Millard viziwi wanatamani uwawekee mtu wa kutafsili apo chini 🙏🏼 God bless you
@millardayoTZA5 ай бұрын
SAWA NDUGU YANGU, NIMEPOKEA MAELEKEZO
@fadhilibarnabas34385 ай бұрын
Tumelipokea hilo kaka tunalifanyia kazi Umeongozwa na Mungu❤
@mwami_the_don_5 ай бұрын
@@millardayoTZA God bless you 🙏🏼🙏🏼
@mwami_the_don_5 ай бұрын
@@fadhilibarnabas3438 🙏🏼
@mshamumachalila21385 ай бұрын
Wazo zuri kaka millard muekee hata kakitu kwa mpesa yake😂
@rm97565 ай бұрын
after 10 yrs hii interview itakuja kuzaa matajiri wengi inshaAllah
@diamondplatnumz.148kviews55 ай бұрын
Kwel kabisa
@josephkiwale3745 ай бұрын
🎉🎉🎉
@piusprojestus34375 ай бұрын
Sawa bilionare rm
@hermanurassa50875 ай бұрын
Kabisa yan nimeisikiza mwanzo mwisho
@user-oy3dg3pq2v5 ай бұрын
Inshaallah
@riddi6765 ай бұрын
I connect with this rich man, one day Millard will interview me and i will tell him do you remember mulokozi interview? That's inspiration ❤
@yuvenalalphonce59785 ай бұрын
Ww ni mtoto wa kapola bila shaka.!😂
@daisynyerere57305 ай бұрын
Same applies to me🎉
@missdija49595 ай бұрын
The guy is so humble and smart. He doesn’t brag at all with all that he have, yani hajibu swali ambalo hajaulizwa hatoki nje ya topic. Very smart anajibu vizuri sana, hatambi.. 🔥🔥🔥🔥
@songweairport76025 ай бұрын
smart brain
@joshuajustustz5 ай бұрын
Kuna Hawa wengine Sasa dah 😂
@mwalimuhakika97575 ай бұрын
My role model Bilionea Mulokozi
@kevinmary71295 ай бұрын
Msomi huyo 100%
@kevinmary71295 ай бұрын
Mashibe za billion 10 ndio hakili sio v8 , hammer gari ya shamba wewe unaliga nalo town
@mtegamelkior51935 ай бұрын
Nimependa sana maelezo au historia halisi ya huyu mpambanaji wa maisha msomi David Mulokozi. Ni funzo zuri sana kwa vijana wasomi hasa wasio na kazi. Pia nimevutiwa sana na maswali ya magumu kutafuta story ya kweli ya Milad Ayo, kwakweli ni mwandishi wa kimataifa.
@MizeKombeSuleiman-id1rp5 ай бұрын
One day i will be a very successful business woman in my country BIIDHINILLAH
@OfficialMutrahАй бұрын
Mungu akutimizie hitaji la moyo wako inshaalah
@songweairport76025 ай бұрын
@mulokozi anatufundisha jinsi ya kuwa na maono,jinsi kuyasimamia maono,kuwa na nidhamu na kila kitu unachokifanya...na kuacha ujinga ujinga... big up @millard kwa interview boraa kabisa kwa mwaka 2024
@leonardlunguya71125 ай бұрын
Exactly
@thomastemu99385 ай бұрын
Correctly broo ❤
@user-zq7gw4ik7g5 ай бұрын
Uko juu sana mungu akubaliki kwa kunifundisha jinsi ya kujituma na kuplani kazi yaani mtu achoki kukusikiliza wewe ni mlokozi wa kweli kama jina lako.
@fatimasaid94695 ай бұрын
Brother wallah kma kijana hukuelewa hiii darasa la bure . Kila siku utalia maisha magumu. Vijana wengi mb zao zinaishia kwenye upumbavu. Blessings ayo blessings Brother hizi ndio interviews bora zaid .
@edwintouches5 ай бұрын
Tajiri anasema anahitaji kuleta vijana wasomi kwenye Kampuni kwasababu anaamini wana mawazo mapya yatakayo kuza Kampuni? Yaani nikwamba tajiri yupo tayari kujifunza. Kuna kitu cha kujifunza kwa huyu mwamba! Ni mtu humble sana, pengine ndio sababu anafanikiwa sana. Bonge la Interview! 💯
@user-vt2wu6oo5y5 ай бұрын
Am happy for Mulokozi,nilimfatilia miaka minne au mitatu nyuma alihojiwa na mwandishi wa Milard Ayo aiseee Mungu ni mwema amepiga hatua za hatari zaidi.
@Ambagaye5 ай бұрын
Huyu jamaa ni mtu humble sana; ndiyo maana anafanikiwa. Anasema ukweli wote bila kumung'unya neno.
@dorothmsuya16865 ай бұрын
Yaani mwanangu Milady nakupenda sana sana. Nakumbuka ulipoanzia mpaka hapa ulipo! Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu!❤❤
@jamesdavid59245 ай бұрын
Najivunia Sanaa kuwa MATI SUPER BRAND, NAJIVUNIA KUWA MWANAFAMILIA YA MATI NI MENGI NIMEJIVUNZA , MUNGU AZIDI KUKUWEKA MD WETU, TUNAKUPENDA
@ahz69075 ай бұрын
Msimuibie tu mkafilisi kampuni 😂
@joycekalago5325 ай бұрын
Huyu baba mstaarabu sana huwezi kumjua kama hajakuelezea chochote,abarikiwe sana
@madinajamada91805 ай бұрын
Nimejifunza kitu kupitia hii story allah anipe uzima ishallah nitakuwa kama yy mungu ashindwi kitu ukimuomba.Mungu akubaliki kaka yangu muhaya mwenzangu .Asante sana Milad kwa kutuletea habali njema.❤
@renatusmakolo90235 ай бұрын
Nimeongeza lesson kwamba usikalili maisha, kuna watu wanadanganyana kwamba alie na elimu kubwa kama masters n.k hawezi kuwa tajiri. Utajiri inategemea na discipline yako, thanks @ayo TV.
@innocentmushi15505 ай бұрын
📌
@user-so3gy2io8l5 ай бұрын
Mawazo yakusema ilikufanikiwa lazima uwe freemason ni ujinga sana, hard work pays , smart mind, and intelligent
@millardayoTZA5 ай бұрын
👊🏿👊🏿👊🏿
@damariszuckschwert94895 ай бұрын
Exactly 💯
@sevenafrica5 ай бұрын
Watoto wa pili kuzaliwa wanakuwaga blessed sana aloo nani mwingine kagundua hili 🙌
@SubiraKasyupa-bd6gz5 ай бұрын
Hapana sio kweli😅
@sevenafrica5 ай бұрын
Kwel ujue fatilia kwa asilimia kubwa ni ivo
@GODFREYKALINGA-ed2qq5 ай бұрын
Kwer tuko blessed sana
@sylvesterjohn53454 ай бұрын
kama nilivo mimi mkuu umenisemea , soon b4 miaka 5 nitakuw billionaire na nitakuwa nahojiwa na millard
@vancy_crazy4 ай бұрын
Always first born & last born ndo mwisho wa matatizo
@georgebundala19155 ай бұрын
Hongera Mulokozi,uko vizuri umesheheni kuanzia elimu,akili na uwezo wa kujieleza.Una kila sababu ya kujivunia.Hongera Millard Ayo kwa interview nzuri sana.
@abdallahkwayu38365 ай бұрын
Mambo vipi brother mulokozi mim ni transport naomba kazi za kukusafirishia mzigo wako kwenda DRC duh uko vizuri Sana nimekusikiliza dah hongera Sana brother
@johndemunga29035 ай бұрын
Asante sana brother kwa bonge la interview nime jifunza kitu hapa much love from DRC🇨🇩🇨🇩
@user-br7sf6ey9t5 ай бұрын
Pia asante sana miledi 🎉🎉🎉🎉❤❤ nawewe auna kipengere umenyooooka kama mzungu mungu akukosea kukupa kipaji aseee kwenye mitandao tunapenda watusimati aidia kama papaaa mulokozi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@lunangabenjamin31215 ай бұрын
Kuzaliwa maskini sio mbaya ila kufa maskini ni zambi na ujinga wako mwenyewe.jamaa kapambana kweli,kweli.na kwepa mishale mingi.big up broo unaishi peponi kabisa.chini ya juwa yanawezekana,ila siyo yote.
@Thadeus975 ай бұрын
Duuh huyu jamaa ni Genius kabisa, 👍👍👍
@user-uz9mw1ie6z5 ай бұрын
Milionea umenikumbusha haso zng ktk kujalibu na kushindwa hd sasa nimekwama. You have inspired me bro
@user-wk1ix1gm1p5 ай бұрын
Nimejifunza vitu vingi sana , kwanza , uamijifu , watu wa kushirikiana nao ambao hawaoni leo wanaona mbali zaidi , bidii pia , hongera sana kaka
@lazaromaganga15775 ай бұрын
Sijajutia bando langu kwa nice interview hii Big up Auo TV na uthubutu wa mwamba anaeojiwa hakika ukiwa na malengo mazuri na ukiyafanyia kazi basi Mungu awezi kukuacha.
@kagenzikanala1095 ай бұрын
Best interview... Best representer Maswali mazuri Majibu mazuri Naam!.... Mulokozi anafanya vitu baada yakifanyia upelelezi Hapoo.... ninamadini yangu nayahifadhi ✊ MILLARD ishi sana brother!!.....
@millardayoTZA5 ай бұрын
ASANTE SANA KAGENZI 👊🏿👊🏿
@Ishengoma15 ай бұрын
Hammer ni kazi ya shambani. Damu ya kihaya hii😂😂😂😂
@franklinisaya47965 ай бұрын
Ndugu yako si umemuona😅😅😅
@user-br7sf6ey9t5 ай бұрын
Acha kujipangusa mauwa kichwani mulokozi izonineeema mungu Ana mwagilia ushatuokoa tayari jinalako mulokozi nijina lauokovu tayari ushatuokoa aseeee wewe niwetu broo 😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ mungu akutunze una ulooo moyoni mwako yan mimi umenikopa akili tayari 2024 sitakiwi kuferi nilikuwa naferi sababu sina marifa spirite
@millardayoTZA5 ай бұрын
😅😅 AU SIO
@laurentraphael54705 ай бұрын
Biashara mtu mwenyewe, siku hizi hakuna mwenye uchungu na biashara ya ya mtu ila mtu mwenyewe..MD maelezo yamenyooka sana.
@bilid41285 ай бұрын
Good ,nimejifunza mengi ,Asante sana kwa exclusive hii
@Bobhov5 ай бұрын
Watu wengi sio waaminifu bora kusimamia mradi wako mwenyew, Thanks for this point🎉
@RATELFX5 ай бұрын
Mawazo positive kama haya utia chachu ya mafanikio big up Millard
@RoncyMroki8 күн бұрын
Aiseee nimekua kiakili na kifkra kupitia huyu Brother,, mimi nimejikita kwenye kilimo ingawa ni mwanamke ila nijifunza pakubwa sana, mungu awabariki wote🙏🙏🙏
@geofreysadok48235 ай бұрын
Dakika ya 10 hapo imesikika sauti ya farasi ,daaaah hadi jamaa amesmile😅 namim huku nimejikuta nasmile tu maisha haya 😂
Du, I`m a man of 59yrs, but I liked the way how this man passed through, he is real fighter,I wish, if possible to meet with him!
@devondonald4215 ай бұрын
Hahahah..."am man of 59".
@kevinmary71295 ай бұрын
Jiajili sasa na wewe mana 60 years sio mchezo
@beatrice47805 ай бұрын
Asa unamcheka nini? It's never too late
@redemptervictor50065 ай бұрын
@@devondonald421fatilia historia ya mmiliki wa migahawa ya KFC. Utaona umri ni namba ndugu yangu
@janethmutoka5 ай бұрын
Inspiring wale tunaotegemewa na familia hakuna kukata tamaaa God is always Good🥰
@millardayoTZA5 ай бұрын
BLESSINGS JANETH !! MPAKA MWISHO
@machakuroger70685 ай бұрын
Always God is good
@godfreywilliam96735 ай бұрын
Hakika nitapambana hadi mwisho
@jacksonrusanyu55215 ай бұрын
Brother Millard Maswali unayouliza yanaonesha kwa uwazi sana jinsi ulivyojitoa kwa ajili ya wengine - kwakweli umetujali sana vijana kwani sio maswali marahisi kumuuliza mtu. Be Blessed Brother na Bwana akuinue zaidi.
@millardayoTZA5 ай бұрын
AMEN, ASANTE SANA JACKSON
@amanimanase87985 ай бұрын
My brother millard uyu jamaa ananihamasisha sana kumbe maisha yanawezekana
@millardayoTZA5 ай бұрын
KABISA NDUGU YANGU 👊🏿👊🏿 PAMBANA HADI PUMZI YA MWISHO
@faidhamyovela1795 ай бұрын
Inatakiwa uwe siriaz usiyumbishwe na mtu sio mke wala bab wal mam inatakiwa uzibe sikio 😂😂
@ZuwenaSinde-hj9qg5 ай бұрын
Ndo maana yake
@JacksonKanzira-wp3wt5 ай бұрын
Hapa nimejifunza kuwa katika maisha inabidi uwe mvumilivu ili kufikia malengo yako
@DpN-rk8xz5 ай бұрын
Kuna idea ni nzuri nikija natamani niuone musika Mungu hakubariki unawapa vijana wengiwasiwe wavivu
@brightnjau6515 ай бұрын
Huyu Mulokozi is super smart na mfano mzuri kwa jamii nzima ya Afrika, open na open mimded hafichi kitu
@joshuamuro94945 ай бұрын
Kbsaa yupo wazi sanaaa
@christopherwalalaze3 ай бұрын
Hongera kwako Mlokozi, kwanza huna dharau bro umelonga vyema , Mungu aibariki kazi ya mikono Yako Amen
@francismollel84345 ай бұрын
This guy is smart and humble. He has zero Tz mentality
@DennisDidas5 ай бұрын
ili uwe tofauti lazima uwe tofauti na wengine maamuzi ni ya mtu binafsi. Yeye ameamua kuwa tofauti na wengine ndio maana kafika hapo alipo, kwenye jamii ya kitanzania ukiwa tofauti utahusishwa na mambo mengi sana na kufikiriwa tofauti.
@legacytrainingservices2 ай бұрын
Then he is very positive
@danielmakelemo23955 ай бұрын
Interview imekaa vizuri,tunajifunza mambo makubwa hakuna kukata tamaa
@rithadonatus81105 ай бұрын
Ila mulokozi umesema ukweli kwakweli kama umeanza na mtaji wa million 20 .. vizuri sana
@user-uo8xw9kr4b5 ай бұрын
Ni kweli wengne anasema lak 5 2
@amonywilliams5 ай бұрын
Ayo tv baada ya Mulokozi mm Ndye bilionea naefata karbuni San kwa interview
@millardayoTZA5 ай бұрын
HHAHAHHA 👊🏿👊🏿
@damariszuckschwert94895 ай бұрын
Amen😅
@ahz69075 ай бұрын
Picha linaanza tuonyeshe meza ya milioni 20 😂
@liliangregory30675 ай бұрын
Very good to learn, Mungu amlinde tuendelee kujifunza
@shabanimzamilu86285 ай бұрын
Hongera sana ,MILAD FANYA MPANGO TUPATE EPISODE NYINGINE KWA HUYO JAMAA ,TUZIDI KUJIFUNZA , UMEHOJI viziri sana big up
@kekiplus1andonly5 ай бұрын
The guy is very humble mashaAllah 🙏🙏🙏🙏
@abibumbota51605 ай бұрын
Mwamba anapambana
@neemaneychricious64933 ай бұрын
Hii interview ni ya kipekee honger milard na kwa mulokoz nimechukua madin kidg hapo daaah
@fridakitemangu34465 ай бұрын
Kwa kweli haya mahojiano ni mazuri yanafundisha jamii na kunamafunzo ndani yake kwa asilimia zote kweli mimi kama mimi napata madini ,hongera sana brother millard ayo kwa kazi nzuri mungu akulinde
@hermanurassa50875 ай бұрын
Mm nimeipenda snaaaa aiseeee
@faidhamyovela1795 ай бұрын
Bora kwa mar ya kwanza amesem point nilianz,na mtaji wa 20million mamb ya kusem nilianza,na kuuza karang mtuache kwakwel mulokoz nimempenda😂😂
@hassanovajunior69725 ай бұрын
Bwanaweee😅😅😅😅😅😅😅
@millardayoTZA5 ай бұрын
😀 AU SIO
@DativaMbowe15 күн бұрын
😂😂😂
@user-ed1tm5re4j5 ай бұрын
Wakat unawaza upate milion ununue uwanja mwenzako anawaza hyo milion aendelezee bishara big point
@user-nq4md3sj6d5 ай бұрын
ebana eee!! leo uwanja wa comment ndio nimeufungua, sasa kama umependa hii interview ya MULOKOZ gonga like 👉
@millardayoTZA5 ай бұрын
pamoja sana NQ
@imka28205 ай бұрын
Naomba maosiano na wewe kaka mollardayotza kama inawezika from comorien🇰🇲 nayechi 🇫🇷
@lameckmndeme19695 ай бұрын
@millardayo 🔥🔥
@jacquilenemeiseyeki5 ай бұрын
@@millardayoTZA😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@jacquilenemeiseyeki5 ай бұрын
1:37 1:41
@bobwhite92525 ай бұрын
The guy is doing what i dream of.
@kadivanoah17535 ай бұрын
Very Inspiring, Wonderful interview Millardayo
@user-fy5xl7ec2q5 ай бұрын
Kaka millad upo vizuri kaka tunaitaji madini kama hayo sio mastaa wa bongo
@FransiskaJohn-fq1nf3 ай бұрын
Jamani tukifunze kushukuru kwa kidogo tulichojaliwa , huyu kaka mulokozi pamoja na kulipwa laki moja na point kipindi hicho lakini alishukuru hakulalamika 🙏
@bikoolaizer27375 ай бұрын
Mwamba ana madini sana 🧠🧠🧠
@joshuajustustz5 ай бұрын
Congrats Millard, nimependa jinsi unavyouliza maswali. Picha linaanza dak ya 5 Swali: Ulifaulu Form 4 kwa kiwango gani? Ivi kweli siku ukija kuni interview utaniuliza ulipata division ngapi form IV😂? Dak ya 13 Swali: Uko na mama wa mtoto wa kwanza?? Hapa angekuwa presenter mwingine angehoji kwa undani zaidi😂😂 mapaparaz. Kwenye Dak 49 amesema amawaeeka partners ambao ni share holders 2 mtoto wake wa kwanza wa kike pamoja na mama yake mzazi... Kwanini hakumuweka mke wake? Kuna kitu cha kujifuza hapo. Wife ana miradi yake mingine na hafatiliwi na mumewe. Daah noma sana. Bigup wajina Mr Mulokozi . Big up Millard Ayo Interview iko poa sana nimefatilia mwa mwi ❤❤🎉
@millardayoTZA5 ай бұрын
HAAHAHHAHA PAMOJA SANA JOSHUA
@abdilahikimuja57775 ай бұрын
Sa à saa and
@lidyakitegwe88515 ай бұрын
P😂
@Excellent1Michael5 ай бұрын
Watu wa online media na utube channels wachukue madini kwa millard ayo jinsi ya kufanya interview. Huyu jamaa kahojiwa na media nyingi, ila hakuna hata moja ambayo unapata mtiririko mzuri wa maisha na kumjua mtu na mambo yake .. nyingi ni maswali tu ambayo hayana mpangilio mzuri...kudos Millard 👍🏿👏🏿
@millardayoTZA5 ай бұрын
ASANTE SANA MICHAEL
@josephmetu71915 ай бұрын
Great intensive and inspiration interview be blessed 🙏🇰🇪
@danielfesto66215 ай бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa Sana big up brother utafika mbali zaidi ya apo
@robertkimaryo71785 ай бұрын
Huyu jamaa ana fanikiwa sababu yupo honest sana na yupo wazi kuelezea historia yake bila kuficha kitu. Mtaji mkubwa slionao ni uaminifu. Miliard kama kawaida…, umeuliza maswali muhimu sana. Shukrani sana !
@user-br7sf6ey9t5 ай бұрын
🙏🙏🙏💯💯💯💯💯💯💯🇹🇿 apo ndipo tunafer vijana mtu anaitaji apande alaka nikweri kabisa yn umepiga pointi tupu🎉🎉 aseee wewe nimtu muim kwangu nitakuja babati nione unipe aidia
@josephatjonathan40935 ай бұрын
Great interview and inspiration
@deoluma17065 ай бұрын
Kumbe inawezekana? Jamaa kanishawish sana. ahsante Millard kwa mhojiano
@selinawayimba2505 ай бұрын
Aiseeee, when the Best interviewer meets the right interviewee Hongereni
@millardayoTZA5 ай бұрын
THANKS SELINA !! MUCHLOVE
@cosmasjoel63104 ай бұрын
Sure mkuu. Hata haichoshi
@KS-iw7qv5 ай бұрын
MILARD UNAWAFUNDISHA WENGI.. NDIO MAANA MUNGU PIA ANAKUINUA.... UPO SERIOUS NA KAZI YAKO...... BIG UP.... BONGE LA INTERVIEW
@user-wh7gj9ug9s5 ай бұрын
Tajiri wa haki utamuona tu maisha yake ni mafanikio ya hatua kwa hatua nyinyi mnaotegemea uchawi amuwezi kutuelezea chochote kuhusu utajiri wenu
@user-rw1qg4gn5u5 ай бұрын
Wanaanzia wap sasa😂
@user-wh7gj9ug9s5 ай бұрын
@@user-rw1qg4gn5u msikilize utajua alipoanzia
@wema36195 ай бұрын
Niitien Hao Wanaojiita Master Wenu Uko Tz Wakihojiwa Viinglishi Kibao Wakati Wakikutana Na Wadhungu You Know You Know Nyingii😏MmeMuona Mulokizi Amejua Interview Ni Yakiswahili Na Kaienzi Lugha Vizuri Kabsaa Na Nimuinglish Huyu Amkjaa Japan Ambako Wanatunga Makamusi YaVingiilishi👏
@fathiyahmuzney73675 ай бұрын
Kwel kabisa ingekua kina fulan u know u know km zote😂😂😂
@hassanovajunior69725 ай бұрын
So inspiring,the interview is fully packages yani imeshiba kuna madini yakutosha aisee big up sana my brother from another mother Millard Ayo kwa kutuletea hiki kichwa kilicho sheheni madini👏👏👏👏👏👏👍
@millardayoTZA5 ай бұрын
SHUKRANI SANA HASSAN
@RedmiPhone-ri2xt5 ай бұрын
❤
@lodrickmwambene1335 ай бұрын
Hawa ndio watu wanatakiwa kuhelimisha vijana jinsi ya kuwa wawekezaji
Kwa hapa sijaona mtangazaji Bora Kama milladi trust me
@wenceslauskubezya5 ай бұрын
Jabil saleh nae yupo nondo sana
@millardayoTZA5 ай бұрын
ASANTE SANA MSHUTA 🙏🏿👊🏿
@beatricemollel68985 ай бұрын
This interview is so inspiring u killed it MILLARD. Ua one good interviewer
@millardayoTZA5 ай бұрын
ASANTE SANA BEATRICE, MUCH LOVE 🫶🏿🫶
@FilbertHabashi-zn1qu5 ай бұрын
@@millardayoTZA Milard Ayo, wish one day to meet you brother. Ur very potential in my inspiration.
@patientlazaro69305 ай бұрын
Facts. Mulokozi nimemuelewa sana. Interview iko poa sana. Congrats @millard
@pinielalphayo5 ай бұрын
Best interview ever
@MoringiElsa5 ай бұрын
Vijana mjifunze hapo mnamuona mwenzenu katoboa kwa kuwa na nidhamu pamoja na kutokujiona msomi akawa anafanya kazi local.oneni na jinsi alivyoficha elimu yake aisee ,Mulokozi pokea maua Yako brother 🎉
@user-it7ih1it3m5 ай бұрын
Wewe umeshatoboa?
@jonasntaguzwa63935 ай бұрын
We mzee?
@Zubaiba19 күн бұрын
Hongera sana kk yng, mungu azidi kukufugulia riziki Mara elfu
@mdouharoon665 ай бұрын
Millard ayo bro keep it up hivi ulisomea wapi maswali yamenyooka sana asee ila vijana tujitumeni sana kila kitu kinawezekana god bless u broo
@leonardjohn81965 ай бұрын
Asante sana Billionea Mulokozi Mungu akubari. Kuna kitu kikubwa sana tumejifunza
@KS-iw7qv5 ай бұрын
Good job Milard.... wangekuwa.... wengine wangehoji ujinga ujinga... Thus y AYO TV is on the top..... INTERVIEW YA MAANA...
@millardayoTZA5 ай бұрын
ASANTE SANA KS !! 🙏🏿
@athumanimapande83945 ай бұрын
Millard ayo umeamua kuziua interview zote zilizowahi kufanyika katika nchi iih na ni ya karne sababu iih interview inadarasa kubwa sana. Alafu bilionea Mulokozi yupo humble sana anatoa madini mengi bila kuhofia kwamba kupitia interview iih inazalisha watu wengi desine yake..
@samniza17635 ай бұрын
I love the Hammer, inafaa sana kwa Barabara za bongo.
@PetyJonasАй бұрын
Millard you're the best presenter in the world wide ♥️♥️ unauliza vzr adi msikilizaji anafrai
@NgengeMkeni-uo5hq5 ай бұрын
Interview nzuri, sema maswali yamekuwa random sana. Hapakuwa na mlolongo mzuri wa mahojiano. Mara tunaenda mbele mara tunarudi nyuma. Pia maswali ya miaka yamekuwa mengi utadhani anahojiwa na RITA, come on Millard... Natamani Mulokozi aje afanyiwe interview nyingine na Salama, there is alot to learn from this guy.
@wenceslauskubezya5 ай бұрын
Au jabil saleh mzee kuvifact
@paulmushi24285 ай бұрын
Lakini si umeelewa? Kwani wewe Kila kitu chako Huwa kinaenda kama ulivyopanga?
@NgengeMkeni-uo5hq5 ай бұрын
@@paulmushi2428 Ndio maana kukawa na uwanja wa maoni kama huu. Nimeitumia haki yangu ya msingi kutoa maoni yangu inatosha.
@AllyGibu-cz2vo4 ай бұрын
Yaani wewe jamaa umenichekesha sana 😂😂😂😂
@bernardusrugaimukamu28442 ай бұрын
Nikweli kuna kwenda mbele na kurudi nyuma imejitokeza . Hii inaweza kuonekana kama ina kera kidogo lakini kwa upande mwingine inasaidia kuona UKWELI wa mhojiwa. Akiwa ni mkweli jibu la awali na la mwisho vinafafana, akiwa muongo vitakinzana. Kwa sehemu kubwa maswali yamejirudia na MAJIBU hayajakinzana = UKWELI umeelezwa. Hii pia inasaidia kukazia na kufanya mtazamaji naye asichoshwe na mahojiano, Pale Ayo anaposema turudi nyuma kidogo, ubongo unashtuka kidogo na kuwaza anarudi kwenye point ipi? Unakuwa active. Tena aya twendelee.....ubongo unashtuka tena kuwaza uliishia wapi. Mwisho unafika kila kitu kinakumbukwa vizuri. Siyo mbaya sana.....iko balanced
@Supershopdubai-ck8td5 ай бұрын
Good job kazinzuli nimependa from 🇧🇮🙏
@zawadimbacho88905 ай бұрын
Opportunity ya Malawi naioba Mzee wangu nikapige KAZI Millard Ayo naomba namba za Mzee mulokoz tupige KAZI pamoja kwa kweli
@witnessmallya51145 ай бұрын
The man is very humble and transparent! I gained great Courage 💪💪
@Coachsamwel5 ай бұрын
Nimejifunza sana kuhusu huyu Mkurugenzi David Mulokozi.... as a business builder also nitajitahidi mno kustand tall Kuhusu changamoto za partnership ni balaa kama alivyosema... i have failed a lot walai.. watu hawana cha kupoteza.. nimejifunza sana kuhusu umuhimu wa kufanya kazi na watu wenye maono Barikiwa sana CEO & Tajiri David... Hongera pia kaka Millard kwa kutuletea transformational contents namna hii
@revocatusmishelyludovick5 ай бұрын
Nimependa zaidi namna Millard amezidi kuuliza Kuhusu changamoto kwenye "Partnership za biashara" nimejifunza kitu. Ahsante Millard kwa kuuliza haya maswali kwa niaba yetu, ahsante Mulokozi kwa kufunguka.
@millardayoTZA5 ай бұрын
ASANTE SANA REVOCATUS, TUKO PAMOJA SANA
@jeaninekabano91905 ай бұрын
Wow Mungu akukumbatie mwanangu hongera sana ninakuomba kama utaweza unisaidie angalau niezeke nyumba yangu ambayo nimeshindwa kuimalizia kutokana na kuumwa asante sana❤
@dayana5513story5 ай бұрын
March people 🙌 wako vyema sana congratulations bro
@noelngereja89715 ай бұрын
Ahsante sana kaka Millad Ayo..hii imetufungua akil,sio muhim kujenga kwanza ndo badae ufungue biashara..nimejifunza namna ya kusave pesa na kupanga mikakati wakati nunapesa yakutosha
@rosehaule67655 ай бұрын
Mungu nisahidie na.mm nipate uwigo mkubwa wa biashara nimependa.sana kaka.ongera sana Mungu ni mwema ongera miladiayo ❤