Nadhani ukipika za maziwa zinakuwa sio chapati za maji tena zitaitwa chapati za maziwa
@HappySulemani Жыл бұрын
Yummy❤❤❤❤
@saganamgaya96114 жыл бұрын
Mmh so simple,1 thing clear with your chanel,simplicity,love t
@mapishitanga98614 жыл бұрын
Thankyou i appreciate it😙😙😙
@azontooxford25272 жыл бұрын
Naenda kuandaa sasahivi. Maelezo rahisi sana
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Asante
@ArafaOmbeni8 ай бұрын
Simple
@RammyGing Жыл бұрын
Mama asante alakini ninaswali kama sisi hakuna blenda tutafanyaje
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Sio lazma blenda hapo nilifanya kuharakishe kuuchanganya unga....unaweza kutumia kijiko kuchanganya iyo mixture
@mwanaishashabani79192 жыл бұрын
Umeweza sana
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Asante sana
@zennaabdullatwif77183 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@mapishitanga98613 жыл бұрын
Shukran
@sherinefahmy3114 Жыл бұрын
Asante na Ww ❤
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Asante
@contempo_builders2 жыл бұрын
Ngoja nitest zali aseeh
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Poa
@contempo_builders2 жыл бұрын
@@mapishitanga9861 ugumu upo kwenye kugeuza aseeh. Tatu za mwanzo zimetoka kama ugali. Lakini baada ya hapo zimetoka super kabisa. Thanks for sharing this magical experience. God bless you.
@mapishitanga98612 жыл бұрын
@@contempo_builders Thankyou kwa kujaribu hii recipe😁.. hzo za mwnzo ni kwasababu chuma kilikuwa hakikupata moto vzur.
@kennethkwai1519 Жыл бұрын
Sijui flampeni langu sio stick pan linasumbua kuna zinanasa. Afu natumia inductive cooker
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Kama unaweza tumia non stick pan alafu, kabla ya kuanza kupika wacha pan ipate moto kama dakika moja hadi kiwe kimepata moto kabsaa ndo uweke mafuta
@JanePondonga3 күн бұрын
Mi naomba kuuliza hapo penye kuweka maji yanatakiwa ya baridi au vugu
@Yurrrr5552 жыл бұрын
Mama asante sana chapiti zako ni tamu sana mimi na kaka zangu tume zipenda
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Asante mwanangu, karibuni tena
@jamilamulla99002 жыл бұрын
Mashaalwah👏👏
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Asanteee
@eddahsalehe1969 Жыл бұрын
Samahan ni lazima kuweka kwa brenda?
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Sio lzima
@kennethkwai1519 Жыл бұрын
Yangu naendelea kueka vitunguu na hoho
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Poa
@zuhuraomar89212 жыл бұрын
Mm nikipika zikipowa haziwi lain kwann
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Inategemea na unga olotumia
@zuhuraomar89212 жыл бұрын
Asant
@neemachomo83906 ай бұрын
Nimependa,mahitaji machache na mapishi rahisi
@mapishitanga98616 ай бұрын
Shukran❤️
@maimunaathman46643 жыл бұрын
😋😋😋
@anabuda74363 жыл бұрын
Psh Zuri Sana
@mapishitanga98613 жыл бұрын
Asante
@winifridalaswai192111 ай бұрын
Je hatuweki sukari?
@mapishitanga986111 ай бұрын
Unaweza kuweka lakn hapo itabid usiweke vitunguu
@akederamadhani5867 Жыл бұрын
Dada ni vpi km ctakoroga kwenye sufuriaa nkasaga tu
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Yess inawezekana
@aminaismail55662 жыл бұрын
Nauliza, kwan hapo mwanzo unapotaka kuweka ngano hiyo hauanzi kuweka mafuta kwenye flampeni au cjaelewa kdg
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Unaweza weka mafuta kidogo kama kikaangio chako kinagandisha lkn ukipata kikaangio ambacho hakigandishi kama cha kwngu hakuna haja ya kuweka mafuta
@neyfamilygud42093 жыл бұрын
Saaw nashukur
@mapishitanga98613 жыл бұрын
Asante
@irenemushi13402 жыл бұрын
@@mapishitanga9861 lppppp
@beathapaschale80212 жыл бұрын
Vip ukitumia robo ya unga ngano unapata chapati ngap?
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Znatoka tano au sita ukizifanya nyepesi
@shufaachambo26572 жыл бұрын
Mama Kama staki kutumia maji je naweza kupika kwakutumia maziwa?
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Unaweza lkn zitakuwa sio chapati za maji hizo zitakuwa zamaziwa
@shufaachambo26572 жыл бұрын
@@mapishitanga9861 mh nmejalibu mama yangu yani zimekuwa Kama mbichimbichi Yana dah najuta kupikia maziwa ufundi mwenginine bwana ila nmepika za maji zmekuwa tamu kwahilo najipongeza
@ismailmasanilo7018 Жыл бұрын
@@shufaachambo2657 😂😂😂ufundi mwingi
@theresiastephano1606 Жыл бұрын
@@shufaachambo2657 🤣🤣🤣🤣 pole
@agnesndetaramo72093 жыл бұрын
💯💯💯
@mapishitanga98613 жыл бұрын
😘😘
@Nasra-s4r11 ай бұрын
Mayai umewek mangap
@mapishitanga986111 ай бұрын
Ipo kwenye video
@jaypolmc1861 Жыл бұрын
Leo nataka nipike chapati nyumbani nikaamua kuja kuchukua notes
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Asante♥️
@careennyange6080 Жыл бұрын
Maji ya baridi au moto?
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Ya kawaida tu
@ElikaAmoni9 ай бұрын
1
@nuruvinny51414 жыл бұрын
Atari jamon mambo ya tanga ayo nyie wanawake watanga mnajua kutukomesha
@mapishitanga98614 жыл бұрын
😅😅😅Asantee 😍😍🥰🥰🥰😘😘
@zaharakabongo6806 Жыл бұрын
Je hiyo chapat unaweka sukari
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Ukipenda unaweka..ni wewe tu
@Mushakitiro-zd9zr Жыл бұрын
Utauwa blender wewe😂😂
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Wala haijafa mpaka leo nzima🤣
@boniphacemashimi6482 жыл бұрын
Mi nimepika zinakua Nene upande mmoja 🙄
@mapishitanga98612 жыл бұрын
Labda unga uliweka maji kdgo .....jaribu tena utaweza tu (usisahau kutumia unga wa ngano ppf)
@emmacute8038 Жыл бұрын
Maji moto ama baridi
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Maji ya baridi
@shigwaishad0697 Жыл бұрын
Blenda tu hii ya kusaga jwis
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Ndio lkn sio lzma kutumia blenda hata upawa unakoroga vizuri tu
@ModestaTimothy Жыл бұрын
Kam sin brend
@mapishitanga9861 Жыл бұрын
Brenda inarahisisha tu..unaweza kukoroga na kijiko cha upawa