Jinsi ya kutumia Tampons wakati ukiwa kwenye siku zako (hedhi),kwa mara ya kwanza!

  Рет қаралды 2,353

Bariki Karoli

Bariki Karoli

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Usisahau kuuliza kama una swali lolote 💕💕
@RahmaRajabu-sw7yr
@RahmaRajabu-sw7yr 11 ай бұрын
Je ukiwa unatak a uchafu chn unawez tumia Tampax..???
@janetjosephat8093
@janetjosephat8093 2 жыл бұрын
Nazipenda cz surface ya juu haipati damu kabisa na pia huwez sikia harufu ya damu kabisa ni nzur sana sana,
@amidahperis
@amidahperis Жыл бұрын
Naezakojoa ikiwa ndani?
@NanisGatwiri
@NanisGatwiri Жыл бұрын
Nauliza unaeza Eka pendi aje usijulikane umeeka?
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 3 жыл бұрын
Hapana kwakweli mie naogop huo uzi🤔acha nitumie kitambaa tu🤗but asante sana kwa kutufundisha😍
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Sawa dear ni kweli mtu unaogopa mara ya kwanza ila badae unazoea ila ni vizuri tu kila mtu kutumia kitu anajisikia kutumia 😘
@cynthiawanjiru559
@cynthiawanjiru559 3 жыл бұрын
Hahaaa, muoga wewe 🤣🤣🤣
@jumahagai9013
@jumahagai9013 Жыл бұрын
Je ikijaa umechelewa kuitoa damu inatoka nje kama kawaida
@Kenchiyh
@Kenchiyh 3 жыл бұрын
😅unaikuta mlangoni lol kwa kweli
@jojokweka1902
@jojokweka1902 3 жыл бұрын
Ni mzuri mno...pads nilishazisahau
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
👏🏽👏🏽💕
@rentadelilah
@rentadelilah 3 жыл бұрын
Kwangu naona afadhali nitumie tampons kuliko pads...nachopendea hizo tampons ukivaa nguo ya kubana haonekani kama pads
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Yea ni nzuri sana hata mimi siku hizi napenda sana kuzitumia
@neemamandari4991
@neemamandari4991 3 жыл бұрын
But all in all aisee don't skip a week without video pulziiii darling 😘
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Asante dear saa hivi kila week tuna video mpya
@vailethsawere1263
@vailethsawere1263 2 жыл бұрын
Naomba namba zako
@neemakambi
@neemakambi 3 жыл бұрын
Zinauzwa wap dear
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Angalia kwenye supermarket
@LifestylewithLyne
@LifestylewithLyne 3 жыл бұрын
Tampoon mi Nazipenda sana haswa nikiwa na mizunguko ya nje ila nikiwa ndani napenda nivae pad
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Hata mimi
@Kenchiyh
@Kenchiyh 3 жыл бұрын
omg lol I hate tampons, I hate how it feels down there 🤣 zilinishandaga izi aki , ngoja niendelee kuangalia video
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Mimi situmii muda wote kwasababu kweli unakuwa ujisikii vizuri ukizitumia muda wote
@Kenchiyh
@Kenchiyh 3 жыл бұрын
@@barikikaroli6088 yeah, kweli bora times maalum kama ulivo elezea
@rentadelilah
@rentadelilah 3 жыл бұрын
Tangu nianze kuitumia sijawahi kurudi nyuma
@mkaiteafetu6782
@mkaiteafetu6782 3 жыл бұрын
Jamani wengne damu kutoka nyngi sana cjui kama kitaimili
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Jamani pole ulishaenda hospital kuuliza
@Smile99269
@Smile99269 3 жыл бұрын
Ndiyo Kwanza naijua leo
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Okay ukipata muda jaribu
@neemamandari4991
@neemamandari4991 3 жыл бұрын
Umenkumbusha mbal kwel dear. Yaan io ktu 4 the first time nlkiona kwa shangaz angu ckujua sasa matumiz ake yaan nciende nayo kwny daladala nkatoa nkaanza safshia mackio🤣🤣 nkajiona me wakshua kwel 😆😆 aisee cjui nlkuw nawaza nn
@lucyprimi1409
@lucyprimi1409 3 жыл бұрын
Ntajuaje imejaa
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Jamani nimecheka mpaka basi dear 😂
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Unaisikia mwenyewe au baada ya masaa matatu
@ndekundiommary2637
@ndekundiommary2637 3 жыл бұрын
Jaman mm naogopa kwani huu uzi unaobaki huwezi kuingia ndani asante lakin kwakutufuza mm mwenyewe nilikua sijuii ni nn
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
Hapana unabaki nje ni mrefu 😀
@ashurahabibu5087
@ashurahabibu5087 2 жыл бұрын
Sijawahi kuiona inapatikana sehemu gan
@haibadoreen1812
@haibadoreen1812 9 ай бұрын
Ukisikia mkojo unafanyaje
@janethmwafula2025
@janethmwafula2025 2 жыл бұрын
Ndo naiona leo
@emiliaschroeder2275
@emiliaschroeder2275 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo jamani …
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 3 жыл бұрын
My dear Asante sana 😘
Bukalapak, Unicorn Pertama yang Tutup Lapak
24:03
KOMPASTV
Рет қаралды 183 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Intro to Psychology: Crash Course Psychology #1
10:54
CrashCourse
Рет қаралды 15 МЛН
În Gura Presei cu Mircea Badea din 09 Ianuarie 2025
45:39
Antena 3 CNN
Рет қаралды 27 М.
În Gura Presei cu Mircea Badea din 07 Ianuarie 2025
46:32
Antena 3 CNN
Рет қаралды 25 М.
În Gura Presei cu Mircea Badea din 08 Ianuarie 2025
46:27
Antena 3 CNN
Рет қаралды 23 М.
DUNIA (Ep 40)
20:08
ASMA FILMS
Рет қаралды 184 М.