Mm ni nyota ya mbuzi...Na maada yangu ni udongo...!!naoa kujua batakiwa nivae madini gani,jiwe gani.Asante
@AthumanAbduryАй бұрын
Tunaomba uweke namba utueleweshe
@KOMBOFUJO5 ай бұрын
Aslm alyk nauliza madhara ya jin salsal
@josinamadeghe-ks4ok Жыл бұрын
Mwalim salaam, ninahitaji kujua zaidi hii elimu, lakini bado kwangu ni kiza kinene. Naomba unisaidie
@emmanuelmusa1061 Жыл бұрын
Hahahaha mwalim Umeamua kujibu kwa vitendo swali langu nafurah kua wa kwanza kutazama
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Karibu
@mohamedomary9356 Жыл бұрын
Asalaam alykum mwalimu .nilikuwa naulizia kama nimezaliwa tarehe 29 may ambayo ni Gemini ♊ ila sijui saa niliyo zaliwa pamoja na siku ninatakiwa kuvaa agate Aqeeq stone aina gani kuligana na nyota yaangu ya mapacha 👍🤝🙏
@kimokidtz60107 ай бұрын
Asante sana kaka mungu akubariki katika maarifa na hekima pia hakika wew ni mwema umetuelimisha vingi katika haki na ukweli Allah ukulinde na akupe umri mrefu inshaallah
@rakimsspiritual7 ай бұрын
Amin atujalie sote mwisho mwema
@kimokidtz60104 ай бұрын
@@rakimsspiritualasante sana mwalimu
@tatianahomekey6211 Жыл бұрын
assalamualaikum Mwalimu napia usisahau kutupa elimu ya nyota ya nge watumie mawe gani ilikuweza kupata mafanikio
@ikramsalum5655 Жыл бұрын
Nakusalimia kaka nakukubali sn allah akulinde...
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Nashukuru Atulinde sote
@musakushinda4707 ай бұрын
Napenda sna mada zko Mr
@rakimsspiritual7 ай бұрын
Asante Mwenyezi Mungu akujalie mafanikio
@emmanuelmusa1061 Жыл бұрын
Usisahau mwalim kutufundisha mfano mtu mwenye nyota ya simba avae mawe ya aina gan au kidole kip na mafusho yake mungu akusmamie kwa hlo
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante
@officallymbonde9257 Жыл бұрын
inshallah 🙏 ila mwalim ujamalizia masomo ya nyota bodo nyota zetu atujazisikia
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Sawa nitarejea kwenye nyota...
@mrjaymisositv.7645 Жыл бұрын
@@rakimsspiritual Tunasubiria hili SoMo Mwalimu
@emmanuelmusa1061 Жыл бұрын
Hilo ndio la msingi Maan hata nyota zetu hatuzijui kiufasaha
@ezekielphilemon7343 Жыл бұрын
Ahsante
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Tupo pamoja
@BigDreamsWorldwide Жыл бұрын
Asante sana umeniongezea kitu
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante kushukuru Mwenyezi Mungu akujaalie mafanikio
@DenisMjunАй бұрын
Mm madini ya tin ninayo nayatumiaje
@rakimsspiritualАй бұрын
Angalia unajimu wake katika sayari ya madini hayo yamekaa katika nyota gani kisha ufuate taratibu zake
@RobinsonGichure7 ай бұрын
Namba yako inapatikana anje
@rakimsspiritual7 ай бұрын
+255 783 930 601
@isackwaite-uf1zy Жыл бұрын
Assalam Alaikum mwalim❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Waaleykum salam....
@crisndembwele4016 Жыл бұрын
Assalamualaikum kaka Mimi sijui nyota yangu natamani sana kujua nimezaliwa tarehe 3/8/
@oigenmwapinga7934 Жыл бұрын
Wewe ni nyota ya Simba dear
@UmmyMtuhi-uq2zy Жыл бұрын
Mwalimu naitwa kuluthumu hashimu nimezaliwa tarehe 21 june,je nyota yangu ni ipi, pia nikikuhitahi binafsi nakupataje?
@RoseOdilo4 ай бұрын
Nyota ya mapacha/Gemini asili yake upepo
@ephigeniamoka385 Жыл бұрын
Maalim,madam kihusu Qarin(ruhani) watufunza lini? Halafu je ruhani ndio nyota ama tofauti ni ipi? KAZI zao zipi... Tufunzie tafadhali.
@ephigeniamoka385 Жыл бұрын
Mada kuhusu...kumekua na spelling error hapo. Samahani.
@makopamusic Жыл бұрын
mwalim nmezaliwa june 25 huwa sielew nyota yangu ni ipi maan najuag nipunda ila sina uakika😢
@RoseOdilo4 ай бұрын
Nyota ya KAA/CANCER ASILI YAKE MAJI
@omar-zw9bw5 ай бұрын
Unapatikana wapi bro? Nahitaji tuonane juu ya usaidizi balimbali
@rakimsspiritual5 ай бұрын
0783930601
@Yuppie8686Fabiani-cv5kz9 ай бұрын
Mwalimu siku na tarehe inabadilika kuanzia muda gani?, ni kweli saa 6 ya usiku
@rakimsspiritual9 ай бұрын
Saa 1 jioni
@pidiusDominick-qi7nl9 ай бұрын
Nahitaji pete yenye kito cha ruby ntapataje
@rakimsspiritual8 ай бұрын
Wasiliana nasi 0783930601
@ezekielphilemon7343 Жыл бұрын
Mwalimu ususahau kuongelea mada ya Reincanation , Na tunaweza kuzaliwa mara ngapi au Haina kikomo. Pia ni namna gani nifanye ili kipindi naota niweze kukumbuka kuwa nipo ndotoni. Maana wengi hatukumbuki kuwa tunaota Hadi tunapoamka.