AZAM IMEKUZA SOKA LA TANZANIA....... LIGI YA TANZANIA SASA INATIZAMWA AFRICA ALMOST......CONGRATULATIONS BAKHRESA GROUP OF COMPANY....
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Mpo vzriii sana mmeifanya ligi kuu ya Mpira hapa Tz kukua zaidi
@mbwanaathumani-t7w3 ай бұрын
Bakhresa group is the best in tanzania and Africa
@birianination7097 Жыл бұрын
Big up sana.
@micahwanjala5676 Жыл бұрын
Karibuni Kenya
@BakhresaGroup11 ай бұрын
BOSS❤❤❤❤❤
@NoelNgonyani Жыл бұрын
Tunahitaji hii shule..Hope mtatuwekea extended version ya haya mahojiano adimu.
@michaelmisana650 Жыл бұрын
Safi sana bakhersa kakuttoa usngizin
@rockcitynative9985 Жыл бұрын
Nilichokuja kuelewa nikuwa kumbe Star TV ndio ilikuwa TV station iliyoendelea sana kwa kipindi kile. Big up sana TV yetu wasukuma. Mwanza kwanza mengine baadaye. Midia nyingi ziliteteleka kipindi cha mwendazake aliyekuwa akiminya uhuru wa habari ilimradi tu yeye aendelee kutawala.
@BARAKAKATEMBA Жыл бұрын
Kuyumba kwa Media ni Matatizo ya Uendeshaji. Media nyingi hazina Dynamic Business Model...too traditional
@dominicodeus2557 Жыл бұрын
Mpaka sasa Kampuni ya startv ndo wana uwezo mkibwa mitambo yao sematu wasimamizi