Mashallah mashallah 😋 😋 👌 mchuzi mzuri sana na wali mweupe
@ashayummy22993 жыл бұрын
🤣🤣🤣ulijuwaje rukia nimefanya hivohivo na wali mweupe shukran love
@bindawood9783 жыл бұрын
Maashaallah, chuzi la nazi tena la samaki, mambo ya mwambao hayo!
@ashayummy22993 жыл бұрын
😂😂kabisa shukran
@Nurry-pr7yx Жыл бұрын
Yummy 😋
@amrahschannel55993 жыл бұрын
mashaAllah....umekolea viungo na Nazi vzri Sana ..yummm
@ashayummy22993 жыл бұрын
asante my love 🙏❤
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Ma sha Allah...yaani da Asha naona aunty akija nitampa unga wa ugali wa Mombasa alafu upike na huo mchuzi wa samaki unipe mrejesho utakula sanaaaaa...video nzuri my wangu 🤗🤗
@ashayummy22993 жыл бұрын
🤣🤣🤣nitafurah sana sana love mpe nitakurejeshea mrejesho live wangu shukran 😂🙏❤❤❤❤
@HadijaSheban3 жыл бұрын
MashaaAllah leo nimewahi wacha niangalie sasa.. Chezea nazi weyeee
@ashayummy22993 жыл бұрын
🤣🤣🤣hapana Chezea may love shukran sana 🙏❤
@HadijaSheban3 жыл бұрын
@@ashayummy2299 MashaaAllah nimependa love
@naxmamrixho79943 жыл бұрын
Nice
@jamilafuad11593 жыл бұрын
Mashallah 😋
@ashayummy22993 жыл бұрын
asante sana jamila wangu ❤
@maryamhamad46823 жыл бұрын
Maa shaa Allah 👏👏
@ashayummy22993 жыл бұрын
shukra n sana.🙏
@aminasalamalekumamina62173 жыл бұрын
Salam alekum nisamaki gani
@aminasalamalekumamina62173 жыл бұрын
Mm amina kutoka kenya
@lulufnns54683 жыл бұрын
Mashallah vitam sanaa
@ashayummy22993 жыл бұрын
sana love wangu shukran sana ❤❤❤
@sulemohd48123 жыл бұрын
Napenda mapishiyako dada
@ummsalamahrashid79203 жыл бұрын
Shukran da asha nilichelewa kidogo kuangalia hilichuzi jamanii mashaa Allah nayataka hayo mafuta nayapataje? 😄
@ashayummy22993 жыл бұрын
shukran sana uko wapi kwani
@ummsalamahrashid79203 жыл бұрын
@@ashayummy2299 nipo holland
@minagoener1413 жыл бұрын
MashaaAllah
@ashayummy22993 жыл бұрын
shukran sana 🙏
@sofiyaalawi1273 жыл бұрын
Mashallah
@ashayummy22993 жыл бұрын
asante dearm.🙏
@jamilahnaifah22673 жыл бұрын
Mashaallah tanga raha
@ashayummy22993 жыл бұрын
waja leo waondoka mwakani shukran love 😂🙏❤
@safiaothman10983 жыл бұрын
Shukraan Jazilaan. Vp limao au ndimu?
@ashayummy22993 жыл бұрын
niliweka my love shukran sana
@gracecharles12442 жыл бұрын
Asante sana, ndo nmepata rec hapa nipike♥️♥️
@gracecharles12442 жыл бұрын
Nmeinjoy,, thank u again 🤗🤗😘😘❤️❤️
@aminamohamed39163 жыл бұрын
Salàm alekum na penda sàna mapishi yàko mashaallah
@ashayummy22993 жыл бұрын
yanii naskia raha sana kusikia hivo na mie pia nakupenda sana shukran love.🙏❤❤❤❤