BEI ZA MAJIKO JANJA (POSITIVE COOKERS) 1)Single plate ndogo Tsh 120,000/ 2)Single plate kubwa Tsh 150,000/= 3)Double plate mini Tsh 250,000/= 4)Double plate kubwa Tsh 350,000/=
@innocentMgeni2 ай бұрын
Unaelekeza vizuri sana bro 🙏 snaa ani saasa niko ubaruku uku Mbarali napataje ili??
@PositiveeyeColtd2 ай бұрын
*Kwa wakazi wa Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza ambapo zipo ofisi zetu, delivery za mijini na maeneo ya Jirani kwenye mji husika, mteja utachangia Tsh 5000/= tu. Tunakufikishia ulipo. *Kwa wateja walioko mikoa mingine yote au kijiji chochote Tanzania tutakufikishia hapo ulipo, utachangia usafiri Tsh 10,000/= tu. **Usitume Pesa kwaza, Lipa ukishapokea,hivyo huna chakupoteza kabisa. Tuambie tukuletee lipi? na uko Wapi?
@lucymziray40727 ай бұрын
Linauzwa Bei gani nipo moshi napataje
@PositiveeyeColtd7 ай бұрын
Tsh 350,000/= Tunafanya delivery hadi mlangoni kwako kwa Tsh 10,000/= tu, unatupa namba ya simu tu.