Ninakupenda yesu wangu mzuri,naomba unisaidie kunipa neema ya kukaa uweponi mwako daima, usiniache yesu,nakuomba ukanitie nguvu nakuomba,mara hii tu,ktk jina la yesu kristo Ameni.
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@emmasidi94462 жыл бұрын
amen 🙏ubarikiwe pastor hili neno limenifunza kitu na limenipigisha hatua nyingine
@vinitoalvin9236 Жыл бұрын
Ee yesu wangu ulie mwema kwangu, nakushukuru kwa kulituma neno lako linifikie mimi, naamini hili neno limekuja ili kurejesha mahusiano yangu nawe🤲🤝🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@oliviashayk47212 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Mtumishi mahali umenitoa n MBALI🙏🙏🙏MUNGU akupe neema ya kumaliza kazi zote alizokupea za humu duniani ..usiwai Rudi na kitu🙏🙏🙏sijui niseme nini
@ResparGirbert18 күн бұрын
Hallelujah hallelujah so powerful...Roho mtakatifu nisaidie ,barikiwa sana mtumishi wa mungu ,Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa napenda sana mafundisho.yalo❤️🙏🙏🔥
@florencekwamboka97172 жыл бұрын
Good massage 👍 since I started following this channel I'm growing spiritually, following from Kenya
@kapiriisavictoria41752 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor Innocent, kama mwana maombi, pia I am a education beneficiary of children at risk . Yaani nimejikuta huu muda wa kuwa na Yesu nimeupoteza kwa kisingozio cha kuhangaikia hawa Needy children. Asante kwa hili somo ambalo limeniliza sana. UBARIKIWE SANA SANA 😢
@mercylinedennis8813 Жыл бұрын
Amen...ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu...nimejifunz mengi katika funzo hili
@Iano.kamande Жыл бұрын
Amen amen and amen 🙏🙏🙏
@birih88012 жыл бұрын
Best lesson ya kuanzia February Asante mtumishi wa mungu May God protect you for everything
@victoriarehema71832 жыл бұрын
Hallelujah. Eeh Baba tufunze tuzidi kua ndani yako milele. Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu.
@tumainisampeta55702 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa somo zuri sana limeniinua sana mungu akutunnze kwaajili ya huduma nzur
@rahmamusa4484 Жыл бұрын
Ilove ur teaching
@heriethaissa59722 жыл бұрын
Ubarikiwe mno unafundisha vizuri sana naelewa na nafunguliwa sana
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Amen and Amen man of God pia nawe MUNGU akubariki kwa kutufundisha juu ya kujenga mahusiano yangu na MUNGU
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@theopisterbulamu94972 жыл бұрын
Ameen, Mtumishi Mungu Akubariki Akutunze Kwa Ajili Yangu
@Iano.kamande Жыл бұрын
Yes I love him so much
@favoredbyJesus2 жыл бұрын
God bless you 🙏
@heriethaissa59722 жыл бұрын
Amen mt
@pendosikanyika48262 жыл бұрын
Ameen
@maurinenarotso2193 Жыл бұрын
🙌🙌🙌🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@jaredmayaka29932 жыл бұрын
Amen Amen
@Priscakihiyo43522 жыл бұрын
Ameeeeeeen Ameeeen ubarikiwe sanaaaaa mtumishi wa Mungu