Mzee wa Tech mwenzang umetisha sanaaa ila naomba utuletee Tutorial ya Kuondoa Audio Noise katika video
@Vinei Жыл бұрын
nlishaelekeza kaka
@duncansamsonolotu3590 Жыл бұрын
Mambo vipi kaka
@salumually4213 Жыл бұрын
Mimi wakwanza🔥🔥🔥🔥🔥
@Vinei Жыл бұрын
One love bro
@faizobrandcodes2 ай бұрын
🎉
@joseboy-vp7tc7 ай бұрын
nakukubali kaka
@Vinei7 ай бұрын
Pamoja kaka
@denisswai142 Жыл бұрын
Safy bro najifunza hy
@Vinei Жыл бұрын
Pamoja
@reubenwild426 ай бұрын
Kwangu imekataa kuload kwenye hiyo ai bro
@cayzzertech Жыл бұрын
Unatumia app gan kuedit video zako.. maan na mm ni KZbinr ninayechipukia
@Vinei Жыл бұрын
Natumia app , kama Kinemaster, Motion ninja, CapCut na power director
@NaimaCreation Жыл бұрын
Habari na asante kwa video zako, Mimi ni youtuber na record video za kushona,kufuma na kudarizi ila shida yangu ipo kwenye quality ya video, kwa kutumia KineMaster ili quality ya video isibadilike unafanyaje?
@Vinei Жыл бұрын
@@NaimaCreation kupata video yenye high quality inategemea na , ni namna gani ume rekodi hio video na umerekodi kwa kutumia nin . Lakin Unapo save video hakikisha una Save katika HD Resolution
@abdulteikwa38167 ай бұрын
Vp kwenye kenamastar kwenye video ukiedt ina leta kavideo kanakuwa na umbo dogo?
@Vinei7 ай бұрын
Wewe ndo unaweka ivo
@Azad_khan77992 ай бұрын
Hii ap ya kurecode tunaipata wapi mkuu
@Vinei9 күн бұрын
ipo Playstore
@Leilamarcusy6 ай бұрын
Unaingia wap ili urecod kaka nisaidie
@Vinei6 ай бұрын
Kwenye recorder
@duncansamsonolotu3590 Жыл бұрын
Naomba utuchambulie hizi platphom zinazotowa hela kama waterpazer,luky calendar,mega dozer,cash tube ni wa kweli hawa jamaa
@Vinei Жыл бұрын
Sawa
@ukhtyjabutv6368 Жыл бұрын
Kaka mbona kinemasta kwenye cm yangu imeacha kufanya kazi. Ni android 7
@Vinei Жыл бұрын
simu ndogo
@Vinei Жыл бұрын
simu ndogo
@ukhtyjabutv6368 Жыл бұрын
Asahv inaanzia vision ngapi mana mwanzo nilikuwa nikitjmia
@ukhtyjabutv6368 Жыл бұрын
Nimejaribu kudawload power director ila sijaona sehemu yakubadili sauti kuongea kama microphone au kama studio