Ukweli wana JRC mna neema ya kipekee kupitia huyu mtumishi. Nabarikiwa mno kwenye neno analoliachilia kila siku akisimama kutimiza mapenzi ya Mungu .Tokea nimuone KZbin sijawahi acha kumfuatilia, from Kilimanjaro .
@DavidNdosa-mj4ei20 күн бұрын
Amina sio wana Jrc tu wengi tupo mtandaon na tunabarikiwa sana hat huku Daresalam
@barakafabiani548720 күн бұрын
Hakika Yuko mungu ndani ya jrc kupitia mtumishi wake George mkabwa nabarikiwa nikiwa dodoma
@lucyurasa580520 күн бұрын
Lucy tuko wengi mno. Mungu azidi kumtunza na Ampe Haja ya Moyo wake.
@gibsonmukulas364419 күн бұрын
Nasi tunafurahi kwa Baba yetu ametufanya kuwa wanafunzi wa kristo Yesu
@JoachimMkenda19 күн бұрын
Sio wewe tu mpendwa.
@MwanaishaSeif-t1d18 күн бұрын
Hakika wewe u mtumishi wa Mungu umeniondolea mkato wa tamaa kupitia neno mahubiri yako yamenijenga sana sana ila kinacho niuma ni kwamba sijakujua kitambo natamani ningekujua kitambo ningekuwa mbali kiimani lakini naamini imani yangu itakuwa nitafatilia kuanzia mahubiri yako ya nyuma hadi nimalize. Asante sana mtumishi
@everlyneimili8 күн бұрын
Mungu akuzidishie mafuta Amen 🙏
@WinnieEmmanuel-d7b20 күн бұрын
Amen mtumishi MUNGU azidi kukuongoza zaidi uendelee kutufundisha zaidi barikiwa na bwana YESU KIRSTO
@Patience76320 күн бұрын
Amina Amina mchungaji nimebarikiwa kwa mahubiri ya leo MUNGU wa mbinguni akubariki na familia yako milele na Milele Amina Amina.wishing mama George na baba George Christmas njema kwa familia yenu
@irenekemunto965820 күн бұрын
❤❤❤❤kupitia kwa haya mafundisho ,nimeinuliwa kiroho,nimejua kutumia damu ya yesu.God has put anew song in my mouth.mungu atanitukuza 2025 .He will take me into Favour
@JemaKyando4 күн бұрын
Kwa kweli mtumishi Mungu akubariki saana Bwana amekumiminia mafuta mazuri ya utumishi naendelea kukuombea umenibariki saana pia namshukulu hata mama mchungaji kwa huduma hii
@lucyurasa580520 күн бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Kweli anatubariki sana sana na tunazidi kumjua Mungu kupitia Wewe ❤
@esthermutsoli999518 күн бұрын
Nashukuru Mungu kwa kunikutanisha na mchungaji huyu mtandaoni.Hakika ni neema.Nafuatilia mafunzo kila siku.Hakika yamenikuza kiroho.
@shshygibb223620 күн бұрын
True nimewacha kasigara na kapombe ka pembeni ...God help me ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@gracebasondole699021 сағат бұрын
Amen,amen mtu wa Mungu
@edwardjoseph643614 күн бұрын
Am from Kenya and am always being blessed by pastor and wish one day will meet him.Barikiwa sana mtumishi wa mungu.
@HezekiaOjwang3 сағат бұрын
Kweli hapa na barìkiwa mchungaji Georg azidi kubarikiwà
@MagrethMasweko20 күн бұрын
Mungu akujalie maisha yako mile mtumishi kila nisikilizapo mahubiri yako huwa yananigusa na kunibariki ubarikiwe mno unanitia moyo hata kama nilikuwa nimekata tamaa
@darlingqueendee382220 күн бұрын
Amen. Nimebarikiwa. God bless you Pastor. Mafunzo makuu haya. Mungu nipe kiu na njaa nikujue zaidi.
@LeoniaRogati15 күн бұрын
Amen pastor.God bless u
@neemamoshi523013 күн бұрын
Good
@byamungubahati597820 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe, Asante bwana yesu kwa yote umenifanyiya
@yvettembavu930619 күн бұрын
Amena Amena Papa Pasteur kwakweli Mungu wambingu akubariki.Mimi nimejengwa saana na Maubiri yako tangu 2023 kwa KZbin imeokowa mambo mengi maishani mwangu .Ndowa .family yangu piya watoto wangu na ninapta kila siku mwanga kwa jinsi ya kumutumikiya Mungu .maombi ya Morning every week. Mambo ni mengi siku moja najuwa nitafika JRC mwanza Tanzania. Asante
@miriamhezron405219 күн бұрын
Tumebarikiwa kwa neno hili, Mungu akubariki na kumuinua pia mtumishi wake
@KatilaJoyce17 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu Bwana akubariki Sana, mafundisho Yako yananijenga kiroho Sana.
@StellaMkhodya20 күн бұрын
Amina sana mchugaji unanifunza zaidi ubarikiwe
@loicesalano93119 күн бұрын
Asante ninatoka kwa hio kiti cha kunilemaza kinda kiroho,kifedha in JESUS name 🙏
@AkiliBeatrice17 күн бұрын
Mungu akutende mema Baba
@gracebasondole699022 сағат бұрын
Amen baba
@BenjaminBulimbi19 күн бұрын
Mungu akubariki sana Baba mtumishi maana nakufatiliya sana kwenye you tibu
@DorahMliga20 күн бұрын
Amen 🙏 Mtumishi asante kwa mafundisho mazuri nimepata kitu nimebarikiwa
@loicesalano93119 күн бұрын
Ninadai mguu wa kulungu katika jaina la YESU hallelujah 🙌 👏
@DantumokinoiBwarmoti4 күн бұрын
Amen 🙏 😢sio kila pastor anaweza kufanya hivio Yani kufunja mipando yake amuokoe mtu mwingine na ndio maana wengi wanatedeka MUNGU awasaidie tu
@buragabiribuza942619 күн бұрын
Kweli neno lako inatengeneza maisha yangu nakuniweka karibu ya Mungu neema gani siku moja nikuonr
@JacklineBonareri-om2fw17 күн бұрын
Amen pastor barikiwa sana
@molexevelist81320 күн бұрын
Hakika paster leo nimefurah sana kuuzulia live..nimebarikia sanaaa
@Judith-p5m8i20 күн бұрын
Amen amen nimebarikiwa Sana leo mungu akbarik mtumishi WA mungu
@FunCherushi68019 күн бұрын
Naomba Mungu anipe kibali nifike Mwanza nimuone uso kwa uso.
@MarcelineLonu19 күн бұрын
Asante kwa ne no nzuri
@gibsonmukulas364419 күн бұрын
Amen baba nimebarikiwa na ibada ya leo
@NeemaJonathan-d2e20 күн бұрын
Barikiwa mtumishi WA MUNGU 🙏
@jeliahcostantino509019 күн бұрын
Nakufatilia kwa you tube Nabarikiwa na mafundisho yako Mungu akunze na azidi kukutumia zaidi na zaid
@BonyJohn-vz1vv20 күн бұрын
Nimepokea ktk jina la yesuu asantee baba kwakunitoa nilipokua nakunipa nafas nyingine
@SoniaNathan-o7m20 күн бұрын
Nabarikiwa sana mahubir yako pastor
@loicesalano93119 күн бұрын
AMEN. NAOMBA NEEMA YA KUOMBA
@DorahMliga20 күн бұрын
Father I give you all the glory Ameeen 🙏🙏🙏
@jeliahcostantino509019 күн бұрын
Amen Ameni I love ❤️ baba God bless you
@CatherineMakokha-dg6ws18 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏 forgiveness my sin's Lord delivery me
@MARYVICENT-m9c20 күн бұрын
Bwana Yesu nakushukuru Sana ,zidi kumpaka mafuta mtumish wako huyu .
@rahmashidblessed862820 күн бұрын
Amen Amen 🙏 God bless you
@shshygibb223618 күн бұрын
Kweli❤❤❤❤❤❤
@lucyndunge693419 күн бұрын
Following from kenya
@shshygibb223620 күн бұрын
Asante ❤❤❤❤ Baba Mtakatifu❤❤❤❤❤
@MatokeoFunyo20 күн бұрын
Amena baba nimebalikiwa San leo
@EliasSimwanza-w8r20 күн бұрын
Asante muchungaji kupitia wewe mungu ameni ponia Kwa mengi
@erickwanjala682315 күн бұрын
Nabarikiwa na wewe mtumishi wa mungu, mungu akubariki zaidi