Somo zuri sana Mwalimu...Labda ungeongeza tu kwamba umeziunga in paraller na baadaye in series kwa kuwa Betri ni ya 24V ama ni Betri za 12V ambazo na zenyewe zimeungwa in series
@fundibakarwaumeme9191 Жыл бұрын
Mwalimu nataka kufahamu hybrid mppt inverter
@hassanmgandi3339 Жыл бұрын
Mwalimu mbn sikupati Kwa simu
@darasalaumeme7421 Жыл бұрын
Mbona napatikana 0789-365357
@mahamudabdullahi7506 Жыл бұрын
Tumia MC4 connectors
@edikiumbe7391 Жыл бұрын
Mwalim Naomba utoe Somo la Malt mita
@medytech9890 Жыл бұрын
mm naomba elimu ya umeme jua nikiwa na battery ya AH ngapi nitahitaji solar panel ya watt ngapi, pia nikiwa na vifaa labda taa 5w zipo 3 ziwake masaa 6, simu yangu inatumia 20w kw masaa 2, tv inatumia 50w kw masaa 5 nitahitaji battery na solar panel ya ukubwa gani ?