KWA VILEJA HIVI IKIWA UNA SUKARI YAKUSAGA ITAKUWA BORA ZAIDI.❤️❤️😋🙏
@rahmangosha36024 жыл бұрын
Wooow yani nimevipika na mimi nimevipatia kabisa asante sana dada
@mariamramadhan4296 Жыл бұрын
Mashallah shukran
@awenahmohammed70674 жыл бұрын
Asanteh sana.dada.👌👌👌👌👄
@Ndumbas.b Жыл бұрын
Samly unamimia ikiwa ya moto kwenye unga au hadi ipoe ndo vizuri
@KsaKsa-rd5wy5 жыл бұрын
Asante SASA hivi nimefanya vikawa vizuri
@habibaawadh39015 жыл бұрын
Shukran habbty
@melkiorymarandu18504 жыл бұрын
Sio baada ya masaa 30 bwn, sema dakika 30. Masaa 30 kwenye oven?? Duh hapana dada, ila ahsante kwa elimu, Hongera uko vizuri ktk mapishi.
@ashunmohd91823 жыл бұрын
kwani binadam hakuna kukosea?? kahhh!!!
@hadijaamran15546 жыл бұрын
Ayee3....thanks for the recipe....kesho navipikaa
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
Haha inshaallah shukran maa ❤️❤️❤️
@neemajordan3173 жыл бұрын
Mumy Kama huna hayo mafuta unatumia nini?
@hellensembe53714 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri mm sina oven natumiaga mkaa napalia juu moto mwingi chini mdogo na mambo yanakwenda
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Kabsaa sisi pia tumeanza na majiko ,maoven ya majuzijuzi
@shamsiamsaghati4 жыл бұрын
Nice one
@berinakima55366 жыл бұрын
Asante Sana. 😍😍😍😍
@mariamissaahmed76756 жыл бұрын
Vizuri kwa wajukuu Shukran
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
Shukran aunty
@shammoha52976 жыл бұрын
MashaAllah. Asante.
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
Afwaan🙏
@zainamgonja82734 жыл бұрын
Mafuta ya moto au bard dada
@بنتحضرموت-ب9ق5 жыл бұрын
Unaweza kutumia manjano as rangi kama huna hyo rangi? I love your cookings sister..
@RukiaLaltia5 жыл бұрын
Yes u can
@RukiaLaltia5 жыл бұрын
Thank u dear
@بنتحضرموت-ب9ق5 жыл бұрын
Ahaa okay welcome dear
@ashajongo92784 жыл бұрын
às alaykum hayo madura ni robo kilo au6nusu chupa??
@ramamohammed14384 жыл бұрын
Looks yummy
@saidamahmud1446 жыл бұрын
Shukran nitajaribu
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
Inshaallah
@fatmamselem-eu3mz Жыл бұрын
Aa nataka unifundishe ubuyu wa UNGA lkn ukishapika waufanya Kama ladu wafanyaje
@mwanaishakhatib43882 жыл бұрын
Nangatai
@angelmagesa98686 жыл бұрын
nakufatilia sana Dada hongera sana
@lovenesmbembela67622 жыл бұрын
Kwa tunao pikia mkaa je tuweke moto kiac gan
@halimasulaiman32295 жыл бұрын
Shukurani
@mwanaidimohamed93072 жыл бұрын
Naweza kuchoma najiko la mkaa?
@RukiaLaltia2 жыл бұрын
Ndio
@nurusalim89763 жыл бұрын
Rangi ni jam?
@halmamuhajj79106 жыл бұрын
Thanks for sharing habibty but sipati notification and nimesubscribe
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
U have to click the notification button
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
Afwaan habibty ❤️
@athmanbello3806 жыл бұрын
Aslm alkm , huwa huziwachi kushikana ikiwa ziko kwa oven ,cz nimefanya ikawa bd nikaregesha zikaunguwa
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
Umetumia hii recipe yangu
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
Nimeweka tu dakika 30 kwa moto wa 150 usizidishe
@Chimu545676 жыл бұрын
Huwa ziko ivo zikiwa moto kila ikipoa itashikana.
@RukiaLaltia6 жыл бұрын
Ndio kabisa shukran kwa kueleza
@mamaerick17835 жыл бұрын
Unakandia mafuta tu Dada
@fatmankya30555 жыл бұрын
Wafanyabiashara wa vileja kilo moja ya unga inatoka vireja vingapi pia vina uwezo wakukaa siku ngap na km hauna sukar ya kusaga je yakawaida inawezekana
@SesiliaShilima Жыл бұрын
Kama sina sukar ya kusaga nitafanyaje?
@RukiaLaltia Жыл бұрын
Chukua sukari saga kwa blender utapata sukari yakusaga
@HalimaSelemani-u2h Жыл бұрын
Je ukiwa hauna oven
@zanfastfood73002 жыл бұрын
Hukuweka maj hata kdg ?
@RukiaLaltia2 жыл бұрын
Hapana siagi tu
@zainamgonja82734 жыл бұрын
Mafuta ya moto au bard
@mwajamusa54254 жыл бұрын
Nilikuwa navitamani nivijuwe hasante na Mimi nitatengeneza
@damirage20104 жыл бұрын
Is vileja buscuit in swahili
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Ndio
@mwinyimkuumohamed18562 жыл бұрын
kwani dada iyo sukari gani
@timafarid41894 жыл бұрын
Moto ni wa juu na chini?
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Both
@fatmashaffy93355 жыл бұрын
Unaweza kutumia blue band
@RukiaLaltia5 жыл бұрын
Sijawahi tumia blueband sijuw zitakuwa vpi
@ramadhanimbarouk58223 жыл бұрын
Samahn hicho ni kifuniko au ni kifaa maalumu Kwa ajili hiyo???