jinsi ya kupika mtama(nafaka)vizuri na kuwa chakula bora zaidi

  Рет қаралды 2,807

homecookingTz

homecookingTz

Күн бұрын

*faida kubwa za mtama kiafya
.inazuia aina fulani ya kansa
. huimarisha umeng'enyaji mzuri wa chakula
.hujenga mifupa yenye nguvu
.huboresha maendeleo ya chembe nyekundu za damu
.Nipendekezo zuri la diet kwa watu wenye ugojwa wa celiac(ni namna kinga ya mwili inavyo react kipindi mtu amekula chakula chenye gluten mf.ngano):,na kusababisha utumbo mwembamba kuvimba

Пікірлер: 14
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 8 ай бұрын
Asante video nzuri na uneelezea vizuri. Nashauri kwenye video zako ulezee kwa undani virutubisho na faida faida za kula hicho chakula kiafya. Wagonjwa wanausgauriwa kula hicho chakula. Faida ya kula hicho cha kula. Asante sana❤
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Жыл бұрын
Wooooow Dada Yetu muda mrefu sijaangalia aisee. Nimepitwa na mapishi mengi sana ya kwako. Daaa mambo mengi sana. Hongera Dada..Endelea kutufundisha
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 8 ай бұрын
Vyakula vyako ni vizuri sana. Ni vya asili salama kwa afya zetu❤
@umiy1971
@umiy1971 Жыл бұрын
Nitajaribu Mimi sipendi wali unaniumisha tumbo Kwa gesi
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Sahani yako ongeza mboga za majani
@salimwanga8336
@salimwanga8336 Жыл бұрын
Nakubal sister kw mafundshoo yak mazuri San
@salimwanga8336
@salimwanga8336 Жыл бұрын
Wow wow Masha Allah ni cha Kula safi San
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 4 ай бұрын
Ndio nimejua leo
@protusmushi7162
@protusmushi7162 9 ай бұрын
Tunahitaji kujifunza zaidi tupe no. Ya cm
@protusmushi7162
@protusmushi7162 9 ай бұрын
Nimefurahia sana mafundisho yako ya jinsi ya kupika wali wa mtama.
@homecookingtz2488
@homecookingtz2488 8 ай бұрын
Habari huo ni mtama mzima,wali wake unaitaji mtama utwangwe kwanza,kwa kujifunza zaidi subscribe kama unaswali comment na nitakujibu wala usijali
@protusmushi7162
@protusmushi7162 9 ай бұрын
Naomba uweke na namba yako ya cm.
@fawziaabdurrahman2251
@fawziaabdurrahman2251 10 ай бұрын
Badala ya maji waeza tumia tui
@homecookingtz2488
@homecookingtz2488 10 ай бұрын
Waweza kuweka mwishoni zikisha iva
Togwa(kutengeneza kinywaji cha asili togwa)
12:10
homecookingTz
Рет қаралды 6 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 12 МЛН
Uji wa ngano | Jinsi yakupika uji wa ngano mtamu sana.
4:01
Rukia Laltia
Рет қаралды 95 М.
mapishi/kupika makande ya mahindi mabichi na maharage(maharagwe)
4:35
MKATE WA MOFA - KISWAHILI
5:08
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 7 М.
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
keki plus
Рет қаралды 1,6 МЛН
HII NDIO SIRI YA MTAMA MWEKUNDU
12:16
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 10 М.
UJI WA PILI PILI MANGA - RAMADHAN COLLABORATION
6:15
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 79 М.
Jinsi Ya Kupika Uji Wa Lishe {Ramadhan Collaboration}
5:09
Farhat Yummy
Рет қаралды 39 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН