Aki umesema vitu mob poa. Amongst them, "lazima mistakes; usipo make mistakes you'll never learn" ! Asante kwa advice zote.
@francismlelwa57663 жыл бұрын
Ahsante kwa Maarifa unayotoa.Be blessed.
@AbelKasalampepo3 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@eliakanyika84403 жыл бұрын
Semin ipo vizuri Kaka Edmund
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Nashukuru kusikia hivyo...
@billyrique3 жыл бұрын
Hongera kwa somo zuri sanaa. HApa hujapanda kama mitiki yenye bei kubwa sana. Ni hatari sana.
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Kabisa. Wewe umepanda Mitiki?
@emanuermbata87453 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri ila naomba nisaidie namba ambayo ninaweza kupata miche midogo ili niweze kupanda
@emanuermbata87453 жыл бұрын
0686 361 757
@wilsonmpollo16133 жыл бұрын
Mitiki Ina pesa Sana naomba nijibu
@enocknaftar22023 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi kazi nzuri naomba namba yako
@joniajohn47163 жыл бұрын
Ahsante brother
@ramadhanikiiza48202 жыл бұрын
Safi sana kk umetupa madini
@peteralexis73512 жыл бұрын
Hongera kaka uxhindile napafam sana pamoja na kitete,ugala na mgororo kwenye mashamba ya miti
@petronillajosephat912 жыл бұрын
Asante Kwa somo zuri.kwa upande wa mtwara miti gan inafaa kupandwa Kwa ukanda huu
@salummasoud2567 Жыл бұрын
Unaweza kupanda miti ya mitiki
@mohamedameir90163 жыл бұрын
Super
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Super
@NASSOROSULEIMAN-ps7ht4 ай бұрын
Kwa mungu tena😅😅😅
@ntezimanamichael6656Ай бұрын
Mimi niko kigoma kaka na ninahitaji kupanda miti ila nilipo mchwa una tafuna miti sana kwahiyo naomba kuuliza ni miti ipi ambayo haitafunwi na mchwa?
@palokuthereza25553 жыл бұрын
Congratulations Edmund
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Thank you Paloku.... 🙏🏿
@BENOÎTONETV5 ай бұрын
@@EdmundMunyagiJambo brother kwa majina naitwa Benoit nipo USA 🇺🇸 nimefatilia hihi semina nimehipenda mno Naomba ikikupendeza Naomba namba yako kwamahungezi zaidi
@juliusjohn94533 жыл бұрын
Edmund, kwenye bond unapataje pato zaidi ya mwisho inapoiva
@asmanisaid82713 жыл бұрын
👌🤝🤝
@lynalyna39683 жыл бұрын
Mimi Nina shamba la miti kaka Ed,Sehemu moja inaitwa igeleke
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Ohhh okay. Basi tuwasiliane zaidi. 0755518289
@lynalyna39683 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi poa kaka nachukua no yko nakuchk whatsp
@mjumbemwanda9666Ай бұрын
2024 December
@salumkhamis78182 жыл бұрын
Naomba namba ya simu nahitaji kupanda MITI kwenye shamba langu
@maveaimee31113 жыл бұрын
💪💪💪💪💪
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Happy to see you here..😊
@lovenessmushendwa12302 жыл бұрын
Nilazma huko?? Mm nina shamba bagamoyo
@georginahokororo8473 жыл бұрын
Samahani naomba kupata mawasiliano ya hao uliosema kuwa wana vitalu vyenye miche mizuri
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
0753 544 044 mpigie huyu anaitwa Gregory.
@georginahokororo8473 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi Asante sana kaka
@georginahokororo8473 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi Gregory ana pines pekee,naweza pata mwenye mitiki?
@kisimbaeconomyzone7813Ай бұрын
Bro veep kuhusu mitiki, kuna darasa niliona mtu anasema mti mmoja wa miaka 15-20 unauzwa wastani wa 600k Hadi 700k ni kweli?
@mahijamikael36522 жыл бұрын
Nashamba la mtiki natafuta mununuz
@beatricemrisho84312 жыл бұрын
Kaka naomba phone number yako nina mpango wa kufanya hiyo business nahitaji ushauri tu.. Thanks
@bigchancesmallchance19583 жыл бұрын
Habari yako mkuu? naomba namba yako nina maongezi private?
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
0755518289
@josephmoses2469 Жыл бұрын
BROO MM NIPO KWENYE KUPANDA MITI NIMEPENDA HIYO PROJECT NATAKA NIJUE UMBALI WA KUPANDA NI MITA NGAP NZULI KWA UPANDAJI PAINI NA KALATUSI
@GraceTinda Жыл бұрын
Kaka naomba mawasiliano...
@EdmundMunyagi Жыл бұрын
0755518289
@JamalASaid3 жыл бұрын
Mie ningependa kujua kama una group lolote la social media....
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Kwa sasa group lililopo limejaa but tutaendelea kujuzana.
@alihassansorikushey14142 жыл бұрын
Mm ningependa hio investment ila nipo kenya ingewezeka hata kuvuka border nipo tayari nimependa somo lako Shukran sanaaaa kaka kuna namba yoyote ya mawasiliano please?