Рет қаралды 3,035
Kuwasha au kutumia oven inayotumia gesi tu, huwa ni changamoto kwa watu wengi.
Hii video, itakuonesha namna rahisi ya kuwasha kama ni mara yako ya kwanza.
Majiko yanatofautiana, ila mfumo wa gesi kwenye oven ni ule ule
Karibu sana 🙏