Nimefundishwa,nikaeleweshwa,nikashika somo na nainena kila asubuhi mchana hadi jioni na linafanya kazi kweli kwa maisha yangu.Baraka tele Apostle.
@elishapeterbalele38793 ай бұрын
Amen Apostle kwa kweli hata leo nimejua kumbe tunakosa Amani sababu ya ukuta na viambaza vya nguvu za giza....hakika leo kile kiambaza kilichokuwa kinanitenga na ndugu zangu, na kaka yangu mkubwa...hakika umetusaidia sana hata katika level ya kanisa tunakuwa mbali kiroho hata ki-utendaji kama watenda kazi sababu ya kiambaza....sasa nakiri ya kwamba hakutakuwa na kiambaza tena kwa jina la YESU KRISTO katika watu wa MUNGU...na mishale ya adui imeisha...maboma yote yamekwisha fanywa magofu kwa jina la YESU KRISTO.
@UplifitingАй бұрын
Mtumishi umeniona kabisa, hali yangu ndivyo ilivyo! Mungu azidishe Baraka ndani ya huduma yako! Tunakuombea!❤❤❤🙏🙏🙏
@AAoo-c8f2 ай бұрын
Amen 🙏🙏 man of God 🙏 kupitia haya mafunzo i feel like katika ulimwengu wa kiroho kuna vitu vimefunguliwa barikiwa tu sana i wish ningejua hii channel mapema ningekua mbali nmekuja leo but I feel the presence of God 🙏 shalom more years man of God 🙏
@ireneawuoti1472 ай бұрын
Mungu akubariki siku zote Apostle
@wesongamildred56182 ай бұрын
Amen I receive and believe in Jesus Christ Mighty Name Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🎉🎉
@justinenjau79363 ай бұрын
Asante sana Apostle kwa ujumbe huu wa kubadili maisha yetu!
@edwardmathewmhone3 ай бұрын
Glorious 🙌 Asante Mtume kwa mafundisho haya. We are blessed 🙏
@mountrungweitc65703 ай бұрын
🙌🙌🙌 Asante mtume. Learning from the best apostle ever. Be blessed man of God. 🙏
@mcjackpettydady94353 ай бұрын
Ameen ameen . Apostle nakufuatilia sana mafundisjo yako . Nipo KIBONDO KIGOMA. I Wish Mungu akupe kibali uje huku KIBONDO
@pastoryshalom64773 ай бұрын
Ubarikiwe sana Chief kwa mafundisho mazuri kweli hakika Bwana kupitia kwako ametufunulia vingi ishi sana
@jefwakalama43363 ай бұрын
Ooooh, Glory to GOD, mutumishi kwa mahubiri yko yamekuwa musaada sana huwa nakufatilia, sana , Emmanuel Jefwa kutk Lamu Kenya,
@FaithMogitu-vj4sd3 ай бұрын
Ameeeen mungu azidi kukubariki sana mtumishi wa mungu nabarikiwa sana na mahubili yako sana
@GeogreAlex2 ай бұрын
Nimekwelewa sana mtume
@rumariletimba75853 ай бұрын
Amen, Mungu akuinuwe mtumishi wa Mungu
@winniembula3923 ай бұрын
Watching from Kenya....
@ZabMan-w5u3 ай бұрын
Good teachings, watching from Kenya
@RobertMushi-ym9me3 ай бұрын
Amen Apostle
@nelsonmtui94253 ай бұрын
Amen..kuta zimebomoka kwa jina la yesu
@renaldaalbert49303 ай бұрын
Amen Apostle asante kwa soma Zuri
@fabiankinza3 ай бұрын
Amen ,,we are learning apostle
@selemanimwanamulenda46553 ай бұрын
amin
@erickiogora21103 ай бұрын
Amen apostle very powerful
@AlexFrancis-u3k2 ай бұрын
Asnt sana apost mtalemwa
@TulinagweAndulile-hp6ct2 ай бұрын
Aminaaaaaa 🙏
@SharonRehema-s2u3 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@sarahfelician15503 ай бұрын
Pawerfull 🔥🔥🔥
@hadiyajuma39742 ай бұрын
Maneno yote niyakweli mchungaji mungu akubariki mimi ni Muslim lakini maneno yako nayakubali kweli nakupta niko Uk
@annamutie-w9j3 ай бұрын
Al lord hear my prayer Amen and Amen
@morespartagwireyi36893 ай бұрын
Asnteni saana Baba ninaimani kuta zitabomoka katika jina la yesu
@TulinagweAndulile-hp6ct2 ай бұрын
Aminaaaaaa
@esthermasudy84153 ай бұрын
Ahsante Yesu kuta na vikwazo vimebomoka kwa jina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai. Amina.
@calvinchazzy54833 ай бұрын
Powerful Amen
@lostanguvila77613 ай бұрын
ameen
@VictoriaMwombeki3 ай бұрын
Kila ukuta wavikwzo ktk maisha yangu ninvunja kwa jina la Yesu,.
@LucyRotente3 ай бұрын
Kuta zimeanguka in Jesus Name🙏
@SharonRehema-s2u3 ай бұрын
Bomoka kw jina la yesu
@joachimisack5834Ай бұрын
Something went wrong that is why we do not progress in life, Jesus let be known today your the master of our progress
@gitongatitus15532 ай бұрын
Ukuta or wall is the God's knowledge that had been controlling humanities's life component. For not to understand his real origin is from Life who is Jesus christ. According to the book of John chapter 6:35-57. And it is Jesus christ only who has got mandate to give humanities Life's knowledge. That constitute the act of breaking the wall. That is God's knowledge that bound or prohibits humanities,'s life. For not to reach his origin that is to understand they had originated from Life. Who is Jesus christ the true God in the physical body. According to the book of John chapter 17:2-3.