 М.
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН