Mimi nimekuelewa vizuri sana dada pia niishawahi kufanya kazi bakery hii kazi naipenda sana inalipa sana ila nilikuwa sifaham jins ya uchomaji kwenye mkaa ila naona umenifumbua macho vitu vingi sana, ila kitu kimoja tuu sijajua ni kiasi gani cha dawa inayochanganywa kwenye mkate ili usiharibike ukiwa sokoni, mimi nataka nijiajiri kabisa kupitia hii kazi, sasa nakuomba sana ningepata namba ya simu ili inisaidie pale nitakapohitaji ushauri asante.
@abdulwahiddayal-fz7hh Жыл бұрын
Nahitaji kujuwa vimo vyote KWA gm kilakitu
@زيتونتنزانيا10 ай бұрын
Mimi nahitaji kujua hii kazi sijui wapi wanafundisha
@aliceringo52310 ай бұрын
❤
@SnatusKweka-gh3um Жыл бұрын
Uko vizuri ahsante nimejifunza
@sabrinamohamed7416 Жыл бұрын
Asante kwa mapshi mazuri tusiojua tumejifunza
@Royalcakespoint4 жыл бұрын
Thanx kwa video..pls naomba elimu kuhusu bread improver???
@PaskalinaPaskalinamasawe Жыл бұрын
Asanten sana mziwanda .nomejifunza niko kwenye mazoezi
@anneanne84764 жыл бұрын
From Kenya🇰🇪 tunasema upishi wako ni mzuri mno👌
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ahsante darling
@relatable-withlucyk10854 жыл бұрын
Where do I buy the mixer?
@GraceMethuselaNtwale4 ай бұрын
Uko vizuri sana
@mwasizame67122 жыл бұрын
Mpo vizuri sana kwenye mafunzo Hongera sana
@mshumqueen78254 жыл бұрын
Mungu akuweke wewe dada naona kabisa ndoto yangu inavyoenda kutimia ubarikiwe sana
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin
@esterkapimba-tc8wk3 ай бұрын
Pishi zuri Sana,asante Kwa elimu nzuri
@VictoriaAbdallah-h8h8 күн бұрын
Ahsante kwa Elimu hii
@gracejulius19144 жыл бұрын
Thanks love uko good sana. Asante kwakua sio mchoyo
@gaudensiabunga90172 жыл бұрын
Àsante sana kwa somo , nimejifunza kitu
@pwrhero6529 Жыл бұрын
Mubarikiwe sana kabisa asante mama
@janetnthenya92354 жыл бұрын
Nimejivunza so much kutoka kwako.may God bless you
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin
@masoudrajab36144 жыл бұрын
Asante kwa ujuzi wa kutengeneza mikate na skonsi
@carolinemariki40294 жыл бұрын
Hongereni sana mko vizuri sana
@shhdndhdjsjs-em4kd Жыл бұрын
Kazi nzuri dada ❤❤❤
@nightsamji46732 жыл бұрын
Masha Allah nimependa sana nitajaribu 🥰🥰🥰🥰
@OmanOman-u3o10 ай бұрын
Nimeipenda sana nakama ninatrei laovena
@gracenkongo1994 жыл бұрын
Mungu akubariki dada,siyo jambo la kawaida mtu kujitoa elimu yake hivi hivi.Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin
@Faiza-fm9fl4 жыл бұрын
what's bread improver
@talhasalim5044 жыл бұрын
MashaAllah nzuri, na mm ntajaribu
@florencechaz17144 жыл бұрын
Wow..., mpka raha inaonekana mitamu sana hongera na asante kwa kutuelimisha dear.
@colethangusulu45644 жыл бұрын
Hongera ni nzuri
@agnesmagehema5762 жыл бұрын
Nakupenda mpendwa wangu napika nami huu mkate kwa kufuata maelekezo yk
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Karibu sana ❤
@lavalava33044 жыл бұрын
Asante sana habibty tufundishe sambusa za unga wa mach el
@dianaleole64604 жыл бұрын
Mzuri sana mkate hongera
@lydianjeri44174 жыл бұрын
Good job mama i love ur video
@joycemasanja41302 жыл бұрын
Asante hakika nimejifuza
@marymushi79234 жыл бұрын
Waaawow! Ahsante sana kwa darasa zuri, endelea kutufundisha zaidi mpendwa.
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin dear
@brernnany Жыл бұрын
Naikubali kazi yako dada
@RehemaWiseman7 ай бұрын
Mkate mzuri kesho nitajaribu kupika
@RaphaelKavishe-js3ty Жыл бұрын
Nimeipenda sana na piah natamn nianzishe kaz kama hii sema bado sijajua vifaa vitakavyotumika
@shamsanassoro98224 жыл бұрын
MaashaaAllah ni mzur, nimeupenda
@priscamutendamwaipopo71204 жыл бұрын
Nimeipenda sana recipe yako ya hii mikate. Big up Mziwanda Bakers!!
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Thank you
@mwanjaamalinza82562 жыл бұрын
Mashaallah mikate mizuri sana hongera
@vickympwepwa Жыл бұрын
Moto umeweka ngapi
@angelusgch603 жыл бұрын
Thanks. Hongera
@amadirispa83824 жыл бұрын
Santee sana mumy kua nahiyo moyo wakufuza vizuri hivyo ubarikiwe
@abuubakarkichimbo99574 жыл бұрын
Mashallah hongera kwa ujuzi wako
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🙏
@philipadrian85343 жыл бұрын
Asanten mziwanda bakery..👏🏾👏🏾
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu 🙏🙏
@philipadrian85343 жыл бұрын
Asante sana
@RachelPalls-ry6bl Жыл бұрын
Kazi nzuri dada nimependa,bt nna swal,...recipe ya scones haifai Kwa mikate?
@fatmakhalifa50293 жыл бұрын
Mashallah uko vzr
@dhulfaabbasi19174 жыл бұрын
My Dada wallah wafanya vzur,,, Allah akufanyie wepesi katika kazi zako akucmamie km unavyotuelimisha love u 😍 !
@lamiessaed10924 жыл бұрын
Dhulfa Abbasi karibu kweny channel yangu ili usipitwe n kila video yangu ya urembo ☺️
@dhulfaabbasi19174 жыл бұрын
@@lamiessaed1092 Asante Dada tuko pamoja ntakuja jifunza mengi ktk channel ako ucjal thanks so much ee
@lamiessaed10924 жыл бұрын
Dhulfa Abbasi aww thank u lovie
@RoseMlay-d9j3 ай бұрын
Jamani dàda na Mimi nimejalibu kupika imetoka lakini kweli Asante sana dada mungu àkubaliki sana
@mziwandabakers82973 ай бұрын
Hongera kwa uthubutu dear
@abdulkhamis4955 Жыл бұрын
Kazi nzuri nahitaji huo mzani napata wapi
@salmaalbarwani26184 жыл бұрын
I will try vry nice
@sadasaleh83594 жыл бұрын
Asante kwa kutusikiza wapenz wako nakitujali mm dua zangu n nying kwako saanaaa saaanaa yarab takabal duaa
@lamiessaed10924 жыл бұрын
Sada Saleh hi love karibu kweny channel yangu u subscribe ujifunze urembo
@khadijaali36884 жыл бұрын
Mashllh nzuri sna vile mm napenda ku beak
@sofiaahmed88804 жыл бұрын
Nitajaribu inshaallah nimependa
@mwantumumnzava5441 Жыл бұрын
Nimeupenda sana km unagrupu niunge
@sellahachwanya28204 жыл бұрын
Wajua kueleza vizuri saana
@marywillson33112 жыл бұрын
Thanks my dear ❤️
@mekolomjera22934 жыл бұрын
Hongera dada kazi safi sana
@pulcheriamayombo57802 жыл бұрын
Asante wewe ni mwalimu
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
❤
@muniraramadhani90934 жыл бұрын
Nzuri mashaallah hongera teacher
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😋😋😋
@mwamvuakassim9812 жыл бұрын
Mamy hongera unaelekeza vizuuuuri 😋😋😋
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Karibu dear
@mwamvuakassim9812 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 asante kipenzi nikihitaji kuwa mwanafunz wako utaratibu upoje
@BashiruNjonjo-cm3fv Жыл бұрын
Nashukuru kwa mafunzo haya kwa hakika munatusaidia sana
@lightnesskomba10133 жыл бұрын
pishi zuriiii😘
@wazamziray20553 жыл бұрын
Ahsante Sana kwa mapishi Mazuri. Naomba unifahamishe hii Amprove inayosaidia kuhumuka mkate. Inaitwaje Kwa Kiswahili ili nitafute Madukan.
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Shukran, hii jina lake ni hivyo hivyo bread improver
@HusnaSimba-ml5ov Жыл бұрын
Umetisha naomba no yko dear.
@fatumahatibu57424 жыл бұрын
amazing mamy MashaAllah
@marianyahenge95294 жыл бұрын
Love u mziwanda
@mwajumaomari47745 ай бұрын
Kuna bread ibmprover ya maji?
@DayanaKanani Жыл бұрын
Asante kwa darasa zuri dada,natamani kujifunza ningepata namba yako ingekua poa sana
@hajrahalfan53023 жыл бұрын
Moto unaweka kiac gn??naomb vipimo vya unga wanusu kilo plz nijalib
@salmaseif87554 жыл бұрын
Nimeinjoy sanaa
@florahmathew35104 жыл бұрын
Bila bread improver hauwezi tengeneza mkate?
@mmmjosphat2 жыл бұрын
Best of the best
@magrethmbagga95023 жыл бұрын
Waaaa mkate mzuri sana. Bina swali nl lazima uweke amira pamoja na baking powder.?
@neemamseti22513 жыл бұрын
Una nibariki sana dear natamani nijue kutengeneza hivi ngano ni ppf
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Shukran, ngano nimetumia Azania HBF
@neemamseti22513 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 poa asante sana naweza kufikaje kwako nikitaka kujifunza na bei pia
@shuukuchy63503 жыл бұрын
Ntaanza buzness jmn... Asante Mziwanda
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Usiache ahadi hii ya biashara hakikisha unaifanya
@shuukuchy63503 жыл бұрын
Aww my... Ntarud n mrejesho nkishaianza 😘😘
@makariuskalemela96054 жыл бұрын
Nakupendaga bure mumy uko vizuri mnoooo
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🥰🥰
@mbelemmunga-ps4df Жыл бұрын
Napenda kujua kiasi hicho cha Tbsp yaani nikijiko cha gram ngapi?
@RaniyahAnwar4 жыл бұрын
Ma shaa Allah nimependa!!💞
@muniramtika36144 жыл бұрын
Unaelekeza vzur sn .Asante mnooo😍
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😘
@LeilaIddy-s5k4 ай бұрын
Km sina tina ya shep ya hivo nafanyaje au hata shepu yoyote tu
@rosehillary87424 жыл бұрын
Asabte sana nimejifunza na ntapractice 👏👏👏Mkate unavutia sana
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😋
@amadirispa83824 жыл бұрын
Asante sana kwamafunzo yako mwalim
@amadirispa83824 жыл бұрын
Mapisi yako inafanya ata Mimi sikuenda while nakueweza kupata MTU wakunisomesha coz mum wangu alikua masikini
@amadirispa83824 жыл бұрын
Nasukuru Nime fwatilia elimu yako mbaka naona kama naweza kujaribu. Endelea hivyo mwalim namngu akupe nguvu saidi
@amadirispa83824 жыл бұрын
Mwalim maelezo yako nimepesi INA Fanya mbaka mutu ana kua na nia yakufanya
@amadirispa83824 жыл бұрын
Mimi natoka Kenya nawasukueu sana
@agathahaule59394 жыл бұрын
Hongera, naendelea kujfunza zaid, ubarkiwe mum
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin
@sarahdaud29832 жыл бұрын
Amaizing🥰🥰🥰
@peninashungu66333 жыл бұрын
Waoo NC ❤️❤️😂
@SurprisedDuck-vg9hc10 ай бұрын
Samahani Ivi oven iyo kubwa inauzwa sh ngapi
@ilhamkeis96094 жыл бұрын
shukran sana dear,ubarikiwe.
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin
@lamiessaed10924 жыл бұрын
Ilham Keis hi love karibu kweny channel yangu uone urembo
@grecevitariss6363 Жыл бұрын
Nimependa sana
@MoreenNdalu10 ай бұрын
Nimependa na mm nataka nijifunze kupika mkate nifungue bekaly
@reginatemba97524 жыл бұрын
Nakupenda dada,Mungu azidi kukubariki
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin
@lamiessaed10924 жыл бұрын
Regina Temba hi love karibu kweny channel yangu u subscribe ujifunze urembo
@masibosvlogmasibos97384 жыл бұрын
Mashalah uko Sawa Dada
@lucylucumay9683 Жыл бұрын
Ili mkate usiharibike haraka Nini kinawekwa???
@rachelerastusm14662 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@mapishinarose24152 жыл бұрын
Unga umetumia pff au ?
@johnjuma96584 жыл бұрын
Congrats 100% perfect
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Thank you
@LaurentyRoman-zc9pz10 ай бұрын
Nimependa Sana nitajifunza
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Napenda sana mapishi yako
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Karibu ❤
@vumiliahamisi70464 жыл бұрын
Kazi nzuri pia naomba kujua mashine yako umenunua shilingi ngapii nijibu tafazali
@farhatnassor91474 жыл бұрын
Nimependa sana aisee ntajaribu
@hamidaabdallah13274 жыл бұрын
upishi wako mzuri sanaaaa
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🙏
@rebekakubebeka20434 жыл бұрын
Nimejifunza
@leokamil62844 жыл бұрын
Habari gani naomba kipimo cha mkate mmoja asante sana
@asiabeauty98514 жыл бұрын
Sijuti kuungana nawe, asante my dada penda sana wewe
@rayakhalfansaleh48894 жыл бұрын
bread improver tutaipata wap znz
@lamiessaed10924 жыл бұрын
Asia Beauty hi love karibu kweny channel yangu u subscribe ujifunze urembo