Kuna USTAWI na BOBACASH hawafai Riba KUBWA muda mdogo siku 6 ,unaweza kopa 58500 ukalipa jumla 92000 ndani ya siku 6 .Sasa hapo kweli ni mkopo au ukandamizaji na customer care mbaya .
@DEBORAITEGANA-wg7vo Жыл бұрын
Nawapenda sana❤❤❤❤
@HamisiGumbo7 ай бұрын
Wapo vizuri sana hawa
@doreenkbdjb6 ай бұрын
interest yenu iko ju sana
@MwanaidiHamis-e5h6 ай бұрын
branchi ni mkopo mzuri sana yani
@agapititairo6926 Жыл бұрын
Mbona hamjawaangalia wateja wa Airtel?
@JofreyMpima-ks6im Жыл бұрын
naitaj kuomba mkopo lkn cjajua talatibu zke ili niweze kupata uwo mkopo
@lazaronoel7895 Жыл бұрын
Naomba mkopo sasahivi
@blessingcharles-lc1rr6 ай бұрын
Wako poa
@anastaziapeter9611 Жыл бұрын
naitaji mkopo .najalibu nashindwa nakopaje
@lazaronoel7895 Жыл бұрын
Mbonanajalibu nashindwa? Naomba muongozo nijibiwe sasa hivi