Nimekosa la kusema teacher angu duuh maana kweli sijapotea kwako kbsaaa
@thomasdonald46633 жыл бұрын
Ipo vizur
@albayaanalbayaan7534 Жыл бұрын
asanteeee mwalimu
@lottisiwale80173 ай бұрын
Mwalimu muzuri
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana
@official_zengo38613 жыл бұрын
Nimependa sana somo lako
@OscarMakoromu-nv3fv5 ай бұрын
good
@thomasdonald46633 жыл бұрын
Tunaomba somo la kutrack simu iliyoibiwa kwa tumia email
@raymondmevamose21173 жыл бұрын
Ama kweli humu kuna madini hadimu kabisa hapa tz mnapatikana wapi au mnafanya online tu
@mohamedmafursa52224 ай бұрын
umenifurahisha sana niko tayar kujiunga na masomo yako nipo tanzania
@nk-computertraining4 ай бұрын
Karibu sana sana, jaza fomu link yake iko kwenye discreption.
@ahmedmohd72103 жыл бұрын
✌
@muhammadiramadhani99279 ай бұрын
Mwalimu tuletee na ilo somo la Website yan shadow ambayo inaweza kufungua camera
@nk-computertraining9 ай бұрын
KZbin kuna changamoto kidogo hakikisha unajiunga na Channel yetu WhatsApp tutarusha kule siku za usoni.
@NajmHashim-n2y Жыл бұрын
teacher tufundishe kuhusu alarm
@nk-computertraining Жыл бұрын
Unakusudia nini hapo?
@AmmarIssa-d8s2 ай бұрын
Ndugu nakupenda kuajili ya mungu ila ndugu nakuomba please please nachokuomba unisaidie hiki kitu, pale izraeli kuna ziwa linaitwa galililee au ziwa galilaya nakuomba nijue lipo au limekauka please