Jinsi ya kupika Maharage matamu bila kutumia nazi... S01E01

  Рет қаралды 69,925

B's Magic Kitchen

B's Magic Kitchen

Күн бұрын

Пікірлер: 83
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 2 жыл бұрын
Absolutely fantastic. Dada chakula chako kinavutia....
@MARIAMJUMA-y1m
@MARIAMJUMA-y1m 29 күн бұрын
Hongera jamn yani pixhi lako tamu xana
@hermandemello2200
@hermandemello2200 3 жыл бұрын
V nice maharage mix vegetable recipes lovely results I'm pleased n happy watching ur post from Dar n Tanga amen
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Thank you so much for your support🙏🏾
@HappinessMaulid-vg2qh
@HappinessMaulid-vg2qh Жыл бұрын
Waooo nimependa
@NeemaMwambope
@NeemaMwambope 6 ай бұрын
Vzr
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Daaa yaani wewe Dada unakosha roho yangu. Kila nonachotaka kujua unafundisha. Ubarikiwe kwa kweli unajua...
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante sana.... Nakushukuru na wewe kwa support👏
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
@@MsBupe poapoa Dada karibu
@reneelameck2078
@reneelameck2078 4 жыл бұрын
Shukrani sana yaani ndo ni naenda kupika asante
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Karibu sana na ninashukuru kwa kuangalia👏
@reneelameck2078
@reneelameck2078 4 жыл бұрын
@@MsBupe yaani asante sana nimatamu NIMATAMU SANA nahamu ningekualia
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp 2 ай бұрын
Pilipil hujaweka
@lau_attitude8810
@lau_attitude8810 4 жыл бұрын
Unajua sanaaaa
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante sana my 👏❤
@rhodabenjamin4292
@rhodabenjamin4292 4 жыл бұрын
Unaelekeza vizuri mno
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante my dear na pia nakushukuru kwa kuangalia👏🏾 Karibu tena❤
@FANDEFRANK-w7u
@FANDEFRANK-w7u 9 ай бұрын
PILI pili kali dada angu hawez kukela
@Tv-dl4qj
@Tv-dl4qj 3 жыл бұрын
Nimependa asante sanaa😘
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Asante sana na wewe kwa kuangalia🙏🏾
@BonfilsJacques
@BonfilsJacques 3 ай бұрын
😍😍✊
@maryibz3284
@maryibz3284 5 жыл бұрын
Nimependa hilo pishi, maharage yanavutia sana. Hii ndio mara yako ya kwanza duh! Uko kama mzoefu.
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Asante sana, naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia karibu uangalie na video zingine.
@amanijosefu7456
@amanijosefu7456 4 жыл бұрын
Tamuuuu
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante😊
@monicaleonard6603
@monicaleonard6603 4 жыл бұрын
Asante kipenz
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante na wewe kipenzi kwa support👏🏾❤
@erickmseba9916
@erickmseba9916 5 жыл бұрын
Asante nimejifunza kitu
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Karibu sana. Enjoy na video zingine usisahau kusubscribe please.
@valentinaulotu1416
@valentinaulotu1416 4 жыл бұрын
Woww
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
👏🏾❤
@rukiashoko7528
@rukiashoko7528 5 жыл бұрын
Pishi tamu sanaa hongera
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Asante sana, karibu uangalie na video zingine na usisahau kusubscribe.
@jojokweka1902
@jojokweka1902 4 жыл бұрын
Nice
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Thanx👏🏾
@ahmedathman1624
@ahmedathman1624 2 жыл бұрын
Patamu kumbe
@aboudkhalifa7329
@aboudkhalifa7329 8 ай бұрын
So hakuna need ya kuweka maspice?
@rajabuyusuph6371
@rajabuyusuph6371 4 жыл бұрын
Pishi tamuuu
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante sana kwa support yako👏🏾
@SamwelMisungwi
@SamwelMisungwi 3 ай бұрын
Nataka nije kula kwako tafadhali
@ivanlaizer6532
@ivanlaizer6532 4 жыл бұрын
I don't like it, I LOVEEEE it😊😊
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Thank you for loving it, please don't forget to sub and click the bell not also please follow me on insta @bmagickitchen thank you👏
@omarrodriguez8457
@omarrodriguez8457 5 жыл бұрын
Mapishi mazurisana
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Asante sana. Nimefurahi umependa, karibu uangalie na zingine bila kusahau kusubscribe.
@Tesla78724
@Tesla78724 3 жыл бұрын
Dadake una balaa na nusu malkia wa mapishi
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
😃😃😃 nashukuru sana kwa support yako🙏🏾 Karibu tena.
@zubedaabbas5647
@zubedaabbas5647 4 жыл бұрын
Shukran sana Aunty.samahani alakini unweza kuweka nazi ukipenda ?
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Ndio my dear na tena kuna video ya maharage ya nazi ukipanda juu utaiona, unaweza ukaicheck. Asante sana kwa kuangalia👏
@twalofrank3753
@twalofrank3753 5 жыл бұрын
Asante sana kwa pishi hili
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Karibu, ukiweza unaweza check na video zingine pia naomba usubscribe na kubonyeza kengele.
@jesusgod3383
@jesusgod3383 4 жыл бұрын
Very simple recipe, but you need to tell us the measurents. Love how u use less seasoning but very tasty. Kama how many tomatoes n garli n ginger added plus is it fresh tomatoes or tin ones thanks
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Understood, thank you for watching. Please don't forget to subscribe and click on the Bell Notification so that you're notified whenever i upload, also follow me on insta @bmagickitchen thank you very much. Feel free to watch other videos too👏
@nevillegabriel1314
@nevillegabriel1314 2 жыл бұрын
Nimeiona leo, nikapika leo… itoshe kusema 🙌🏾🙌🏾 umenitoa kwenye upuuzi wa maTumeric, Coriander na maCinnamon Powder..
@rioleesky_art
@rioleesky_art 2 жыл бұрын
Viungo Kwa Kiswahili plss
@danieljulius1872
@danieljulius1872 4 жыл бұрын
Moto ni kias gan?..manake wengne kubalans moto hautuwez
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Wa size ya kati, sio mkali sana wala sio mdogo sana. Asante sana kwa support👏🏾
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 5 жыл бұрын
👍
@chikumussa7983
@chikumussa7983 4 жыл бұрын
🙏🙏
@meetnaty2213
@meetnaty2213 4 жыл бұрын
😋😍
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
👏🏾❤
@doreenbaigana971
@doreenbaigana971 4 жыл бұрын
Pilipili nzima unavyoisagia je ukali hausikiki na je mtoto anaweza kula?
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Kali sana lakini ndivyo ninavyopenda, kwa mtoto haifai my dear. Asante sana kwa kuangalia, karibu uangalie na zingine na pia naomba usubscribe na kubonyeza kengele na pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏👏👏
@Josephbasigwa
@Josephbasigwa Жыл бұрын
Unym
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Dada alafu maharage unachemsha kwa muda gani?
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Inategemea mpaka masaa manne.
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
@@MsBupe ahaa sawasawa Dada nimeelewa
@kiduinc
@kiduinc 5 жыл бұрын
birian linapikwaje kwa haraka
@Boaz22
@Boaz22 4 жыл бұрын
We dada mbona sijaona ukiweka ile pilipili🤣🤣🤣😂😂😂😂
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Rudi ukasikilize mwanzoni mwa video.
@mudrikrajab2113
@mudrikrajab2113 5 жыл бұрын
Lakin sjaon kutiw chumvi au viung vyengn like uzile
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Asante kwa kuangalia, kama sijaweka chumvi pengine nilionja off camera nikaona chumvi inatosha maana huwa nachemsha maharage na chumvi. Pia video ya kwanza ndugu yangu makosa madogo madogo yanaweza kuwepo. Na hivyo viungo vingine sijaweka kwa sababu sijawahi kuvitumia lakini nitajaribu. Naomba uangalie na video zingine na kusubscribe na kubonyeza kengele, asante.
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Ndg yangu nimerudi kuicheck video mwanzoni kbs nilipoweka nyanya niliweka chumvi pia @2:50 pengine ilikupita bahati mbaya.
@mudrikrajab2113
@mudrikrajab2113 5 жыл бұрын
Ok assent nimerudia tn nimeon
@mudrikrajab2113
@mudrikrajab2113 5 жыл бұрын
Naomb kujua 2ngul unasag unachanganyish nn au 2pu 2
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
@@mudrikrajab2113 karibu sana.
@kelvinfelician978
@kelvinfelician978 5 жыл бұрын
mama naitaji kujua mengi naomba nitafute nmba yangu hii 0676567846
@josephmunisi5020
@josephmunisi5020 3 жыл бұрын
Naomba namba yako nitumie kwenye 0688364382 nitakupigia unielekeze vzr dada angu
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Maelekezo yote yapo kwenye video, hakuna mengine. Nashukuru kwa support yako🙏🏾
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 15 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 5 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 14 МЛН
jinsi ya kupika maharage yenye rojo bila kutumia nazi/porridge beans recipe
5:26
jikoni kwa mama Swaumu
Рет қаралды 1,4 М.
Jinsi ya kupika Njegere.......S01E50
7:35
B's Magic Kitchen
Рет қаралды 325 М.
Maharagwe Ya Kukaanga matamu Bila nazi || Tasty Bean Stew Recipe
4:05