Na ni aina gani yamchele unaotumika kupika vitumbua au ni mchele wowote??
@HadijaSheban6 ай бұрын
pishori bora zaidi
@SamiraAlNaamany2 жыл бұрын
can i use stevia ??
@HadijaSheban2 жыл бұрын
What's that
@samiraabdullah21272 жыл бұрын
@@HadijaSheban it like instead of sugar, you can use stevia ( sweetener ) low calorie sugar
@yasmeenalsuwaidi52222 жыл бұрын
Salam , would you plz write the recipe here in comments in English
@HadijaSheban2 жыл бұрын
You mean the ingredients?
@yasmeenalsuwaidi52222 жыл бұрын
@@HadijaSheban yes plz
@shaheroselalji9890 Жыл бұрын
Are these cooked on low heat?
@HadijaSheban Жыл бұрын
Yes
@louisemaombi1204 Жыл бұрын
ulizo je unaweza changa unga wangano kwenye muchangano huyu?
@HadijaSheban Жыл бұрын
hapana mi sichanganyi
@leokamil6284 Жыл бұрын
Samahani umepimia kikombe gani kupimia mchele?
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tumia kikombe chochote tu darling bora tui utumie kikombe hicho hicho hata glass sawa
@badawyhaji92883 жыл бұрын
😋😋😋😋❤❤👍👍👍✌✌👌👌
@swabirajamili-zj8uh5 ай бұрын
MChele natumia aina yyote ama vipi
@cookingwithadnan56983 жыл бұрын
ہم اس سے گل پانڑہ کہتے ہیں
@shebasalome19168 ай бұрын
What is hamira in English, please?
@ahlamabdulaziz9017 ай бұрын
Yeast
@JoselineThomas-w7n Жыл бұрын
Hbr kama ni vya biashara naweza kupika mda gan maan nataman kuamka mapema maan nawahi kazini
@HadijaSheban Жыл бұрын
vya biashara hivi unaeza kusaga usiku sanne kabla ulale hamira upunguze kidogo alafu funika lala ukiamka vishaumuka ila unatakiwa mchele uwe umeusoak tangu asubui
@esterabonga79472 жыл бұрын
Ni lazima kutumia tui la nazi ?
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Kulingana na hii recipe ndio ila wengine wanatumia maziwa jaribu uje uniambie vimekuaje
@awuorogollo56287 ай бұрын
Hii pan naweza pata wapi jamani
@HadijaSheban6 ай бұрын
uko wap
@awuorogollo56286 ай бұрын
@@HadijaSheban Kenya... Kisumu
@truphosahgekonge1742 жыл бұрын
Where can I find the pan?
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Uko wapi?try kuangalia kwa maduka ya vitu vya wholsale
@mwanakonyaume36112 жыл бұрын
mbna vyengine ua nivigumu ua wamekosea wap
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Mchanganyiko ukiwa mzito huwa hivyo
@SikituSiri6 ай бұрын
@@HadijaShebankwaiyo mchanganyiko unatakiwa kuwa nje ?
@annangalawadr22 Жыл бұрын
Mimi vyangu vilitoka Kama vinanata ndani Pia laini sijui nilikosea wapi
@HadijaSheban Жыл бұрын
Havijaiva basi moto ulikua mkali sana
@shaheroselalji9890 Жыл бұрын
Is it not necessary to add an egg?
@HadijaSheban Жыл бұрын
Yes sio lazima it's optional
@Salma-kb1xr6 ай бұрын
Kama huna nazi huwezi kuweka maji ao maziw
@HadijaSheban6 ай бұрын
lazima nazi
@MarthaWembe-zp6uo6 ай бұрын
Na Kama huna blenda
@alisale876 Жыл бұрын
Tafadhali maelekezo kwa kutumiya jiko la umeme
@HadijaSheban Жыл бұрын
Kwakwel sijawai kutumia jiko la umeme
@fatumaali7102 Жыл бұрын
Je naweza pika kwa jiko lolote au ni la stima tu
@HadijaSheban Жыл бұрын
langu sio la stima ila hata mkaa unaeza bora uwe makini na moto usiwe mwingi
@haseanatnsanya20793 жыл бұрын
Asalam aleykum kipenz hadija shaban
@HadijaSheban3 жыл бұрын
Waalykhm msalam mpenzi shukran sana kwakuja 😘😘😘
@HadijaSheban3 жыл бұрын
Waalykhm msalam mpenzi shukran sana kwakuja 😘😘😘
@أحمدالسفياني-ج1غ2 жыл бұрын
Kama hauna nazi utafanyaje
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Lazima nazi nikama mkate wa sinia jaribu na maziwa utupe results ila sijawahi fanya