The real meaning of being educated or intellectual 👍
@mkudetv9344 жыл бұрын
Jeff kama Jeff, hii content Kubwa mno, yaani kubwa sana, b blessed broh
@susiebabilas29714 жыл бұрын
Iko vizuri sanaaa I like the way umeelezea this kwa watu wetu wa nyumbani kabisa kina Diamond, kina Bakharesa, Mo Dewji et al
@officialprize17824 жыл бұрын
NakukubaLi sana bro.. Nimepata material mengi sanaa from you 🙏. God bLess youu
@sachyempire55624 жыл бұрын
Good content bro, mwanzoni nilikuwa sielewi ila lastly nimeelewa vibaya mno.yan kupata kitu watoto wa uswahili wanachotaka ni kama kupata good entry kwenye forex😂😂😂Give me thumb👍 kama sirjeff ameanza kukuchocha😂
@cholanambeya85964 жыл бұрын
Aminia bro God bless you for such a golden advice
@charlieshayo5464 жыл бұрын
Nikuambie kitu chaliiangu, unajua masta. Hii channel yako ni ya motooO laana 🔥🔥🔥 Keep up the good work.
@jifunzemengi16204 жыл бұрын
Safi sana kaka kwa maudhui yako na kwa kuongezea tu ni kwamba Mtu akitaka kufanya biashara ni lazima atafute soko kama mara mmoja nilimsikia mo dewj anasema kuwa wana project kama mia moja hivi itakayo fanya vizuri wanaanza kuifanyia kazi kwa hio inafanikuwa kwani inakuwa imeshafanyiwa utafiti wakutosha ahsante
@mwanaidialiame3185 ай бұрын
Napenda energy yako bro 👊
@atoshalyimo27594 жыл бұрын
Woooow ur so amazing. I like this strategy kwakweliii. Nitaanzakuifanyia kazi
@kilimanjaromeditationfrequ78714 жыл бұрын
Elimu nzuri sana Sir Jeff Dennis. Nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, hakika wewe ni darasa tosha kwetu vijana. Umeni- inspire kuanzisha channeli hii yenye content (Video yenye muziki wa kinanda na gitaa) muhimu sana kwa binadamu kuriwaza mwili na akili (relax) baada ya kuchoka na kazi, kwa wanafunzi wanaotaka ku-concentrate katika masomo yao, wafanyakazi makazini, pia kwa wale wanaopata shida wakati wa kulala ukisikiliza muziki huu tulivu usio na kelele utapata usingizi mololo. Jionee video za drone zikionesha uzuri wa dunia. Kujua zaidi, tafadhali fanya kama unabonyeza hapo kujionea mwenyewe. Waafrika tutainuana wenyewe! One Love!!
@wanderenyeura90114 жыл бұрын
Nahitaji mentorship yako bro ,nakupenda sana
@mshigilakarume44253 жыл бұрын
Good message
@ironk994 жыл бұрын
I can say you are so intelligent telling us this keeep going on I like so much your ideas bro
@jeremiahsengasu65954 жыл бұрын
Am Speechless Kwakweli, God Bless you
@ليلىفاكي4 жыл бұрын
Mungu nijalie NA mm niweze kufanikiwa
@mandyfitnesstv67384 жыл бұрын
Hongera Jeff unatoa masomo mazuri! Wale wanaopenda mazoezi pitia hapa kuna video za mazoezi ya kujenga mwili bila kwenda gym!
@benedictmacoy47984 жыл бұрын
umeaacha tu kusema kua uswahilini kuna market kubwa kuliko ushuani simply kwasababu maskini ni wengi kuliko matajiri... kwaio ukanza biashara tengeneza bidhaa yenye bei ndogo lakini iwe na thaman nzuri...
@nashirjumanne8514 жыл бұрын
Unaelewa mtaa uko vizuri, Nasi tunakuelewa ausio pa1.
@FrancisProsper-cq8vv5 ай бұрын
Broo umenenaa point man
@mahmouddadi86494 жыл бұрын
Big up boss...nice explanations with alot of vivid examples ...that's wonderful
@rubberbandman12134 жыл бұрын
Indeed
@ElimikaTz4 жыл бұрын
aiseeee nilivyoanza kusikiliza video hii nilikua sikubaliana na wewe kabisa lakini kadri nimeendelea na mifano uliyotoa, unagundua kuwa locals wana power kubwa sana.. lakini hata hivyo nadhani mwisho wa siku it comes down to target market yako ni kina nani, unaweza kuwa na biashara yako unauza bidhaa ya 500,000 kwa watu wawili tu na mwisho wa mwezi una Millioni 1. Au kuuza kwa 500 na kwa wingi ili pia upate hela hiyo hiyo. Kuna potential ya biashara kufanikiwa katika both uswahilini na pande za kishua.. personally sikuwa verified uswahilini na biashara yangu lakini mafanikio yapo kabisa. Overall nice video, it got me analyzing and thinking👏🏽👍🏽
@lelomellowtz10 ай бұрын
Proud to be Mswahili.. Thanks for this bruh. Plz keep posting new educational videos.
@paulluponya15984 жыл бұрын
brother you are intelligent
@obedmwakalonge13724 жыл бұрын
Umemsahau Talla ..yule mkopeshaji kutoka Kenya
@khairatmasoud42194 жыл бұрын
Keep up the good work bro bless up...
@missiontown54574 жыл бұрын
Kutowa Elim nikitu kizur nasisi wasikilizaji tujifunze mambo yote mazuri nakuyafanyia kazi apo utakuwa umejitendea Haki nasisi tutakulipa ww utowa hamasa kama shukran
@allyjuma18814 жыл бұрын
Jeff your great
@alexgibbe36404 жыл бұрын
Good work brother
@mihayomk86214 жыл бұрын
Safi sana bro,very very educative video!
@selemanali26382 жыл бұрын
Sir Jeff UK vzur mungu akutie nguvu uendlee kutuelmisha sana tu.
Ukielewa hivi video ya mnyabi Jeff,,utaelewa vitu vinaitwa Total available Market (TAM) na Serviceable Available Market(SAM) na Serviceable obtained Market ( SOM).content ya mkali iko poa na inazungumzia hivyo vitu vitatu.
@njololoilashikon49784 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka
@abdulhalimsadick22514 жыл бұрын
Bro thank u very much...
@godfreymwacha54354 жыл бұрын
Thank you Bro.....🙏🏿
@hludovick31074 жыл бұрын
Umeongea vizuri kuhusu singeli ila umesahau kumuongelea kicheko mtata..he was vital to the single game rise at EFM..and ruge akamnunua at the end of the day..
@kinlee80354 жыл бұрын
Broo nakubali saana kaz zakoo kama hii ni hataree saana 🔥🔥 🔥🔥 🔥
@ommyjay884 жыл бұрын
Ndio mara ya kwanza kuangalia video yako ila nimejifunza vitu vingi Allah akubariki. Hizo ndio ndoto zangu katka maisha nishangaika nchi nyingi ila bado sijafanikiwa nipo sifuri kabisa
@gospelthusiast4 жыл бұрын
Kwakweli nimeiangalia hii mara ya pili... Naonesha machalii wa uswahilini hapa wanacheka balaa... Wanafurahi woa ni key katika mafanikio ya wajasiriamali! Sir Jeff u remind me a pure fact of the 90% of business failure buy the 5th year... 42% is due to Markets issues that entrepreneurs fail to sustainably exploit the market... Ambayo almosy ndo tumeongea!!! Hii channel inatunoa sana
@Jommary4 жыл бұрын
Mara yakwanza kuwasha channel yako so nimegunduwa unamadini hadimu Mungu ukubariki akupe uwezo wakuendelea kutulisha vitamin vya ubongo
@Abasmohamed74 жыл бұрын
Umetisha bro
@jacobmoringe2344 жыл бұрын
Thanks for more knowledge and skill learned from you brother,👏👏
@wavudigital4 жыл бұрын
yet another knowledge
@frankdmushi4 жыл бұрын
Asante
@afyakwanza38104 жыл бұрын
Nakubali sana broh coz this was my dream to start
@dancechallengetv75324 жыл бұрын
Thanks for u education bro
@ayubujohnmusic37154 жыл бұрын
Ukosawa sana kaka
@dancechallengetv75324 жыл бұрын
U know too much...u a blessed
@bukuruhenry87874 жыл бұрын
Quality to the point
@rachelrachelmwita4 жыл бұрын
very well kijana nimekupata xna
@iddykirika52364 жыл бұрын
Hiii kanuni ndio iliyompa utajiri yule jamaa wa usiende kariako.. Mtu anaenda china anafyatua product za watu wa hali ya chini kabisaa😁😁.. Emeeleweka bro.. Salute
@godfreypaulo83553 жыл бұрын
Yupi uyo
@latifasheki50053 жыл бұрын
Bloo uko good Sana vip naomba unitumie namb yko kk
@richardlizomba12912 жыл бұрын
Umetishaaaaaaa sanaaaa
@alfoncemkembela76654 жыл бұрын
Good bro
@simonseyongwe4 жыл бұрын
Nimeelewa sana
@bonifacevenance30724 жыл бұрын
imekaa poa sana🤝🏻
@ibrahrashd73304 жыл бұрын
Nice one
@flackomasterbaddest41554 жыл бұрын
MAMAE HUYU JAMAA GENIUS
@wilbrodyteophano14084 жыл бұрын
Og mzeee ipo poa sana
@AntonySilvanus7 ай бұрын
Natamani kumpata mwalimu wa kunifundisha biashara kama sirjeff
@ricmalcom7144 жыл бұрын
Imekaa poa sana 👊🏽👊🏽
@kisesagerald87464 жыл бұрын
You’re so smart bro 💪🏿🙏🏽
@josephmasome4944 жыл бұрын
Nimeondoka na kitu, asante
@SunsetHunter45264 жыл бұрын
True Story Man
@jamesnassary84 жыл бұрын
Kaka mimi nimekuelewa sanaa ila ninahitaji japo. Mwanga kidogo maana nimeifwatilia forex toka sijakujua .ila nahitaji some consept of forex
@nicnonnious11394 жыл бұрын
Content sumu ikabidi ni Subscribe tu. Keep going chief
@alickhaule61762 жыл бұрын
I'm Very interested with you brother...
@dagharotv56524 жыл бұрын
Naona namba ya subscribers inakimbia mithili ya miniseconds kwenye stopwatch
@Emedroadtocanada4 жыл бұрын
nanaifanyia kaz na imejibu
@queenkelisalex15364 жыл бұрын
Hapo wasomi wa economic kama uliskia demand
@dennisdanny58184 жыл бұрын
all time rolemodel💪
@khalifasaidi4 жыл бұрын
very powerful
@willmedia59604 жыл бұрын
Hi hapa ni 80/20 rule... Minority ndio wanaInfluence majority
@kimoppa12404 жыл бұрын
GENiUS!
@moreenmido87654 жыл бұрын
How about am far and I need make home good.from Kenya❤️
@emmanuelrobina48944 жыл бұрын
Yes You can
@livingstonndosi91274 жыл бұрын
Ontario 🔥🔥🔥🙌🏾
@KaziDepartment4 жыл бұрын
Good
@originalras51974 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka
@aishajumanne26983 жыл бұрын
Nahitaji no yako ya simu tafadhali sana au office yako please🙏
@ZainabSalehe-y3z Жыл бұрын
Nimeelew kaka
@lucasmartin48804 жыл бұрын
Kaka tuombee kwenye mitandao ya simu kama voda na zingine ziwez kuungana na paypal bas bro
@tzcomputerservices4944 Жыл бұрын
umwtisha brother
@amedeo67814 жыл бұрын
THE VOLUME MUST CONFIRM THE TREND. . . we forget this too much. . .
@ibrahimsadickk56454 жыл бұрын
Nimekwelewa upovizuri
@LyonWalker_4 жыл бұрын
Hakuna siku nimegaini kitu kikubwa km Leo yaani ubalikiwe SirJeff
@ponline79944 жыл бұрын
Imekaa poa sana
@wanderenyeura90114 жыл бұрын
Nlikuwa naangalia ulivyoingiza million 100
@lifeofmrblessed4 жыл бұрын
Aaaaaah nimekuelewa kaka haipingiki hio
@hemedjackson22614 жыл бұрын
Ww hutk kua tajiri hemu wach useng mwanang
@abdallahhussein90084 жыл бұрын
Jeff, ww ni nyoka kaka Haya tufunguwe macho
@vannymnyama77384 жыл бұрын
Brooo, ulituaidii tukifika subscriber 5000 utaanza kutupa madini ya forex
@giftmtasiwa27364 жыл бұрын
Broo,naomba namba yako
@fisher44444 жыл бұрын
Umeanza kuvaa saa siku hizi?
@masoudshabani89317 ай бұрын
Puguza maelezo ni mengi sana
@dirishadogo84754 жыл бұрын
ni kama wachina walivoingia afrika na kuturahisishia mambo mengi usafiri teknolojia na kadhalika wazungu wamebaki wanatoa macho tu