JINSI YA KUENDESHA GARI WAKATI WA MVUA

  Рет қаралды 3,866

KYANDO MOTORS TV

KYANDO MOTORS TV

8 ай бұрын

#cars #rain #driving
Karibu kwenye video yetu mpya inayozungumzia mbinu bora za kuendesha gari wakati wa hali mbaya ya hewa, haswa wakati wa mvua! Kuendesha gari wakati wa mvua kunaweza kuwa changamoto, lakini katika video hii, tutakufunza hatua za kuchukua ili kuwa salama na kuwa na safari yenye utulivu.

Пікірлер: 10
@victorkahangwa679
@victorkahangwa679 2 ай бұрын
Ahsante sana Engineer Kyando
@oswaldmkoba2015
@oswaldmkoba2015 8 ай бұрын
Asante kwa madini mazuri
@zachariaharuna5675
@zachariaharuna5675 8 ай бұрын
Asante sana engineer kyando. Naomba unisaidie maelekezo ya kumia ESP gari yangu ina hicho kitu lakini sijui inafanyeje Kazi pia unifafanulie vizuri kuhusu ESP kwenye gari ina maana gani hasa
@ahmedislam2828
@ahmedislam2828 5 ай бұрын
Uko sawa sana mwalimu
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 ай бұрын
welcome
@fadhiliswidhun6606
@fadhiliswidhun6606 8 ай бұрын
Elimu nzuri sana ya kitaalam
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 3 ай бұрын
Asante sana baba yangu yaan hatimae nimepata mwalimu wa kunifundisha kuendesha gar hivi baba MTU kuja kwako kumfundisha kuendesha mpk KUJUA inachukua mda gan mpk MTU KUJUA kuendesha gar na kujua Sheria zote za balabalan samahani baba naomba kujua
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 ай бұрын
Tafuta chuo kilichokaribu na tumia mafunzo haya kwenye kuongeza elimu yako
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 8 ай бұрын
Je ukipita kwenye dimbwi alternator haiathiriki na maji na kuleta shoti????
@kyandotv1468
@kyandotv1468 7 ай бұрын
Altenator inaweza kuathirika iwapo waya zake ziko bare, kwaana ya kwamba ziko wazi, hazina ile ile plastic y anje ya kuzuia maji na vumbi kuingia na kusababisha short circuit. kwa hiyo unashauriwa kufanya mategenzo yaliyo salama.
JFUNZE KUENDESHA GARI AINA YA SCANIA R420 KUPTIA SIMU YAKO
8:30
MAYO ONLINE
Рет қаралды 40 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
KYANDO MJ - IFAHAMU AIR CLEANER/FILTER YA INJINI YA GARI LAKO
17:07
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 5 М.
JINSI YA KUZUIA WEZI KWENYE GARI
6:28
ONLINE TRAINING 86
Рет қаралды 1 М.
TUJIFUNZE NAMNA YA KUENDESHA GARI WAKATI WA USIKU
15:27
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 4,4 М.
Maeneo 10 ya kukagua gari lako kabla ya safari
4:29
Daily News Digital
Рет қаралды 16 М.
USAFIRI WANGU
11:59
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 25 М.
TUJIFUNZE KUSOMA GEJI YA JOTO LA ENGINE (ENGINE TEMPERATURE GAUGE)
9:47
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 1,3 М.
JIFUNZE JINSI YA KUTUMIA AC KATIKA GARI YAKO
4:30
gweah
Рет қаралды 712
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН