Aposte nakuelewa sana sana kupita maelezo Mwenyezi MNGU akubariki sana natama hata siku moja nikutane naww nakuomba kama itakupendeza ujekutuhubiria hata huku Zanzibar baba aposte MNGU akubariki sana katika jina Bora la YESU 🤲🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@frankstarstz4708 ай бұрын
Ahsante mwenyezi MUNGU Kwaajili ya mtumishi wako na ahsate kwaneno hili,, hakika nineno lauzima na nikwaneema yakotu; ahsante yesu
@jeaninekabano91902 жыл бұрын
Shalom huwezi kuelewa ninavyo penda mafundisho Yako najifunza KILA Siku nakupenda sana napona KILA Siku MUNGU azidi kukutunza Mtumishi WA MUNGU ♥️
@MCNgakungaJunior2 жыл бұрын
Apostle ubarikiwe sana ! Kwa mafundisho haya naamini utafika mbali zaidi. Ni mwalimu Mzuri.
@jamesdioniz48602 жыл бұрын
Kweli kabisa umenena vema Chief Apostle
@stellahokworo65612 жыл бұрын
Amen glory to Jesus am blessed with the sermon you too be blessed Man of God
@preciousdelice89882 жыл бұрын
Amen🙏
@chrispinusowino51392 жыл бұрын
Amen ..apostle ubarikiwe nakufuatilia nikiwa kenya
@sarahwawuda51642 жыл бұрын
Apostle nimekuelewa sana Mungu akubariki. Nimekumbuka nimepitia hili mtoto wangu aliugua muda mrefu sana kuna siku nikaulizwa mbona umeomba sana huyo Mungu wako hajamponya mtoto, nililia sana tena sana siku hiyo nikamwambia Mungu ukimponya mtto sawa usipomponya sawa wewe utabaki kuwa Mungu wangu.baada ya mwezi mtto akaanza kupona hadi sasa mzima.thanks Apostle
@vmahenge82 жыл бұрын
Asante apostle Bwana akubariki na akuzidishie kukupaka mafuta kwa ajili ya injili
@MARBEH_DOXA2 жыл бұрын
Asante Apostle.... This is my personal message and i have received in Jesus Name. It is My time God is revealing himself in My Life. Thank you🙌🙌🙌. God bless you🙏💯
@suzzyjohn62672 жыл бұрын
Amen Apostle...Mungu akubariki 🙌🏽
@rachelshayo6625 Жыл бұрын
Very true apostle ,Hili swali linakeraa,mbona hapigi hatua,mbona hatuoni akifanikiwa na anaenda kanisani kila siku ,Jesus
@alicekalemela74352 жыл бұрын
Nimechekelewa sana ata juzi nimeota watu wananichekelea. Baada ya kuchekelewa kwenye ndoto nikakuona apostle ukinishika mkono....sitaki kusema hapa Ila kilichoendelea Kati yangu na we , the deal was sealed...sitaongea hapa....Hili fundisho Ni sawa na ndoto yangu...Mungu ameinuka kwenye kiti chake Cha enzi na kutazama...haitakawia haitachukua mda. God is manifesting in my situation amen.
@esthercharles22102 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana Apostle
@GetrudaparessoParesso Жыл бұрын
Kanuni ya mungu ni nzuri
@jossykemu7552 жыл бұрын
Nice preachings am blessed
@faustinriziki67872 жыл бұрын
AMEN 🙏🙏🙏
@farajamkuchu84582 жыл бұрын
Amen amen amen napokea apostle
@pquimdebecare9622 жыл бұрын
Mungu amesha nifanyia na kunipatia mengi tu na mengine ijapokuwa sjamuomba lakini amenibariki nashukuru na kumpraise kwa kusema HALLELUJAH/over with Mungu yupo ktk Haki na Stahiki tokana na agano lake.....
@sarahwawuda51642 жыл бұрын
Amen it's my time in JESUS name
@elishaakongwa67902 жыл бұрын
Amen sanaaaaa n'a farijika sanaa
@zawadijoel75162 жыл бұрын
Amina, asante Apostle. ubarikiwe na bwana
@benchagula20662 жыл бұрын
Amen I receive
@careeninnocent7382 жыл бұрын
Uwii nishapita hichi kipindi nikigumu mno asante mtumishi 🙏🙏🙏
@OmanOman-yn2zj2 жыл бұрын
Ameeen ameeeeen and ameeeeen 🛐🙏🙏
@c.k.l38252 жыл бұрын
Apostle 😭😭😭. Nimepokea somo Kwa machozi mengi, coz nipo katika inchi yenye mafuno mengi ya ufalme wa kristo. Ila hali ya utumwa wangu hainiruhusu kumtaja. Nitaulizwa mungu wangu Yuko wapi?. Na hata nitapoteza maisha. Naomba utuombee wale tuko katika ponde la uvuli wa Mauti. Bwana awe nasi na ajitukuze ndani mwetu tulio wanyonge katikati ya wenye nguvu. Atupikanie na kutupa ushindi
@sallygrace14952 жыл бұрын
I thank you Lord God for everything you have done in my life, I give you all praise, honor and honour to your holy name. Hallelujah 🙏
@annehaysanday92142 жыл бұрын
Nakuelewaga apostle na napenda Mungu anavyokutumia
@careeninnocent7382 жыл бұрын
😭😭😭nishambiwa mbona Mungu wako hakusaidii siumeokoka wewe nilijibu atanisaidia tu😭
@franciscambatha43142 жыл бұрын
Amen
@episonfelician76702 жыл бұрын
Amen Napokea na iwe hivyo najiungamanisha na ibda Hii Barikiwa Sana Mtumishi
@AgnessNyansambo Жыл бұрын
Uuuuuuuuuujesus the time us now for sucssess❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@kknlghfblblanakere59462 жыл бұрын
Amen shida ilitangulia lakni imeisha leo halelluyah
@Grace-ts2rf2 жыл бұрын
hhhh asante sana mchungaji nimeceka sana mwenyewe kwenye simu yangu
@aidanongole93412 жыл бұрын
AMEN
@benardwankoka34472 жыл бұрын
Nakupata mkuu
@MCNgakungaJunior2 жыл бұрын
😂 Si mchezo apostle! Maji unaweza ita mma.
@Mama-A2 жыл бұрын
Much love from KENYA
@agustinommasi60062 жыл бұрын
Amina
@annehaysanday92142 жыл бұрын
Ee Mungu wa Meja one nitokee na nguvu zako
@pastorabellukumay65922 жыл бұрын
1. Uwe makini usimkufuru Mungu, 2. Uwe makini Usitafute mungu mwingine, (Usiende Kwa waganga), 3. Uwe makini usirudi duniani, 4. Uwe makini usishawishi wengine kumuacha Mungu, ROHO MTAKATIFU NIJALIE KUVUKA HAPA NILIPO, in 15years in ministry nothing to show, huu ujumbe niwakwangu, Mungu Akubariki Chief
@MCNgakungaJunior2 жыл бұрын
1 mpaka 4 hapo si mchezo
@victorialema40332 жыл бұрын
Amen hallelujah apostle, kwa ujumbe huu hakuna kurudi nyuma hata iweje,nimepata ujasiri Wa kiroho sana,more grecy chief🙏
@annehaysanday92142 жыл бұрын
Mungu yuko kwenye kiti chake
@jacksonwambua52512 жыл бұрын
Mimi nafurahia ujumbe huu sana sana
@AgnessNyansambo Жыл бұрын
Oooooh Yesss
@mkongojoomari26572 жыл бұрын
I receive in Jesus Christ!
@Grace-ts2rf2 жыл бұрын
hhh kiceko cha furaha amen
@annehaysanday92142 жыл бұрын
Napokea
@jacquelinebaitani83702 жыл бұрын
Ni kweli Apostle watoto huwa hawaelewi kama huna kitu wanaweza kukuuliza swali ukabaki kuwaombea toba badala ya kukasirika
@farajapius2700 Жыл бұрын
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@mchungajisecilia80292 жыл бұрын
Apostel, nimekaribia kupokea Sasa, bado dk moja tuuuu, hasa kupitia ujumbe huuuuuu