Vitu vyote ni vya kiswahili sema kugrate ni kukwangua. Alafu leeks ni kama vitunguu vya majani ila ni vinene tofauti na vitunguu tulivyozoea. Sijui jina lake. Asante sana mpenzi
@ashakhamis9093 Жыл бұрын
Mm swez za sukar
@MisosimitamuC Жыл бұрын
Ok dear unaweza tia chumvi tu
@roselusiga182311 ай бұрын
Unaweza ukapika bila ivyo v2 viwili ulivyo weka mwishon?
@MisosimitamuC11 ай бұрын
Ndio mpenzi sio lazima. Asante sana kutembelea channel yangu. Ubarikiwe sana
@AdelinaTraseas-r1d Жыл бұрын
Parsley sijui na hiyo nyingine kwa Kiswahili vinaitwaje 😅
@MisosimitamuC Жыл бұрын
Mpenzi salama. Asante sana kutembelea channel yangu. Parsley, leeks na dill Kwa kiswahili sifahamu ila ukienda kariakoo au kisutu wanauza mpenzi. Ila najaribu kutafuta kiswahili chake . Leeks ni kama kitunguu Cha majani ila ni nene hautumii majani unatumia shina lake
@sunaskitchen294023 күн бұрын
Parsley nimajan yanayo tumika pia kuwekea kwenye salad inatofautiana kidogo sana namajani ya giligilani kiarabu yanayaita bakidunisi
@MisosimitamuC22 күн бұрын
@sunaskitchen2940 asante sana kwa taarifa nimejifunza kitu
@DaniellaBahati-jx9dj10 ай бұрын
Maziwa niya vuguvugu?
@MisosimitamuC10 ай бұрын
Hapana wangu ya kawaida kabisa
@nanagyft8152 Жыл бұрын
Sio kila mtu anajua kingereza dada jalibu kunyoosha kiswahili ili tuelewane
@MisosimitamuC Жыл бұрын
Mpendwa Asante kwa comment yako. Mbona nimeongea kiswahili. Nitajaribu kua vizuri . Asante sana