Hellow Wajasiriamali ☀️ Namba ya Da Lucy +255 752 413 459 Link Ya WhatsApp 👇🏾 Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/JtL15QOVdLB... Asanteni Sana Kwa kuangalia
Пікірлер: 18
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Tabora raha sana jamani🥹❤️
@stellahmalikita4071 Жыл бұрын
Uko vizuri mwanamke mpambanaji Mungu azidi kukuinua
@apolinamushi23 Жыл бұрын
Hongera Sana Ika🔥 women support women ubarikiwe
@kennedynthiwa5100 Жыл бұрын
You are such a generous and kind hearted human being to share such valuable knowledge to the world. God Bless
@jacklinegeorge7034 Жыл бұрын
Anapatikana wap
@monicalaizer7596 Жыл бұрын
Habari Nitapataje hiyo mashine ndogo
@ikamalle Жыл бұрын
Please Wasiliana na Dada Lucy anaziuza
@yusramichael585 Жыл бұрын
Iyo mashine inayosaga mchele bei gan mpnz
@janethernest534 Жыл бұрын
Mimi mnamywez 😂 nswalu unaanza kuweka kidogo jikoni yakichemka unaweka karanga ya kusaga ipike karanga adi itoe mafuta afu chukua robo kijiko la uwo unga Wa swali na Chumvi size yako afu kula na ugali 😂🙌🙌🙌aiseee nitamu vibaya mnooo sema kwa uku Dar azipo adi tabora au shinyanga ila uwe makini nyingine zina mchanga
@joselinejames7183 Жыл бұрын
Asante kwa kushare ujuzi
@ikamalle Жыл бұрын
Karibu sana
@theodoliangina1628 Жыл бұрын
Impressive
@ikamalle Жыл бұрын
Thank u
@AsteriaMagoda-gq2oo Жыл бұрын
nimeipenda hiyo mashine inauzwaje? hiyo ndogo
@muniraalmusalmy8363 Жыл бұрын
Da Ika hiyo machine aliyosagia mchele mimi vipi nitaipata nipo Oman 🇴🇲