Na nafundisha vzr hadi raha, hongera sana dada ila sijaelewa kwa hiyo datis uliyo ifunga hapo mbavuni kwenye kipande cha mbele
@kibuav5 күн бұрын
Shukran 🙏
@HildaMhilu2 ай бұрын
Asante dada kwa mafinzo yan
@kibuav2 ай бұрын
Karibu
@HildaMhilu3 ай бұрын
Asantee
@kibuav3 ай бұрын
Karibu
@HildaMhilu2 ай бұрын
Asante kwa mafinzo Yako,Nina swali kwa nini usitumie inchi ba Dara ya sentimita
@kibuav2 ай бұрын
Kwa sababu portion ya cm ni ndogo so kimahesabu haisumbui inatoa majibu sahihi
@EflahJonathan6 күн бұрын
Hiyo datis uliyo ifunga hapo upande wa mbavu tunaifanyaje kwenye kukatia kitambaa au haiesabiki tena?
@kibuav5 күн бұрын
Hiyo haihesabiki tena. Ukishaifunga imeisha
@HildaMhilu2 ай бұрын
Kuna tofauti Gani kati ya princes dats na princes dats buster.samahani kwa usumbuf7
@kibuav2 ай бұрын
Princess darts zinakua na mstari mrefu uliopinda kuendana ama unaofuata shape ya kiwiliwili cha kike na bustier ni darts zinazosaidia kutengeneza room ama kushape eneo linalozunguka nyonyo
@deifakihaka63345 ай бұрын
Tunaomba utusaidie na somo jinsi ya kukata suruali za kike ili imkae mtu vizur natanguliza shukrani😊🙏
@kibuav5 ай бұрын
Very soon video itakuja. Nimesharecord tayari bado editing tu
@deifakihaka63345 ай бұрын
Nasubiri kwa bashasha nyingi😊
@sekitauniquedesigns88136 ай бұрын
Ahsante dear,mie ningetamani kujua kwa nini unatumia cm badala ya inches zilizozoeleka kwa hapa Tz.?
@kibuav6 ай бұрын
Portion ya 1Cm ni ndogo tofauti na 1Inch, so ni rahisi kuitumia, inasave time, inasaidia kupunguza makosa lakini pia ni rahisi kucalculate. Kimahesabu haisumbui kabisa, wakati mwingine tunaona watu wanakunja ile measuring tape ili kupata kipimo sahihi, ukitumia cm huitaji kukunja tape na mahesabu yake hayaitaji calculator
@sekitauniquedesigns88136 ай бұрын
@@kibuav Ooh ubarikiwe sana sana kipenzi kwa kunijibu kwa upana hivi...ahsante sana...naijaribu sasa hivii...na kweli Europeans wanatumia sana cm kwenye ushonaji na fitting ya nguo zao ni nomaa( tunaìshia kusema utadhani special as if special haishonwi🤣).
@kibuav6 ай бұрын
@@sekitauniquedesigns8813 😂😂Umeona eeeh! We tumia cm hutojuta. Nguo inanyooka
@ZenaabdulrajabAbdul4 ай бұрын
Hai dada yangu nitumie namba yako ya wsp
@kibuav3 ай бұрын
0655265333
@yosacisack13366 ай бұрын
Office ipo wapi dada angu ili tukupate
@kibuav6 ай бұрын
Nipo Mkonze/Dom
@ustadhisimbula86226 ай бұрын
Tunafurah kwa somo lakin ungejaribu kutumia nchi ingetusaidia sana sie wanafunz wako maana huko kwenye cm tunaona giza sister angu
@kibuav6 ай бұрын
@@ustadhisimbula8622 Ndio maana measuring tape ina pande mbili, upande mmoja ni Inches na mwingine ni Cm so chagua upande wako. Kwenye masomo yangu zingatia "hatua na njia" ila kwenye vipimo tumia ulivyovizoea