@@ZawadiHussein-u7j mm nipo znz na nmennua zaman ssna nshasahau bei ila nahic ni kwenye elf 30
@AsyaKhalfan9 ай бұрын
Uo cone flower kias gan
@Awatee2 жыл бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@jokhahasheemseif98762 жыл бұрын
Samahan mpnz unga uliotia mwisho ni wa ngano au ule ule wa corn flower
@hindusaid26962 жыл бұрын
mashaAllah alafu Kama mtu Hana corn flour anaweza weka ngano
@SwaumJuma-e5h5 ай бұрын
asalamu alaikum
@SwaumJuma-e5h5 ай бұрын
naomba kuwa mwanafuzi wako
@yusrahazard8024 Жыл бұрын
Nilikuwa n shida y iyo video y jicho l ngamia
@a.8562 ай бұрын
Ahsante
@fatumajuma38332 жыл бұрын
Mashaalah
@saudamwita7112 жыл бұрын
Jamniii mie havishikani kila nkitia sona au nutella vinaachana
@fatyscooking80802 жыл бұрын
Tia mpk pemben umo itaganda tu
@AjenthaMatemba10 ай бұрын
Hongera sana nimependa sana tafadhali. Ninaomba kujua mashine inapatikana wapi tafadhali.
@fatyscooking808010 ай бұрын
Mm nipo zanzibar so nmennua zanzibar ila dar kariakoo bila shaka hukosi
@SalmaAli-fg4me Жыл бұрын
Mashallah
@mwanahamisimussa-xf9kg Жыл бұрын
Nielekeze hyo measuring cups
@maryamally7932 жыл бұрын
Maziwa ya ngomb hayafai mmy
@habibahamis8210 Жыл бұрын
me nd biashara yang nd natumiag ya ng'ombee
@kautharjay58687 ай бұрын
@@habibahamis8210hayawezi kufaa ni mepes
@bahatiomar19732 жыл бұрын
Assalam aleikum warahamatullahi wabarakatu darling naomba kuuliza unaweza kutumia custard powder badala ya corn flour mashaallah
@fatyscooking80802 жыл бұрын
W,Salam yah unaweza dear
@sabah95603 жыл бұрын
MashaaAllah 😋 naomba utuwekee recipe ya maandazi ya mafuta🙏👏
@RukiyaShee6 ай бұрын
A.alkm Machine naweza kupata wapi
@NuruMlandula4 ай бұрын
Madam vipimimo vya vikombe uwaga vinanisumbua kuelewa naomba nielekeze kwa gm
@glorymasanja8986 Жыл бұрын
Hiyo mashine ya jicho la ngamia ni shiling ngapi?
@LutfiaRashid Жыл бұрын
45000
@ALIBUNO-ke8bj Жыл бұрын
Mashaallah kama mtu haelewi kipimo cha kikombe utuambie kwa gram
@hawasalum93932 жыл бұрын
Asalamu alaik nauliza kidogo ayo maziwa hayachemshwi
@bisharahassan11132 жыл бұрын
Shukran sana
@abdihadid1102 жыл бұрын
Zuwena Salim .3w ago
@judithmrema6049 Жыл бұрын
Naomba vipimo vya unga Kilo 2
@abdillahhamad8902 жыл бұрын
Wao
@RIZIKIMOHAMEDI-si9hk11 ай бұрын
Mashine inapatikan wap na bei gan
@Fauziajumaa843 жыл бұрын
Nice mashallah Kama nijaribu leo leo ila tatizo mashine 😪😪😪
@msongorokhadija23532 жыл бұрын
Masha'Allah hayo maziwa ni yale condensed milk?
@bintsalimalbimany2872 жыл бұрын
Ehee ndio habibty
@rugeyyemuhammad15492 жыл бұрын
Mashaallah
@salvatakiseo33592 жыл бұрын
Naomba kuona iyo alki ya pineapple na ni bei gani
@fatmarajab42403 жыл бұрын
mashllah
@habibahaniu33072 жыл бұрын
Hii mashine yaitwaje kwa kizungu
@atwiyamohamed9992 жыл бұрын
Nutty maker
@RukiyaShee6 ай бұрын
Kama Huna hiyo type ya kikombe naomba nieleze vipimo kwa grams
@JosephineTatiro-tv3qkАй бұрын
Jambo Nauliza ukisema kikombe kimoja ni sawa na kilo ngapi ?
@fatyscooking8080Ай бұрын
@@JosephineTatiro-tv3qk ni gram 125
@MozaRished6 ай бұрын
Kikombe kimoja sawa na gram ngapi mm sina vikombe hivyo
@abdihadid1102 жыл бұрын
Ok
@khadijamohamed2097 ай бұрын
Km sina ntmia kikombe gn
@MaimunaMussa-gm7oc10 ай бұрын
Maashallah tumejifuza mashine hizo unauza
@catherinepayson-bx5iw Жыл бұрын
Mashine hiyo n bei gan?
@kautharjay58687 ай бұрын
elf 25
@khailattaynah312 Жыл бұрын
Hiyo mashine ni sh ngap na unga ambao unachanganya ni ngano au nga wa ugali
@yusraadim21562 жыл бұрын
Naomba kujua kipimo ni kikombe Cha margarine vya size gani
@fatyscooking80802 жыл бұрын
Measuring cups
@serkhamseif2492 жыл бұрын
Seif
@RitbayRitbay10 ай бұрын
Shukran
@Issathuwaiba-rr2hh10 ай бұрын
Km huna unga wa komflawa je
@zenaswalih90462 жыл бұрын
Kama unga nusukilo siagi unatiya ngapi na sukari ngapi sukari unatiya robo au nusu nifahamishe
@eddyboris24483 жыл бұрын
naomba unielekeze kwa kutumia unga nusu kilo jee mahitaji mengine ni saizi gan
@fatyscooking80803 жыл бұрын
Siagi nusu, sukar nusu Ila punguza km mkono mmoja hivi , na unga wa corn flower tia kikombe kimoja ,kikombe chochote pimia sio lazma km icho nlotumia mm, mayai tia mawili, na kuhusu unga wa ngano utakuwa unaweka taratibu mpk ujishike, tia na custard km unayo vijiko vinne mpk vitano
@rahmaaloufy75132 жыл бұрын
Custard vijiko 4 kwa nusu mbon y hio kikombe umetia kikombe nusu hk nusu unaeka kidog why
@eshehussein61012 жыл бұрын
Baking powder kijiko Kipi
@arafamohamed35762 жыл бұрын
Namm nataka nijaribu
@asyamgunya49402 жыл бұрын
mashaallah Allah akulipe wema wako amin
@fatyscooking80802 жыл бұрын
Amiiin kwa sote
@AGENTJUSHA Жыл бұрын
Mambo vipi kwa io sawa na kg ngapi unaposema nusu kikombe
@omaryrashid78032 жыл бұрын
Unaweza kutumia mzani gram
@mozahassan82302 жыл бұрын
Asant san nimeelew
@salvatakiseo33592 жыл бұрын
Machine bei gani
@msongorokhadija23532 жыл бұрын
Na hiyo machine bei gani na tunaweza pata wapi?
@salmahalfani63072 жыл бұрын
Kwa Zanzibar ni sh. 45,000/
@johnsaidi11812 жыл бұрын
Kama sina siagi?
@habibahamis8210 Жыл бұрын
siagi lazim dear
@babycool30322 жыл бұрын
Asante daa kwaujuzi mm pia Honda mapishi
@masoudchile13023 жыл бұрын
😋😋
@najmakhan63262 жыл бұрын
Hi machine hii ntapata wapi???
@salmahalfani63072 жыл бұрын
Zanzibar ni nyingi tu hizo mashine
@ashurarashid418 Жыл бұрын
Nataka vipimo kamili
@RahmaRahma-q4d10 ай бұрын
Huo ni unga wa ngano????????
@salmamaqsood62152 жыл бұрын
Dada navitaka hivyo navipataje tunaomba namba tuweke oder
@fatyscooking80802 жыл бұрын
0629224012 hii ndo no yng Ila nmejaza cpokei Tena Oda nifate Instagram fatyscooking utaniona
@aishaaalii19882 жыл бұрын
Hbr, icho kikombe kimoja ni sawasawa na robo au vp
@fatyscooking80802 жыл бұрын
Hapana , robo ni gram 250, kikombe kimoja saw saw na gram 125
@sabrahassan62292 жыл бұрын
Uwo unga wa 1 corn na wa pili ni huo huo au mwingine
@ZainabuKassimu-yw4qp Жыл бұрын
Ngano haifai kutengenezea
@RitbayRitbay10 ай бұрын
Lazima ngano na unga wa corn flower
@groupnumber26913 жыл бұрын
Kwan Ivo vidude huwesi ukachomea kwa jiko la kuka yaani lakuchomea maandszi na halafu uo unga was cone ndo up
@fatyscooking80803 жыл бұрын
Anhaa ok nmeona msg yako dear ,samahan kwa kuchelewa kukujibu, hapana huwez kuchomea kwenye kuka kwasababu haitapatikana shepu ya kishimo lazma uwe na mashine km hiyo nlotumia mm. Na kuhusu unga wa corn flower ukienda duka lolote lile weye sema hivo hivo unga wa corn flower Basi utapatiwa ata hauzwi ghali ni Bei rahisi tu km ckosei elfu mbili Mia tano kwa pesa ya Tanzania
@groupnumber26913 жыл бұрын
@@fatyscooking8080 sw ahsante kwa mapishi
@gigwaclay52602 жыл бұрын
Naomba kijua hiyo mashine inauzwa sh ngapi na inaitwaje
@salmahalfani63072 жыл бұрын
Kwa Zanzibar ni sh. 45,000/ mpaka 50,000/ hivi
@shamos95962 жыл бұрын
Uwo unga w coon flower ndio unga gan
@groupnumber26913 жыл бұрын
Naomba jb
@fatyscooking80803 жыл бұрын
Jibu gan
@fatmasaleh79242 ай бұрын
Natak jinsi ya kutengeneza filling ya maziwa ya sona😢
@saidomar98455 ай бұрын
Honereni
@zainabualy4283 Жыл бұрын
Na piya kama sina unga wa koflawa vp
@rashidaali4548 Жыл бұрын
Corm flour ni unga wa mahindi ama
@mozanassor332 жыл бұрын
Naomba nambayko plz
@fatyscooking80802 жыл бұрын
0629224012
@KulthumDaudi-hs9wc7 ай бұрын
Vileja vya tende
@yassirahmed4661 Жыл бұрын
Sorry unaweza kutumia siagi yoyote tu au ni lazima blueband
@abdihadid1102 жыл бұрын
Hey
@RahmaIssa-nj1el Жыл бұрын
Con inga gani
@taniabim-yn1xf Жыл бұрын
Sasa mimi nata vipmo
@zulekhaamuri24652 жыл бұрын
Uwo unga gani
@izmillove-kf2qc Жыл бұрын
Unga uliotia mwishoni ni unga wa ngano au wa sembe
@RuqayyaSadick10 күн бұрын
Kwa unga huo ulitoa vijicho vingap🙄
@sharajuma85052 жыл бұрын
Hujambo
@mwakazuberi75832 жыл бұрын
Hivyo vikombe vinaweza kua vipi kwa vipimo yani 1/2 , 1kg au
@fatyscooking80802 жыл бұрын
Vinauzwa dukan Ivo vikombe,sema tu nataka vikombe vya kupimia,measuring cups
@mwakazuberi75832 жыл бұрын
Okay asante
@MohamedMohamed-ng2rm2 жыл бұрын
@@fatyscooking8080 ni swaa na ujazo wa gram ngapi mm cna hvo vikombe
@ArafaHanady Жыл бұрын
Kwamfano ukiwa hauna huwo unga hata wangano haufai kutenezea