Asante kwa Roho mtakatifu atendaye kazi kwenye madhabahu haya
@lizzymwangi9940 Жыл бұрын
Tuned🇸🇦Man of God I love ur Sermon nimesoma mengi🙏🏽🙏🏽🙏🏽Morepower moregrace,Unabii n kitu ya manaa xna kw maisha yetu
@PurMer-lx4qf9 ай бұрын
Mungu azidi kukumbariki.unazidi kuniokoa nikimbebwa kwa makumbikumbi ya milima❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@zakariawafula3156 Жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi,twajifunza mengi kupitia kwako.
@renelicekadzo94929 ай бұрын
Nikiwa kilifi county,,nshukuru sana kwa mafundisho yako n mahali umepunguza kwa ajiri y kuliinua jina la Bwana yesu naye na akujazie zaidi kwa kazi njema unayo Fanya
@Richard-qx1gz Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@ruthkwamboka40499 ай бұрын
Amen Amen Mungu nipe nehema ya kufanikiwa kwa jia zangu Zilizovungwa
@PraxyMakhulo9 ай бұрын
Amen Amen ❤
@jerubetjoan209 ай бұрын
Mungu aendelee Kumlinda huyu pastor, kupitia yeye macho yetu imefunguliwa, for the past 6 months nimefuatilia nimeona maisha yangu ikibadilika, jina la Yesu ipewe sifa 🙏🙏🙏
@josephwawuda3204 Жыл бұрын
Amen 🙏 nimebarikiwa sana kwa ujumbe hu am watching yu in Jordan 🇯🇴 🙏
@EmiliaAggrey9 ай бұрын
Kwa kweli barikiwa sana
@belindacheruto70669 ай бұрын
Amen pastor Mungu akubariki
@liliandeogracious1217 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi Huwa nabarikiwa sana na mafundisho Yako
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Glory be to God 🙏 , nimebarikiwa sana kwa hili SoMo 🙏 am watching Yu in Barharin 🇧🇭
@RehemaMbepera Жыл бұрын
Good bless you
@philissimiyu2123 Жыл бұрын
Amen thank you my spiritual father God bless you
@hadijanafuna-qe7hm Жыл бұрын
Hallelujah grory to God 🙌🙏
@anordtz Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe,Asante mungu kupitia mtumishi pastor George nimejiona nimejigundua
@fabiolasagday15269 ай бұрын
Mungu mwema mafundisho mazuri sana
@mabingozahabu8456 Жыл бұрын
Mungu akuhongezeye myaka mtumishi Mahubiri mazuri imenigusa kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
@everlyneimili Жыл бұрын
Amina mtumishi Wa Mungu kunifungulia hili 🙏
@janewasilwa8813 Жыл бұрын
Hallelujah mchungaji wangu
@diananaswa4842 Жыл бұрын
Amen 🙏 nabarkiwa sana
@ElizabethCeaser-zy5ew Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana pst George
@linahliz2130 Жыл бұрын
Watching from Gulf, hallelujah 🙏🙏
@AndersonWale6 ай бұрын
Nihivyo kbsa mtumishi MUNGU wa mbinguni aijaze hazina yako yambingun.shallom
@priscam.m.kizidiokachumbo2667 Жыл бұрын
Amen. Tuko pamoja sana kwa imani.
@BeatriceHenry-t3i Жыл бұрын
Aminaaa sitaki na mie waniibie tuwe waadilifu ili tufike
@marthambui2311 Жыл бұрын
Be blessed mtumishi wa Mungu.Nimebarikiwa sana Kwa mafundisho haya.Amen
@aishabebz51946 ай бұрын
Learning something
@miriamkarembe Жыл бұрын
Bwana asifiwe nimebarikiwa kwa mafunzo
@JacklineMunisi-xd5bb Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
@teshbeelijah Жыл бұрын
Nakuekewa from 🇹🇿
@penninahmarthias9301 Жыл бұрын
Am really blessing for the wonderful word of God
@BishopfideleNdayisaba Жыл бұрын
Pastor George unanibariki sana
@judithonyango1449 Жыл бұрын
Be blessed
@jeremiaisowe4443 Жыл бұрын
Yeremia 1:11-12
@alaininzamba2572 Жыл бұрын
Amen pastor nasaidiwa
@mercydinah685311 ай бұрын
Nimependa mafundisho yako yananisaidia sana
@rehemamakelele4288 Жыл бұрын
3.kupambanua roho Ina uwezo wa kukufunulia Hakuna kitu hatari kama unapigwa na roho usiyoijua Inakusaidia kupambanua mambo Njia za Mungu kuleta unabii 1. Kusema na wewe moja Kwa moja mwanzo 12:1-2 -Unabii unatoka ndani kuja nje Kila unabii utakufanya uendelee kumtegemea Mungu -Lazima uchochee imani -2.Mungu anakupa unabii Kwa kukufunulia neno lake 2petro 1:19 3 .. Mungu anaweza kutuma mtu aliye na karama ya unabii akakufunulia 4. Mungu anakupa maono Kupitia Ndoto,picha,ufaaham wako --huogopi kesho sababu una picha ya kesho ..huogopi watu sababu una picha ya kesho Ukijua mahali unapokwenda hutahangaika Changamoto ya maisha ni safari tu Cha muhimu ni unapoenda...ufike
@penninahmarthias9301 Жыл бұрын
Glory to GOD
@rhodamaganga884 Жыл бұрын
Amina
@DanEma-l9t Жыл бұрын
Amen 🙏
@HamzaMohamedi-q7c Жыл бұрын
Ameee
@sarahnabwire9091 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🇰🇪
@RuthMomanyi-bh3ez Жыл бұрын
Blessed pastor
@dicksonmagari8803 Жыл бұрын
Sauti ipo chini sana.
@janeystv7186 Жыл бұрын
Ameen
@gilbertwanje Жыл бұрын
Amen🇰🇪🇰🇪
@MusakiAnne2 ай бұрын
Sauti iko chini
@LillianNgao-ob1pl Жыл бұрын
Iko mtumishi kitabu cha Ufunuo wa Yohana 11:6
@njeyaduniatv Жыл бұрын
PASTOR GEORGE MKABWA... SHIKAMOOO😁😁😁😁😁😁😁... UNAJUA KUHUBIRI INJILI, PIA YOUR SOO FUNNY.
@Nicaonlinetv73245 ай бұрын
Hawa ndio watumishi tunaowahitaji, sio matakataka akina makapola.
@annekombo69459 ай бұрын
Mm nakoma nikiwa online
@jeremiaisowe4443 Жыл бұрын
Amos 3:7
@jeremiaisowe4443 Жыл бұрын
2Petro 1:19
@jeremiaisowe4443 Жыл бұрын
I'm bllesed mnoooooooooooooooo
@teoforamadilu6547 Жыл бұрын
Kuhusu matumizi ya maji Ufunuo wa Yohana 11:6
@jaquelinebandola8286 Жыл бұрын
Pastor kiukweli yangu nimekufuatilia nimepiga hatua. Naomba namba yako pastor Kuna vitu nahitaji kutoka kwako.