Рет қаралды 13,067
🍗 Njia rahisi zaidi ya kupika kuku hata ukiwa na haraka haina taabu.
🍗Viungo nilivyotumia kama kuna ambacho haupendi unaweza ukakiacha tu na pia kama ni mpenzi wa pilipili unaweza ukaongeza.
🍗Sauce hii unaweza kuitumia kula na vitu mbalimbali kama ugali, mahamri, wali na vinginevyo..
🍗Kwa recipe ya kuku wa kienyeji kindly tembelea page yangu ya instagram nilishaiweka huko @iamrasheedah__
❤️Usisahau ku like, share na ku subscribe kwa mambo mengi mazuri yanayokuja🙏