Jinsi ya kupika pilau kwenye pressure cooker kwa dakika 20 tu/Cooking pilau in a pressure cooker

  Рет қаралды 4,710

Mariam Mkusa

Mariam Mkusa

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@Jamani255
@Jamani255 3 жыл бұрын
Yaani bora tutumie pressure cooker maana siku za pilau majumbani hadi watoto huwnza kulia njaa! Sijui kwa nini. Yaani hii ni fast!😍 limetokea vizuri sana dear asante kwa kushare!
@JoanfitnessTv
@JoanfitnessTv 3 жыл бұрын
Pressure cooker sijawahi tumia kukaangia kitu mi napika tu moja kwa moja ila kumbe inakuwa super hadi kwa pishi la pilau🥰
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟inafaa on lazy days napikaga mboga apo😄
@Nummtube
@Nummtube 3 жыл бұрын
Looking so tasty 👍👍 Stay tuned plz
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
Thank you
@KabintiSpecialVlogs
@KabintiSpecialVlogs 3 жыл бұрын
It’s 12:38 am right now and I watching this HUNGRY ASF!!! The food looks sooo good omggg🥵😩❤️🙌🏾 I love rice cookers they make things so much easier 🙏🏾🤞🏾 but I’ve never cooked pilau with nyama on it. I’ll definitely try it, Asante 💗💗
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟rice cooker makes life a lil bit easy 😁 when you feeling lazy to cook on normal burner it's easy and quick
@Georges.Kitchen
@Georges.Kitchen 3 жыл бұрын
Ni nzuri sana ❣️ jitaidi utafanikiwa dada🤝🤝🤝
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟 shukran kaka 🤗🤗🤗🤗
@itsoktoplaywithfood
@itsoktoplaywithfood 3 жыл бұрын
Very nice my friend👍looks absolutely delicious
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟you are amazing
@edwintouches
@edwintouches 3 жыл бұрын
Yumyyyy 😛😋😋😋
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟 🤗🤗🤗🤗 it's indeed yummy
@SofiaKipanta
@SofiaKipanta 3 жыл бұрын
Umenifungua macho dada 🙌🏾
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟am glad I did so, jaribu uone jinsi ni rahisi kula pilau bila kupalia mikaa juu 😁
@MRST_1662
@MRST_1662 3 жыл бұрын
That pilau it looks yummy! 😋 New friend here!! It similar to how I would cook mine just little bit different. Thank you so much for sharing your Recipe!!👍🏾🙌🏿🇹🇿🇨🇦
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟 thank you for watching 🤗🤗🤗
@OsieTheBornChild5.0
@OsieTheBornChild5.0 3 жыл бұрын
I would definitely like try out local Tanzanian food, oooh my if we could meet in these days and do some content that would be amazing
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟Waaooh ,local food is the best when visiting new places, and you are warmly welcome to visit and try our food😋😋
@keyarythemz5110
@keyarythemz5110 3 жыл бұрын
Sio tamu hio
@JoanfitnessTv
@JoanfitnessTv 3 жыл бұрын
Hii channel inavishawishi jamani😂🙌
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟hahaha unabadilisha tu mchele unakua brown rice unaendelea na recipe
@marjanaskitchen5955
@marjanaskitchen5955 3 жыл бұрын
Absolutely divine recipe! Oh wow you totally nailed it looks to perfect to eat heheh send me some plz! ✔️😋 friends x
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟 Thank you so much for watching 🤗 ok fam, will mail some of it to you 😁
@fashiont789
@fashiont789 3 жыл бұрын
Kwel haichukui muda mrefu maana ukipika kawaida usiww na haraka loh...nawaza hapa this Sunday ningepika but cna pressure cookeer mweh acha nimeze tuu mate..
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟chukua la jirani upikie tu😁😁😁
@Jamani255
@Jamani255 3 жыл бұрын
Kweli viungo vikicommunicate well yaani hilo pilau utakuta watu saa nane usiku na vijiko vikoni!
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟eee viungo sharti vicommunicate well😄😄 ukianza kula sio utafune chumvi hapa kule hakuna masala ipo huku upande hujakoza😀
@EmmyyPaul
@EmmyyPaul 9 ай бұрын
Mchele kilo 2 unaweka maji viglass vingap ivyo vya kwenye pressure cooker
@MariamMkusa
@MariamMkusa 9 ай бұрын
Ukitaka kupima vikombe ,mchele pia upime Kwa kikombe utakachotumia kuweka maji mchele wa zamani ukiwa vikombe vinne maji weka vikombe 6, kama mchele mpya (umevunwa karibuni) idadi ya vikombe vya mchele ndo idadi ya vikombe vya maji
@TiidangoteZedoni
@TiidangoteZedoni 7 ай бұрын
Mimi muoga saan waumeme naomb kuuliza wakat unaliwash uku unapika haliwez kulipuk man yan inakuwaje kuwaje man sijaelew vizur
@MariamMkusa
@MariamMkusa 7 ай бұрын
Kwa ninavofahamu linaweza kulipuka kama utafunika kile kisehemu kinachotolea mvuke ila kama kipo wazi na mvuke unatoka vizur hakilipuki
@joanithamaxmilian-xi6cg
@joanithamaxmilian-xi6cg 5 ай бұрын
Jamani mi naogopa umeme sijui Kama naweza kuunga Yani kichemshia mboga ikiwa tiali naenda kuingia kwa gas sijui ni umbasha
@MariamMkusa
@MariamMkusa 5 ай бұрын
@@joanithamaxmilian-xi6cg jaribu kupikia siku moja utaushinda uoga Kwa mara ya kwanza mbeleni itakua kawaida tu hutaogopa tena, zingatia tu pressure valvu iwe open ili usipate Shida kwenye kufungua
@Jamani255
@Jamani255 3 жыл бұрын
Watu Wasiopenda viazi kwenye pilau wana nini lakini? Mm pilau lisilo na viazi naona kama sio pilau tena🤣
@MariamMkusa
@MariamMkusa 3 жыл бұрын
🌟 pilau bila viazi halijatimia kwa kweli😀😀
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
PIKA PILAU FASTA KWA PRESSURE COOKER(EXPRESS PILAU)
8:18
Nixie Dexter
Рет қаралды 23 М.
JINSI YA KUPIKA PILAU /PILAU LA PRESSURE COOKER @ikamalle
8:14
SIRI YA KUPIKA PILAU TAMU NA YA KUCHAMBUKA//MASWALI YOTE KUJIBIWA
8:30
Cook With Me Beef Pilau With The Electric Pressure Cooker||Living Alone Vlogs
12:31
All Things African Nana
Рет қаралды 1,7 М.
UKIKOSEA HIVI WALI HAUTOIVA : RICE COOKER REVIEW
3:37
Snashtz
Рет қаралды 14 М.
Vyakula maarufu sana Tanzania/Famous Tanzanian food
5:26
Mariam Mkusa
Рет қаралды 4,5 М.
JINSI YA KUPIKA WALI MWEUPE KWENYE PRESSURE COOKER
8:43