Those who have met Maurice Innocent, listened to him and you are not yet saved, then you will never be saved. He's God sent, trust me. Innocent Jesus Christ bless you
@carolineoginda63092 жыл бұрын
Mungu nipe Kiu ya maombi
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@winniekayuni91123 жыл бұрын
Naamini Mungu yupo, MUNGU wàngu naomba nipe neema ya jinsi ya kuomba
@jescakerubo39532 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu umenijenga siku ya leo, Jina la yesu lina nguvu mno barikiwa sana
@flavianamayutta46192 жыл бұрын
Jina la Yesu ni ngome imara mwenye haki hukimbilia na kuwa salama. Eee Yesu nisaidie kulitafakari Jina lako mchana na usiku, 24/7 in Jesus name.
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@KeruMokash Жыл бұрын
Amen Amen weee leo nimejifunza sana kumbe simfaham huyu yesu nilikuwa najidanganya thank you so much God bless you
@elizamponzi1482 жыл бұрын
Amina sanh yaan uwa nabarikiwa sanh na naomb yk unaelezea vizur mnoo
@cerecere5758 Жыл бұрын
Ameen barikiwa sana mafundizo yako yamenitoa mbali na mungu azidi kukuinua viwango vingine
@BonareriDoreen-p8b3 ай бұрын
I do get blessings sana when i listen to moris may God bless you
@holyspiritconnect3 ай бұрын
Ameen
@Judith-z6kАй бұрын
Merci mutumishi.Yehova atupe nguvu ya kuomba kwa imani.
@meboyisega90082 жыл бұрын
Mafundisho yako yananibariki sana Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi 🙏
@simonlucas5631 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi ,mimi nina changamoto siwezi kupangilia maombi yangu napokuwa mbele za Mungu, naomba unisaidie niweze kusali vizuri
@matthieulugerero93552 жыл бұрын
Asifiwe Mungu aliye kuumba, mtumishi wa Mungu. Una nijenga saana. Mungu azidi kukubariki kwa jina la Yesu Kristo
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen. Ubarikiwe pia
@lucyMurro Жыл бұрын
Asante kwa neno hakika nimepata kitu kipya barikiwa sana mtumishi wa BwanaYesu.
@shazzysymon68353 жыл бұрын
Lord teach me how to pray. Ni kwely mtumishi hatuishindii dhambi kwa nguvu zetu bali ni kwa neema zake
@flavianamayutta46192 жыл бұрын
Asante sana kwa somo nzuri mtumishi! Barikiwa sana
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@peterMwalili8 ай бұрын
Amen Mwl am real blessed with the teachings 🙏
@ExcitedOyster-bs9mx5 ай бұрын
Mtumishi naomba uniombee namimi nijazwe Roho mtakatifu natamani sana
@MoosaMd-h6bАй бұрын
Jina la Yesu lihimidiwe amen 🙏.
@alicekadzotsofwatsofwa86182 жыл бұрын
Amen roho mtakatifu aniongoze katika kuomba
@joannelson11373 жыл бұрын
Amen nimejifunza,barkiwa mtumishi
@florencerwekamwa57513 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi kwa somo zuri.
@Priscakihiyo43523 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaaaaaa mtumishi wa Mungu ni mebarikiwa sanaaaaaa sanaaaaaaa kwa somo nzuri mnooo
@janecosmas22693 жыл бұрын
Es Mungu unikumbuke milele
@liliantigalyoma4694 Жыл бұрын
Asante kwa Mafundisho haya mtumishi wa Mungu
@mercylangali30973 жыл бұрын
Yesu nipe hekima na maarifa nifundishe kuomba imani yangu ikue dhabiti kwako
@Willeysh2 ай бұрын
Yesu ni we zeshe
@mercylangali30973 жыл бұрын
Amen mtumishi na barikwa sna nkiwa saudia
@WinnieMagoma11 ай бұрын
God bless u so much🙏🙏🙏
@MarieMakiwa4 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@NizWa-z3s4 ай бұрын
Ioneshe
@veronicasambaya3435 Жыл бұрын
Amina amina mtumishi
@holyspiritconnect Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@rehemaibrahim72953 жыл бұрын
Nizidishie imani ee Mungu
@scoviaokaronon43053 жыл бұрын
Eeeh Mungu wangu naomba unipee hamu ya kukujua zaidi 🙏🙏
@agnesmbone231 Жыл бұрын
Bwana yesu naomba unipee neema ya kuomba
@julithamwangamilo2563 Жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@monicahaule44613 жыл бұрын
Ee Baba nifundishe kuomba
@dolljoe5223 жыл бұрын
Nashukuru Sana Kwa masomo ya Jana,Ila naona.km.ulimalizia kabla huku hatujaomba.Ilikatika clip kabla ya mwisho
@jaredmayaka29933 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 pastor kwa neno zuri,aki pastor tufuze kufuja matabau
@floradavid521610 ай бұрын
Mungu naomba neema ya kuomba
@laurencerobertmakasi95763 жыл бұрын
Mungu nipe neema ya maombi ndani yangu
@happinessazizi28333 жыл бұрын
Amen Amen 🙌
@danymodern3283 жыл бұрын
Ameen
@zipporahamoding59132 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kwa mafundisho nzuri.
@heriethaissa59722 жыл бұрын
Barikiwa sana mafundisho yako
@stanleyMijaka Жыл бұрын
Amin
@holyspiritconnect Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@teressanyatega7125 Жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@graceamran3262 жыл бұрын
Mungu naomba unipe ujasili katika maombi kuna uzito nikiaza maombi