Kwenye shughuli zetu wachaga huwezi kukosa hii saladi ni taamu mnooo ina test kwa pilau ni😋😋😋😋
@ukhtyzainab72542 жыл бұрын
Maa shaa Allah,namie ntajaribu in shaa Allah
@ZuhuraAthuman-u2i9 ай бұрын
Pilau Kwa macho tu ni tamuuu. Jee ukila SI utajing'ata dole,,hongera mpishi upo vizuri jikoni
@salmakibari50933 жыл бұрын
Nakupendaga Sana najifunza meng San kwako kupitia wew nmefany biashara na inanilipa vzur tu
@RahelSamson-dq3ox Жыл бұрын
Mchele mbna mrefu sana
@lucycharles10433 жыл бұрын
Mashallah asante kwa maelekezo mazur yan ni kama unamwelekeza mtoto homework unaelezea in deeply hata kama MTU kachoka lazima awe interested kukusikiliza yan nakupenda sana we Dada nataman siku uweke video na picha yako angalau nikuone una roho nzuri japo hatufahamian mungu akutunze
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Alhamdullillah🙏🙏🙏🙏🙏asante sana sana dear,MashaAllah una roho nzuri sana pia,ni wachache sana wanaokubali kazi ya mtu na kumwambia kwa upendo...InshaAllah iko siku nitafanya ivo kipenzi ili mnijue pia🙏🙏 Asante sana kwa support yako,nafurahi kujua naeleweka kwa asilimia kubwa😘😘😘😘
@luciaisaac20663 жыл бұрын
Nikweli huyu Dada anamaelekezo mazur nimejifunza keki juz kwakufuata utaratibu jaman nimepika keki tam na kupamba vizur nampenda Sana huyu Dada🥰
@dayanathomas67423 жыл бұрын
Nimekuelewa
@marthajohn65323 жыл бұрын
We dada umenikosha pilau yako ni amaizing nimeipenda, hongera.
Mm huwa siweki nyanya kwa pilau na huwa tamu aki nakwambia 😘🥰
@CatherineSeleman-v5v6 ай бұрын
Asante nilikuwa sijui kutengeneza sarad nilijaribu na pilau kama hilo tamu had raha
@kekiplus1andonly6 ай бұрын
😍😍😍😊hongera sana
@edinachrispat21222 жыл бұрын
Jaman dada Asante na me nimepika hili pilau kwa maelezo yako jaman ni Tami Sana uwii sijawah pika pilau tam Kama like jaman🙏
@GraceWanjiku-u6y10 ай бұрын
Aaq
@alexandernduya599910 ай бұрын
Je uliweka gigiliani inakuwaje
@edinachrispat212210 ай бұрын
@@alexandernduya5999 sikuweka
@Officialjidaa-sn9cs6 ай бұрын
Ata me nimepik namna hiii
@ShamsiMbago-n2q4 ай бұрын
Apo kaniongezea karafuu ya unga na uzira wa unga!
@janewamboo4361 Жыл бұрын
Naipenda sana kupika vyakula kitamu asanti kwa kutufunza
@kajumbayusufu4967 Жыл бұрын
Ku- pikka ningummu, watching from uganda Kampala ✊ ✊ ✊ ✊
@nurukhamisi70383 жыл бұрын
Mashallah rafiki pilau nzri snaa nitampikia mume wangu Na juice ya passion
@ireneapoline56113 жыл бұрын
🍐🍉🍇umeyasahau nuru
@kilianfravian75593 жыл бұрын
Natamani niwe mume wako niinjoi
@HadijaSheban3 жыл бұрын
MashaaAllah my love nishaeka kwa ile menu yangu ya eid😘😘shikamoo njegere
@HadijaSheban3 жыл бұрын
MashaaAllah mmoja mmoja mchele😋😋carrots love napenda sana hii pilau nitumie tu😝umenipa mtihani sanaa.. Hio salad ni pambeee
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Njegere noma sana
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Hahaha,inakufuata iyo sasa hivi😂😂😂ila itafika imeoza🙆🙆🙆
@rozaliaakoth92063 жыл бұрын
@@HadijaSheban need
@sarahrutto79353 жыл бұрын
Asante mum omen funza nitaijaribu Leo Amen..
@MosiMcheche10 ай бұрын
Asante mumy nimejifunza na nmejaribu ni tamu sanaa
@kekiplus1andonly10 ай бұрын
MashaAllah 😘 hongera sana,na Asante kwa support
@annassuleiman45089 ай бұрын
@@kekiplus1andonlynaomba namba yako ya simu ikiwa hutajali
@mariamMgela6 ай бұрын
Asante kwa mafundisho ya pishi tamu❤❤
@NassariKengia10 ай бұрын
MASSHALLAH. NIMEIPENDA🥰👏
@DamarisGerald Жыл бұрын
Wow nice recipe nmeipenda sana be blessed ❤
@SwabrinaKea Жыл бұрын
Salami alekum
@kawtharal_amin55033 жыл бұрын
Yaan upishi wako exactly like ma mom...ad mm nmezowea pika ivy😍
@berthakanyita11082 жыл бұрын
Waooo asant saaan dada anguu kwa kwel weee fundiii
@jolemerci21552 жыл бұрын
Asante sana nimejaribi saiyi 🙏🙏
@esthermalala55603 жыл бұрын
Wow now got the full recipe so nice
@shadiyashabankabe54992 жыл бұрын
Nimependa pishi lako asante
@shukranialmasi75592 жыл бұрын
Una weza ku upload picha za viungo pls
@salamaamini2 жыл бұрын
Asante Kwa pishi mzuri
@ruthmzava73203 жыл бұрын
Hakika pilau yoko imenivutia dear na inaelekea nitamu kuliko maelezo. Hongera sanaaa
@GenevieveVincent-zc9vy3 ай бұрын
Asante sana somo limeeleweka
@floravenance49312 жыл бұрын
Asante kwa darasa la mapishi ubarikiwe
@BenyMwenda Жыл бұрын
Aimed nimeipend xana😊😊😊😊hongera
@aminaamish2423 жыл бұрын
Supu hakika Akona ladha ya nyama 👍👍👍👍
@chantalshimi96193 жыл бұрын
Nimejifunza sana. Shukrani✅❤️
@anitalinus32723 жыл бұрын
👏👏👏
@maruunyange10913 жыл бұрын
My kwako mm sinaga swali make unatoa maelezo kanq kwamba uko ktk ufahamu wangu,,,, pilau hilo kibokooo na idd litanikoma, cm pembeni nagelezeq mpaka kieleweke. Barikiwa my love
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
😘😘😘alhamdullilah🙏 kipenzi changu ,kwanza MashaAllah dear kwa kuelewa kila kitu.. Shukran sana kwa support yako,yaaani nakupenda kupita maelezo,uwepo wako kwa channel yangu nauthamini sana,unanipa faraja na tumaini kubwa sana kupitia comment zako,Allah akuongezee furaha katika maisha yako kama unavyoongeza furaha katika maisha yangu.. Asante sana kwa kila kitu..nakupenda sana,sana
@FranciscaKanini-f9f Жыл бұрын
Asante kwa maelezo yako
@husseinchea55243 жыл бұрын
Una sauti tamu kushinda hiyo pilau😁😁...ila ahsante kwa kutufunza upishi🙏
@MamaSilima Жыл бұрын
Duuh
@Boaz22 Жыл бұрын
Acha umalaya kaka😂😂
@jemimmahmalungu3506 Жыл бұрын
Eiii😅😂😂😂wababa
@MashaOmanАй бұрын
😂😂😂khaaa
@YohanaVegula-z3c2 ай бұрын
Dada Asante sanaaa
@juliusmuuo20412 жыл бұрын
Asante sana dada kwa kujitolea kutufunza hapa mtandaoni...mimi mwenyewe ni mpishi pia lakini kuna mengine sikuwa najua lakini sasa hivi nina huwezo wa kuandaa pilau tamu saana....shukrani kwa hiyo
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Karibu sana mpishi mwenzangu, na Asante sana kwa sapoti yako
@tunumakila22202 жыл бұрын
Mm vipimo ndio vinanishinda kama Michele kg 1 unatumia unga pilau kiasi gani?
@imanimwakinga49342 жыл бұрын
Supu ya nyama inafanya pilau inakuwa na ladha nzuri mno tofauti na maji
@lydiayonah17402 жыл бұрын
Ubarikiw mpishi nimekupenda
@benetsonbenezeth61842 жыл бұрын
Good job👊👊🤝👍
@EvaKirambo-bw5ct Жыл бұрын
Asante nimependa pishi lako
@margaretwesonga89663 жыл бұрын
Asante Sana mipishi bomba...hongera
@hadijabashiru51462 жыл бұрын
Asante nimepata kitu kipya mpz
@hamisalomba39022 жыл бұрын
Asante kwa ujuzi was pilau
@justusjuma Жыл бұрын
Alafu dada nataka kujifunza mengi sana kutoka kwako asante
@misslidah62482 жыл бұрын
samahan.hizo njegele znakua ushachemsha?
@dorcasnekesa625 Жыл бұрын
Wow very nice good job
@rehemaemanueli-xs5zq10 ай бұрын
Nimeipenda
@yassirmkadam52233 жыл бұрын
Mashaallah nimeipenda sana hii resipy
@alphoncengotio43512 жыл бұрын
Asnt ubarikiwe Kaz yako Ni njema nakupend snaa.
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Asante sana kwa support
@SaraphinaMichael-ff2df9 ай бұрын
Nimekupenda kbx
@DannyC30410 ай бұрын
Tutajie ivyo viungo kwa kingereza🙏
@estherakisa31629 ай бұрын
Wow jamani nikirudi Kenya nitapikia mume wangu hivyo hivyo nimependa venye unapika ❤
@lucydominick10722 жыл бұрын
Asante mumy
@dorisndossi47343 жыл бұрын
Mchele ni basmatic au wa kawaida?
@Maua-j7d Жыл бұрын
❤❤ nimependa pishi
@lovemeck7580 Жыл бұрын
Asantee kwa somo zur
@Rahmayusuph-j1z Жыл бұрын
Mimi nimewahi na kiukwel nitama atary❤❤
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Asante.nimeshiba.
@agatharingia3793 жыл бұрын
Wooow inakaa tamu nitajaribu inshallaah
@annasilayo78832 жыл бұрын
Asantee kipenzi
@AMMARVILLEPROPERTIES Жыл бұрын
Shukran kwa mafunzo
@lydiahkerubo48052 жыл бұрын
Tafathali tuambie hizo spices uliongeza kea kizungu apart from pilau masala
@maryamjuma10873 жыл бұрын
Maa shaa allah unaonekana tam
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Alhamdullillah🙏tamu sana mami
@mamairene-y3s Жыл бұрын
Wooooooh ni nzuri
@tanzmaica8 ай бұрын
Nice one ila umefanya haraka kuweka njegere wakati wa kupalia ndio unapaswa kuweka ili isiwe na rangi mbayana kulegea zaidi
@lucymacha18533 жыл бұрын
Asante kwa maelekezo Id imekaribia nitapika hivyo
@suleymanali4313 жыл бұрын
Mmm pilau ajab taamu, lakini dada umesahau kusema moto kiasi gani nathani wengi wana choma sufuria kwa kuweka moto juu , kwahivyo tafadhali waeleze pia kiasi ya moro asante.
@lilianuto59902 жыл бұрын
Thanks dear but kindly can you translate in English especially the spicies
@lydiaotieno95853 жыл бұрын
Wooow,maarifa kibao,imenisaidia vinoma😋😋......swali langu.....unaeza weka mchele baada ya supu,nyama,viazi kuchemka?
@brefaw3 жыл бұрын
supu haifai kuchemka... after kuweka viazi let them cook halfway, then add the soup and rice at the same time. Ukiweka supu ichemke sana pilau yako itatoka shendea (imeshikana kama sima)
@AsiaMtulia9 ай бұрын
Asante sana yaani unajua ❤❤❤❤
@MikeMajola-xn8dg4 күн бұрын
Woooi nzuli
@francywambua4210 Жыл бұрын
Very nice keep educating us
@VeronicaSteven-h7k11 ай бұрын
Ni nzuri nataka kuuliza kuhusu tuu la Nazi unaweka wakati gani
@dancanebacha-od7op Жыл бұрын
Wow, nmependa mapishi
@hasnunokassim92822 жыл бұрын
Bizari nyembamba ni bizari ya aina gani.?
@joycesengo39763 жыл бұрын
Keki plus utabak mawinguni masomo yako huwa yanaeleweka kwangu Mungu akutunze utufundishe zaid
@boazmwashemele49373 жыл бұрын
Nimekupenda kwa mafundisho mazuri
@justusjuma Жыл бұрын
Nime pendasana pilau Yako Asante sana
@rayanivan38442 жыл бұрын
Shukran sana naenda kupika kesho
@joyfullykilewa89923 жыл бұрын
Njegere hizo za mkoa gani mmmh maaana nahofia Mimi haziwezi kuiva
@reyluse20283 жыл бұрын
Pilau zuri mama
@allykassim11209 ай бұрын
asante dada kwa maelekezo yako maana kuna wengine ilo pilau ukipikiwa utacheka 😅😅pilau maji😂😂 na maarage
@neemakarumuna2113 ай бұрын
🤣🤣🤣
@habibaamani39472 жыл бұрын
Linaoneka tamu sana mimi sijaiona hiyo salad irudie
@tuikezeezra13159 ай бұрын
Ok thanks
@rosemarymene51933 жыл бұрын
Bizari nyembamba initwa aje na kizungu tafathali Asante.
@lululaizer8383 жыл бұрын
Cumin seeds
@MariaJohn-c5m3 ай бұрын
Dada me naomba kujua chapat za kusukuma
@maureenrugona13413 жыл бұрын
Can we please have an English version.
@nurually82923 жыл бұрын
Chakula kimoja mapishi mbali mbali poa upo vzr
@FatumaCollette-mp3qq4 ай бұрын
Jamani napenda kupika sana mimi mwenziyo😊😅
@JamaMohammedMaalim9 ай бұрын
Jee unaweza kuweka vitunguu saumu vingi
@anethbundala12062 жыл бұрын
Uko vizuri pia je kama nataka kuweka zabibu naweka mda gani pindi napika
@NanaNasra-w1u2 ай бұрын
Nzuri sana
@dianasimon72023 жыл бұрын
Hongera mrembo jamani nitam sana hatakwa macho
@marienicholus65283 жыл бұрын
WAA TAKARIBU
@mrzack1843 жыл бұрын
unaweza ukatwambiya jina za hizo spices ambazo umetumiya ?
@AishaDodi-xo1wy Жыл бұрын
Very thanks
@RehemaNgalembula Жыл бұрын
Nimeipenda sana
@subirashaban85773 жыл бұрын
Ameizing hiyo Dada ila hiyo saladi namm nishatengeneza iko vyemaaa tuu