Habari yako mamaa,nimependa upishi wako sana.mimi nataka hizo sufuria but Niko Kenya nitazipata vipi.
@missmasao Жыл бұрын
Habari dear. Asante kwa feedback, nichek instagram ,username Missmasao , ni dm huko tutaongea.
@jamesminja3273Ай бұрын
nakupendaaaa sana
@missmasao15 күн бұрын
Asante sana
@VickKulekana-si1ib8 ай бұрын
Ndio ata Kuna Bibi yetu alikaanga ivyo nyama inamaji ikakaukia ikawa tamu
@missmasao8 ай бұрын
Asante kwa feedback.
@fortunendyamukama3906 Жыл бұрын
Mie sufuria tu naipenda
@heriethlucas53682 жыл бұрын
Hello, nice recipe...sorry umetumia kiasi Gani cha vinegar dear?
@missmasao2 жыл бұрын
Hello dear, measurements za ingredients naweka hapo kwenye description box naomba uangalie, asante sana.
@JimilaMooo Жыл бұрын
Heeeeeh Dada asate kwa pishi lako Zulu alina mambomengi linaeleweka alafu ni lais San nimetesit Leo kupitia mahelekez yako nitamu balahaaaa ubalikiwe Dada
@nurugiftarnold7243 Жыл бұрын
Nzur asante
@missmasao Жыл бұрын
Karibu
@BonifaceChaula-gx7xb Жыл бұрын
Asante
@missmasao Жыл бұрын
Karibu .
@lightnessmasawe1751 Жыл бұрын
Nzuri minataka hiyo sufuria unapatikana wapi nije
@missmasao Жыл бұрын
Asante, sufuria ni kwa order dear.
@mwashamsaid5975 Жыл бұрын
Vinega Ndo nini
@missmasao Жыл бұрын
Habari, siwezi kuielezea ila iko kwenye mfumo wa kimiminika , ukienda madukani utaipata.