Hatimaye Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro imekamilika katika viwanja vya Chuo hicho ambapo mbali na nasaha kutoka kwa viongozi wa Chuo, Wahitimu wake wameonekana kuwa na furaha ya hali ya juu kuifikia siku hiyo.
Пікірлер: 9
@AdamuKimay2 ай бұрын
Mashaallah kazi nzuri kutoka kwa wanazuoni wetu, Pia MC amechangamsha ukumbi wetu barabara
@kupendashafii10162 ай бұрын
Majidi Mswahili💥
@navigatorchinduli26992 ай бұрын
Chinduli hapa mishe vipi
@kupendashafii10162 ай бұрын
@@navigatorchinduli2699 Kaka niaje niaje
@JacquelineLweikiza2 ай бұрын
Hongereni sana kwa hatua hiyo, Mungu awasimamie katika hatua nyingine
@mhe6432 ай бұрын
Mashaalha
@AlawiayubuShekigenda2 ай бұрын
Mashaallah
@navigatorchinduli26992 ай бұрын
Mashaallah mwaka huu sio uwanjani?❤❤❤
@navigatorchinduli26992 ай бұрын
Admini naomba uinadi hii channel kwa mwaka wa kwanza wapili na watatu maana kama haifahamiki