Рет қаралды 8,818
Kupika chapati laini ni moja kati ya changamoto kubwa inayowakumba wapishi wengi wa kitafunwa hicho.
JikoPoint tumekuandalia siri adimu zitakazokuwezesha kupika chapati laini na maharage mabichi ya nazi ndani ya muda mfupi.
...
Soma: jikopoint.co.tz/
Twitter: / jikopoint
Facebook: / jikopoint