nakuona kijana kazi nzuri tatiza la watanzania kutoa suport ya likes and comment wagumu
@tojo3604 жыл бұрын
asante ila unayosema ni kweli brother
@ayubleo4 жыл бұрын
Oy niaje man,yanga haina assist ila inayo paste
@soldiersniper31423 жыл бұрын
habari yako ndugu. naomba msaada wako tecno w3 kama nataka kuitoa frp bila computer kwa njia ambazo umeelekeza kwenye video zako je iwapo inapofikia kwenye searching for wi-fi network na kukosa kuleta majibu yeyote yani ina search tu hata ukiiwacha siku nzima ni hivyo hivyo je kunanjia nyingine au lipi lakufanya ili iendelee mbele