Mimi huwa napika sana hichi chakula lakini sichemshi viazi kabla, nikimaliza kukaanga viungo naweka viazi vibichi na maji kiasi kwaajili ya kuiva na inakuwa tamu sana. Thanks kwa new recipe. Domina from Mwanza Tanzania
@mapishifoodlife7 ай бұрын
wow asante sana kwa ku-share na sisi, pia karibu sana
@matildamgelwa31102 ай бұрын
Wao inavutia
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@StevenMonanka-s7f8 ай бұрын
Hakika mnatasaidia wake zetu wamejua kupika , kutoka tarime
@mapishifoodlife8 ай бұрын
wow karibu sana
@SifaPiankaАй бұрын
Asante kwakutufunza kupika kutoka Burundi
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@sikudhanimohammad76925 ай бұрын
Mie huwa nachemsha viazi kwanza. vikiiva, nakaanga kitunguu maji, naweka kitunguu swaum kidogo, tangawizi kwa mbali kwa ajili ya harufu tu, pilipili manga ya unga kidogo sana,hoho karoti na nyanya. Then naweka viazi vyangu ambavyo tayar nilishavichemsha. Baada ya hapo naweka ukwaju naviacha dakika chache then naweka nazi. Naviacha dakika chache. Vinakuwa tayari kwa kuliwa
@mapishifoodlife5 ай бұрын
oooh wow asante sana kipenzi kwa ku-share na sisi pishi jingine la viazi vitamu, pia karibu sana
@faridamachunda68265 ай бұрын
Upo vizr@@mapishifoodlife
@mapishifoodlife13 күн бұрын
karibu sana
@sikudhanimohammad769212 күн бұрын
@@mapishifoodlife Shukran
@SheilaAlly-c1r8 ай бұрын
Hakika pishi zuri sana,sheila ally tabora
@mapishifoodlife7 ай бұрын
karibu sana
@christophermnivako1253 ай бұрын
so amazing
@mapishifoodlife2 ай бұрын
your welcome
@amraalhabsi815221 күн бұрын
Amra kutoka Oman
@mapishifoodlife13 күн бұрын
karibu sana
@evamahande87705 ай бұрын
Wowowooo nmeipenda saanaaaa nipo Arushaa Evaa
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@user-pi7hj5ow3y6 ай бұрын
❤ woooooow nimependa sana
@mapishifoodlife6 ай бұрын
karibu sana
@VumiAfadhaliАй бұрын
Kigambon Tanzania
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@user-lv1kp5st2k8 ай бұрын
Nimependa
@mapishifoodlife8 ай бұрын
karibu sana
@nemamandary6347 ай бұрын
Nimependa sana hili pishi nitaanza kuwa mtazamaji wenu kuanzia leo
@mapishifoodlife7 ай бұрын
karibu sana
@MonieNathan3 ай бұрын
Nzuri❤
@mapishifoodlife3 ай бұрын
karibu sana
@dignaadrew2 ай бұрын
Nimeyafurahia mnooo
@mapishifoodlife2 ай бұрын
karibu sana
@MagrethLaswai-y3w8 ай бұрын
Magreth wa bgamoyo nimependa
@mapishifoodlife8 ай бұрын
karibu sana
@user-pi7hj5ow3y6 ай бұрын
Naitwa zuuh kutoka dar nimependa jinsi ulivyopika nitalipika hili pishi ndan ya ramadhani hii maashaallah
@mapishifoodlife6 ай бұрын
jaribu sana
@DaveryMkama6 ай бұрын
Nzuri sana
@mapishifoodlife6 ай бұрын
karibu sana
@JulianaPaulo-j7u6 ай бұрын
Nzuri sanaa,jully kutoka mza
@mapishifoodlife6 ай бұрын
karibu sana
@maryswai2430Ай бұрын
Nimependa nitapika naanza kuhisia utamu
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@nkwimbac5 ай бұрын
Clemencia Cyprian kutoka Geita nimependa sana
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@LilianAoko-hj1qm4 ай бұрын
Nimependa Sana kutoka kenya
@mapishifoodlife4 ай бұрын
karibu sana
@chatochato23454 ай бұрын
Mwanza nimependaaa
@mapishifoodlife4 ай бұрын
karibu sana
@annafabian28265 ай бұрын
Nimeielewa ❤
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@AngelahKemmy2 ай бұрын
Kutoka Kenya kisii
@mapishifoodlifeАй бұрын
karibu sana
@EDDIEBashange4 ай бұрын
Nangalia kutoka Dubai iko vizuri
@mapishifoodlife4 ай бұрын
karibu sana
@user-tb8ps2pv3y4 ай бұрын
Nimejifunza hili pishiii uwiiii nipo dar as salaam naomy hapa
@mapishifoodlife4 ай бұрын
karibu sana kipenzi
@Dottomadvd6 ай бұрын
nahitwa dulla nimependa napishi yenu❤
@mapishifoodlife6 ай бұрын
karibu sana
@AyuniSuedi5 ай бұрын
Nimependa San hili pishi nitaanza kuwa mtazamaj wenu .naitwa Aisha kutoka mwanz
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@HafidhaliNchalo7 ай бұрын
Nimependa mapixhi mm naitwa Aisha kutoka aruxha
@mapishifoodlife7 ай бұрын
karibu sana
@MusssaMalik5 ай бұрын
Napatikana daresalamu
@mapishifoodlife5 ай бұрын
karibu sana
@AshuraNyabuhoro3 ай бұрын
Abari dada ,mimi ni mpya kwa Chanel yako jina langu ni Ashura kutoka Rwanda