Wazungumzaji kwa lugha wanayotumia wanaonesha wazi hawaongei na mtanzania wa kawaida mkulima wa mpunga huku kwetu sengerema, Watumie kiswahili moja kwa moja sio kuchanganya lugha ili waonekane wajuzi sana, Kuna watu wa chini uku kabisa wanao chukulia mtu akichanganya lugha kama hao wazungumzaji ni matapeli, Liangalie hilo pia Asante,
@luppykimario47212 жыл бұрын
Jamn jarbun kutoa speach kwa kiswahl suio wasom wanamilik hii mtandao alaf msomi analipwa tu hamilik pesa wal uhur wa kifdha hawan
@josephally16452 жыл бұрын
habari ningependa kushiliki kwa semina nyingine plz naomba kufaham talatibu zake . asanten