Jinsi ya Kurudisha Account yako ya WhatsApp "This Account can not use WhatsApp".

  Рет қаралды 34,723

Jifunze Tech Na Mwl. Mohamed

Jifunze Tech Na Mwl. Mohamed

Күн бұрын

Jinsi ya Kurudisha Account yako ya WhatsApp "This Account can not use WhatsApp".
This video prepared by Hamad Mohamed .
Please Subscribe our Channel to get more video like this....
Tumia maneno haya kuomba Account yako kuachiliwa.
"Hi Whatsapp team, my WhatsApp account was banned by mistake. Could you please kindly help me to recover my WhatsApp account. Thanks."
Moh Vision tumekuja inawatambulisha application mpya inayoitwa TMS FAINI ZA BARABARANI. Hii app mpya inayopatikana Google Playstore na ina Taarifa mbalimbali zinazohusiana na Traffic fine Tanzania ikiwemo kuangalia hali ya Leseni au chombo chako kama kina deni au faini yoyote. Pia kwenye app yetu utajifunza alama na sheria mbali mbali za Barabarani.
👍👍 unaweza kupakua App hii kwa kubonyeza link hapa chini na kupeleka Moja kwa Moja Google play store.
play.google.co...
For Helps:
Contacts:- hamadmohamed0719@gmail.com
Connect with Moh Vision on;
Instagram - / mohvisiontv
Facebook - / mohvisiontv

Пікірлер: 107
@JohariJumanne-ow3jl
@JohariJumanne-ow3jl 10 ай бұрын
Ahsant bro imekubali nashukur
@PlukeriaSelema
@PlukeriaSelema 5 күн бұрын
nisaidie
@HazraHussein
@HazraHussein Жыл бұрын
Sijaona ndani
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Hujaona nn tena
@AlexMashololo
@AlexMashololo 9 ай бұрын
Thanks bro u saved my life
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 8 ай бұрын
Karibu tena
@MaikoMaiko-q4h
@MaikoMaiko-q4h 5 ай бұрын
@@mohvisiononlinetv7282 kaka sm yangu inashida iyo aifunguki wasapp ina Wiki 3 sasa kaka nisaidie
@SaidAbdallah-j8c
@SaidAbdallah-j8c 10 ай бұрын
Mm yngu haijakubali kk
@JesephElias
@JesephElias 25 күн бұрын
Mimi nilipoteza lain Sasa nimepata simu nyingine kuludisha Ile watssap no mzik Masada
@PendoKija-z4n
@PendoKija-z4n 3 ай бұрын
It does not bring the option of support?
@NdayishimiyeJeandedieu-v4g
@NdayishimiyeJeandedieu-v4g 4 ай бұрын
Ewana namie nivo kbx isha katala unisaindie
@AnnaKombole-dd2tx
@AnnaKombole-dd2tx Жыл бұрын
Dah wengine ina miezi sita now hata tukifanya hvyo bado tu
@SumaiyaMohd
@SumaiyaMohd 12 күн бұрын
Mmi yangu inajiandika contact support ssa sjui niwasliane vipi
@NascoKhamic-ws5jq
@NascoKhamic-ws5jq Жыл бұрын
Mbn hazikubali
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Hazikubali nn tena
@LillianBwankali
@LillianBwankali Ай бұрын
Sasa mm kwangu ikifikia kupokea izo code inakuja nidanlod whasapp yani
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Ай бұрын
Hio Whatsapp yako ni Ile uliyodownload kutoka playstore
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Ай бұрын
Jaribu ku-uninstall hio Whatsapp Kisha download tena Katika google playstore
@SaidAbdallah-j8c
@SaidAbdallah-j8c 10 ай бұрын
Huwa inakubali halaf wanaifunga Tena bro
@MercyJuliet-x9q
@MercyJuliet-x9q 5 ай бұрын
Same case to me
@JacquesMariba-s1f
@JacquesMariba-s1f Ай бұрын
same case
@HpFaiter
@HpFaiter 5 ай бұрын
Tunafanyaje jaaman mm mwenyew imekataa
@PlukeriaSelema
@PlukeriaSelema 5 күн бұрын
unavoelekeza yang imegom hivohiv
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 11 ай бұрын
Mim nimefuta failure la WhatsApp kwenye simu nalilidhaj Jana ndoimenitokea iyo
@RahmaALhoti-e4d
@RahmaALhoti-e4d 4 ай бұрын
Me whats app yangu haikubali kuposti na pia baadhi yawatu haikubali kutuma video wala voce😢 sjui shida nini
@ZuhuraHamadi-py4cu
@ZuhuraHamadi-py4cu 10 ай бұрын
Naomba unielekeze nipo nje ya tanzani but natak nifungue whatsapp kwanamb Yang ya tanzani ...shida spat code
@YaqoubSeif
@YaqoubSeif 2 ай бұрын
Bro kwa mtu ambae yupo njee alafu namba alio ungia WhatsApp hatumiki kule kwa sababu yupo njee
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 2 ай бұрын
@@YaqoubSeif Hapo lazima utafute tu account nyingine
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 2 ай бұрын
@@YaqoubSeif usajili lain ya nchi uliokuwepo.
@selemanssef6806
@selemanssef6806 3 ай бұрын
Mambo vipi mtalam whatsapps busness yangu imehakiwa leo sa10 naomba msaada wenu tafadhali
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 3 ай бұрын
Pole sana kaka ... Hebu jaribu kwanza hatua hizi uninstall na Kisha install upya na hapo Fungua WhatsApp na jaribu kuingia tena kwa kutumia nambari yako ya simu. Utapokea nambari ya uthibitisho kupitia SMS. Ingiza nambari hiyo ili kurudisha akaunti yako. Na ukiwa huwezi kuingia, unaweza kuwasiliana na huduma ya msaada ya WhatsApp. Tafuta sehemu ya "Contact Us" kwenye tovuti yao na ufuate maelekezo. Ikishindikana tuchek tena
@OlidaMbaza
@OlidaMbaza Ай бұрын
Kaka mimi yangu bado haifunguki Naomba nisaidie jamani ifunguke inaniandikia verify your phone number jaman
@MaryNyari
@MaryNyari Ай бұрын
Jamani ilikubali yangu yenyewe inasema ivo
@MerryMichael-n7p
@MerryMichael-n7p Жыл бұрын
Jamani nisadie wsp yangu hawaniletei ile sms yanamba ambayo anatakiwa niweke zile namba
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 11 ай бұрын
Je kama failure la WhatsApp nililifuta naludishaje
@OlidaMbaza
@OlidaMbaza Ай бұрын
Mbn mm nmefika uko kote lkn bado jamani
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Ай бұрын
Wanakuambiaje
@AkudobinElysée-t2k
@AkudobinElysée-t2k Жыл бұрын
Namim pia nasumbuliwa naiyo shida
@RayuuMhd-dm6bm
@RayuuMhd-dm6bm Жыл бұрын
Yaan dah nimefanya adi nimechok nisaidiee kil nikifanya inajiandik km Gmail requires one or more google Play service that are not currently available please contact the developer for assistance
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Hapo ulitakiwa uninstall Google play services kwenye simu yako kabla ya kutumia Gmail
@obadiakandonga1009
@obadiakandonga1009 11 ай бұрын
Kuludisha whtssap iliyo potea
@HappyBashara-zz8ud
@HappyBashara-zz8ud 8 ай бұрын
Naomba namba yako unielekeze Maan miez Sita Sasa situmii wasp jmn
@nuwayraduchu8726
@nuwayraduchu8726 5 ай бұрын
Mie kaka kila kitu tayari ila bdo code hawaniletei mbona
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 5 ай бұрын
Huenda ikawa kuna changamoto za kiufundi upande wa WhatsApp au miundombinu yao ya kusambaza code maana watu weng walioomba review wamekutana na hio changamoto
@BethinaJoseph-b3k
@BethinaJoseph-b3k Жыл бұрын
Kaka mi piya inagoma toka juz najaribu
@JaneWakarima-f5l
@JaneWakarima-f5l Жыл бұрын
Pia mm zote zenye na download zinasema hivo tu
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Jaribu kufuta program zote za WhatsApp kweny simu yako clear na previous data if possible
@DaudMosses
@DaudMosses 2 ай бұрын
Mi nimejalibu inagoma
@muddyneymarjr1136
@muddyneymarjr1136 Жыл бұрын
Me yangu inazingua pia
@WaridyJoseph-ru2pj
@WaridyJoseph-ru2pj Жыл бұрын
Imegom
@BwireIshmael
@BwireIshmael Жыл бұрын
Kaka yangu imekataa kwa muda mirefu tafadhali nisaidie
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Natumaini umefuatisha maelezo na ushapata suluhisho
@sneilaclassic1214
@sneilaclassic1214 Жыл бұрын
Mm insema you need officials watsup
@erickkisanko-gw8eg
@erickkisanko-gw8eg Жыл бұрын
Kak dondosha no yko maan nmejarbu lkn imegoma kufunguka krb mara 4
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Namba hio hapo kiongozi Karibu tuwasiliane
@nuwayraduchu8726
@nuwayraduchu8726 5 ай бұрын
Hello​@@mohvisiononlinetv7282
@JosephinaCharles-r6z
@JosephinaCharles-r6z 2 ай бұрын
Kod haitumwi kaka
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 2 ай бұрын
@@JosephinaCharles-r6z angalia internet connection ya sehemu uliokuwepo
@bilalially
@bilalially Жыл бұрын
Pia yangu
@VirianWere-n3v
@VirianWere-n3v 4 ай бұрын
At mimi jamn
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 4 ай бұрын
Umefanikiwa kufata maelezo yote tuliyotoa
@DaudMosses
@DaudMosses 2 ай бұрын
@@mohvisiononlinetv7282 inagoma nakama niki weka namba nyingine baada yamasaa kadhaa wanafuga
@AhmedSaleh-rm2wd
@AhmedSaleh-rm2wd Жыл бұрын
Namba yako
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
0719689911 ila nahisi tushawasiliana
@RadhiaSaid-k2y
@RadhiaSaid-k2y Жыл бұрын
Hello
@happyleonard9668
@happyleonard9668 Жыл бұрын
Mnisaidie na mm nimejarib kwl lkn inagom na ni muda sasa
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
0743167552 namba yangu hio nitafute nikusaidie sehem uliyokwama
@alibekamnungwi8400
@alibekamnungwi8400 Жыл бұрын
Mambo
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Habari ya uzima
@rosedavid5180
@rosedavid5180 Жыл бұрын
Ikiwa flagged account unaweza kufunguaje
@nilufaabdulkhassim
@nilufaabdulkhassim Жыл бұрын
mimi pia yangu ni same tuu
@edwardgistave7808
@edwardgistave7808 Жыл бұрын
nAmimi nimeshindwa kuludisha
@NoufalSalim-k2c
@NoufalSalim-k2c Жыл бұрын
Sisi wengine hatukufahmu hata kidg
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
0719689911 namba yangu hio unaweza ukanitafuta
@JoeliKamata-pl7bu
@JoeliKamata-pl7bu Жыл бұрын
hata mm wamegoma kabisa
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Whatsapp yako uliomba mara ngap
@JoeliKamata-pl7bu
@JoeliKamata-pl7bu Жыл бұрын
mara nyingi tyu wamegoma kabisa
@JoeliKamata-pl7bu
@JoeliKamata-pl7bu Жыл бұрын
@@mohvisiononlinetv7282 mara kibao tyu lakini amna tyu unanisaidiaje broo
@Pelesndolela-dx7id
@Pelesndolela-dx7id Жыл бұрын
broo sory wakikuletea txt unakaa kwamdagan iliifunguke
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
WhatsApp wanachukuw masaa 24 had siku 3 kuachia account ambayo imefungwa kwa mda(temporary banned). Ikiwa Bado haijaachiliwa subir siku 7 zipite Kisha uombe tena.
@Mochi-di4kl
@Mochi-di4kl Жыл бұрын
Na je ukibadiri line haitafunguka
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Ukibadili lain itakubali lakin pia itabid ufute mafile yote yanayohusiana na Whatsapp au possible reset simu
@Mochi-di4kl
@Mochi-di4kl Жыл бұрын
Alhamndulillah nimebafiri line nimedawload tena imekubari WhatsApp na wara sijafuta mafairi yeyote yare
@SalmaJoseph-hw4rk
@SalmaJoseph-hw4rk Жыл бұрын
Kaka mm nishajalbu sana lkn imegoma
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
0719689911 nicheki tuzungumze
@UkhutyAisha-sr1fy
@UkhutyAisha-sr1fy Жыл бұрын
Nisaidie nifanyaje
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Natumaini ulishapata msaada ndugu yangu
@UkhutyAisha-sr1fy
@UkhutyAisha-sr1fy Жыл бұрын
@@mohvisiononlinetv7282 sikupata kaka mpaka leo
@nilufaabdulkhassim
@nilufaabdulkhassim Жыл бұрын
@@mohvisiononlinetv7282mimi pia whatsapp yangu hai takı kufunguka ime kua parmanently banned
@UkhutyAisha-sr1fy
@UkhutyAisha-sr1fy Жыл бұрын
Mimi zote zimekua hivyo hata hiyo whatsap bessness
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
Hapo ulitakiwa ufute app zote zinazohusiana n Whatsapp. Kisha ufute history zole za WhatsApp (clear cache) ndo uninstall WhatsApp nyingne uendelee n review Kam video inavyoeleza
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
0719689911 unaweza kunitafuta kwa msaada zaidi
@NgenaAlina
@NgenaAlina 11 ай бұрын
Jambo
@latikakitonga1745
@latikakitonga1745 Жыл бұрын
Jmn na mm nisaidieni nimejaribu mara kibao haitak
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
0719689911 namba yangu hio nicheki
@latikakitonga1745
@latikakitonga1745 Жыл бұрын
Bro
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 Жыл бұрын
@@latikakitonga1745 vipi ndugu habari ya uzima
@latikakitonga1745
@latikakitonga1745 Жыл бұрын
@@mohvisiononlinetv7282 ipo WhatsApp hii number ako
@nilufaabdulkhassim
@nilufaabdulkhassim Жыл бұрын
@@mohvisiononlinetv7282mimi pia nime jaribu sana haikubali
@mamaafrica-kq6ni
@mamaafrica-kq6ni 3 ай бұрын
Nina miezi mitatu whatsapp yangu inazingua
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 3 ай бұрын
@@mamaafrica-kq6ni umetumia njia zipi kuweza kujaribu kurudisha account yako
@JosephinaCharles-r6z
@JosephinaCharles-r6z 2 ай бұрын
Kodi haitumwi kaka
@PendoKija-z4n
@PendoKija-z4n 3 ай бұрын
It does not bring the option of support?
@mohvisiononlinetv7282
@mohvisiononlinetv7282 3 ай бұрын
Just uninstall the app and then install again. Put your mobile number as usual, finally you will see the request approval button from the bottom.
@MathiasZakayo
@MathiasZakayo 6 ай бұрын
Kaka naomb unisaidie na mim imegoma kufunguka
How To Unban Any Banned WhatsApp Account Or Number
6:14
Smart Depot Tech
Рет қаралды 463 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Jinsi ya kujua kama WhatsApp yako inafuatiliwa|  Tracked WhatsApp
9:29
NK- Computer Training
Рет қаралды 46 М.
How To Recover Hacked Whatsapp Account | 2024 Updated
8:50
Jinsi Ya Ku“Unbann" Namba Ya Whatsapp Iliyozuiwa Kutumia Whatsapp
4:11
GODIUS RWEYONGEZA
Рет қаралды 3,1 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН