By the way God is faithful 🙏🙏 and have learnt something big through this testimony 1.usimwamini mtu yeyote 2.usitamani mali ya mtu mwingine 🙏 maana ujui anatumia nn ili kuinua mali yake 3.mwamini MUNGU kwa jambo lolote lile 4.usimsikize kila mtu 5.usiwache MUNGU kwa sababu ya shida ulio nayo 6.baraka za MUNGU zinadumu kuliko ya mizimu na inagharama 6.tumtumainie MUNGU siku zote bila kuchoka eeh MUNGU tupe macho ya kiroho ili tueze kukumbana na haya majanga ya ulimwengu 7.tumtazamie YESU msalabani 😢😢😢na tuwe na imani 8.tuwe prayer warriors
@johnmark32363 ай бұрын
Ni Mungu au MUNGU na sio mungu Ni Yesu au YESU na sio yesu
@Mskyekue20253 ай бұрын
Huwezi kufanya lolote hapa duniani bila mwanadamu you need people regardless muombe Mungu akupe roho ya kutambua roho isiyo ya Mungu
@UpendoMoris-w8f2 ай бұрын
Na faida ya kuwa na roho mtakatifu
@wennybarny1682 ай бұрын
@@johnmark3236uko sahihi
@patiencekazimiri45172 ай бұрын
Ni sahihi ni heri kuepuka tamaa kabisaa na kuridhika na ulichonacho na Mungu atuongoze na kutusaidia sana🙏
@barakalyatuu3057Ай бұрын
This testimony is a great lesson to us! Shuhuda kubwa zaidi kwa mwaka huu 2024.
@RachelEmid-jq6eo2 ай бұрын
Maombi yangu kwa Mungu akurejeshee kila kitu ulichoibiwa na mwovu shetani,Bwana Yesu azidi kukutunza na usiache kumtumikia maisha yako yote🙏🙏🙏🙏
Pole sana kaka me mwenyew nilipita kwenye changamoto kama hiyo, mungu ni mwema
@esterMahengeАй бұрын
Kumbe aya mambo yako😳😳😳
@fredkangethe749718 күн бұрын
Farida ilikuwa aje?!. Hebu nieleze
@MaggyFrancis122 ай бұрын
This is an eye opener...the devil is a lier he comes to kill,steal and destroy.......Hakuna kitu Cha Bure duniani let's learn to trust God🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@miriamhezron4052Ай бұрын
This is true let this open our eyes Also prayer is the key 🔑especially wanaposema Mke wako anatuharibia kwa sababu ya Maombi hii ituoneshe nguvu ya maombi
@stellakinyua1361Ай бұрын
Satan has no free gifts🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lydiaboston1141Ай бұрын
Duu aise
@FrancisPancras-en2fu19 күн бұрын
@@miriamhezron4052😊?
@ellentukiko56993 күн бұрын
Thank you Jesus for this testimony, nimejifunza mengi sana, tuwe makini sana kupeana mikono na mtu usiyemjua. Ni wepesi sana kukimbiza mikono yao ya kishetani ili akuteke akili zako, Tutembee na Jesus, the name ABOVE ALL NAMES, umemkimbilia yeye uta Arise and Shine tena, in Jesus name🙏
@sophiakimaro51742 ай бұрын
Kuanzia leo siwezi ku judge mtu aliyejiuwa.ukweli huwezijua mtu anapitia nn.huyu kaka kama sio huruma za Mungu angeshajiuwa na angekuwa zao la kuzimu.Mungu wa mbinguni pokea utukufu.
@Selestinabenedict2 ай бұрын
Usimwache Yesu kristo tena anakupenda sana, ukawe ushuhuda kwa ulimwengu, soma neno la Mungu kila wakati na kuitafakari, siku zote za maisha yako, ubarikiwe na Bwana yesu kristo
@kingangiterry74572 ай бұрын
Wewe ni Mtumishi wa Mungu mtumikie Mungu aliye kuokoa kwa haya yote uliyoyapitia naskiza Toka Kenya.
@OfficiallylikiiboyMpole-jb3oz3 ай бұрын
Hakika niseme uyu mungu tunayemwomba yupo hai neema,rehema, nguvu na utukufu ni zake zake🙏😢🙏❤️
@castokyando9 күн бұрын
Amen bwana asante kwa ushuhuda huu mzr Amen Yesu ni Bwana
@elizabethjackson38652 ай бұрын
Siwezi muacha Yesu Dunia hii bila yeye sitoboi
@valentinanduku87182 ай бұрын
Kabisa
@monirangerera71552 ай бұрын
Kabisa
@happinessmgonja85732 ай бұрын
Kabisaaa
@zippymurugi13Ай бұрын
Amen 🙏 🇰🇪
@fredkangethe749718 күн бұрын
Kweli kabisa. Yesu na Yehova baba yake wapendwa tuishi nao
@itikamwakanyamale2 ай бұрын
Nimejifunza mengi kupitia huu ushuhuda Asante Yesu wewe uliye kuwa mlinzi wa yote kwakweli Wewe ni EE beneza
@AgnesKalinga-ku5se2 ай бұрын
Ushuhuda umenibariki Mino Mwenyezi MUNGU akubariki Sana kakangu Kwa kweli ushuhuda wako umeniliza😭😭😭...Ila ashukuriwe Mungu Kwa kuyanusuru Maisha yko.(Nahumu 1:12.)
@philipomonica23212 ай бұрын
Aisee uyu ni Mungu wa aina gani mbona anaupendo hivyi 🙌aijalishi wapi unapita🙏Mungu ni mwaminifu Sana🫶🥳
@DORKASIROSEBEDDA2 ай бұрын
1:35:54 1:35:54
@Nancy-z8h2 ай бұрын
Mungu wetu ni mwema sana
@josephmondeya712 ай бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu juu ya watu wake hakika jina la yesu lihimidiwe
@ManisaboSifaАй бұрын
Mungu nimkumbwa
@shango8645Ай бұрын
Nashukuru sana kwa maombi hayo au ibada hii bwana yesu asifiwe
@VickyLay-t4f2 ай бұрын
Hata sasa Kristo ni Ebeneza Saluti Kwa YESU KRISTO Nakupenda mnooo Bwana Yesu hata tukipotea unatutafuta na kiturejesha kwako. SIFA NA UTUKUFU NI WAKO MWOKOZI YESU KRISTO!
@ElizabethMabui2 ай бұрын
AmeeeeeeniYesu ni Bwana.Hallelujah.
@stellakinyua1361Ай бұрын
AMEEEEEEEEEEEN Jesus loves us too much oooo. JESUS paid it all at Calvary ❤
@JosephKimaro-u7dКүн бұрын
Barikiw sanaaa Mungu anatenda Miujiza mingi barikiwa 2025...
@Neema-wy4mh3 ай бұрын
Ee Bwana Yesu tusaidie. Dunia ina mambo. Inatishaa sana mpaka hapo Yesu ni mshidi amemuokoa😢😢
@ibrahimalex49782 ай бұрын
Dunia ina siri nzito
@HafsaH-u9y2 ай бұрын
Ushuhuda umenibarki Nami naenda kusimama ju yamaombi mme wangu pia simuelewi
@joelboy34602 ай бұрын
Nashukuru Mungu Kwa huu ushuhuda,Kwa maana yatubidi kuomba Kwa kujitakasa mwili mzima Kwa damu ya yesu kristo mda wote.kingine shetani siku zote anakutisha ili uogope,Kwa iyo wapendwa tuwe na Imani thabiti isiyo yumba.
@gracesimba7828Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu, vizazi hadi vizazi vishuhudie UKUU wa Mungu, asante sana kwa kushare story hii ndugu zetu wengi wamekuwa MATEKA wa SHETANI, wanataka utajiri wa haraka haraka! Matokeo yake wameangamiza vizazi vyao!
@EllyUrio27 күн бұрын
Pole sana kwa yaliyo kukuta wamtumainiyo bwana nikama mlima sayuni usimwache yesu kwenye maisha yako 1:10:25
@FloraJosephat-l3t2 ай бұрын
Nimejifunza vitu vingi mmno kupitia ushuhuda huu Ee Mungu nipe ufahamu nikujue zaidi baba Ameen
@josphataberi11732 ай бұрын
From kenya, am surprised by the story but have learnt alot. This world is not our home , we are on credit and our redeemer is on the is above all . May God hold our hands all together as we look for his face .May the testimony create an impact to however come across it .
@ZuhuraOmari-ek9kb18 күн бұрын
Katika hii maisha hakuna shortcut mtumainie mungu fanya kazi za kihalali na baraka utaziona
@HusnaSharifu2 ай бұрын
Sasa nimeelewa😢😢😢 nikiswali naoneshwa yote yanayoendelea kwangu na kuoneshwa ubaya wa mume wangu ila nikiomba kwa jina la yesu sivioni na nahisi amani
@judieesjeremiah264914 сағат бұрын
Basi swali kwa kutumia Imani yako wewe unayoijua wewe
@HusnaSharifu7 сағат бұрын
@judieesjeremiah2649 Yesu ndo jibu mfalme wa amani
@NaomieMasoka-xp4ob3 ай бұрын
Bwana Yesu Kristo ni mushindi amina na lisujudiwe jina lake maana ni kubwa mno halielezeki,limebeba nguvu zote,✊✊✊🙏🙏🙏Yesu ni wokovu jamani Sulemani kaomba kitu cha maana hapa nimeelewa usiombe chochote bali hekima na neema ya Mungu🙏🙏🙏ila huyo mtu ameshikilia mic 🎤 amechoka mkono ila Mungu amubariki ushuhuda ulikua mrefu mununue mic zile za kuweka kwenye shingo la nguo la mtu anae toa shuhuda🙏🙏ni ombi langu
@kizadorcas33212 ай бұрын
Ushuhuda mzito sana Mungu utupatie macho ya roho tupate kutofautisha watu na mapepo
@danielmatemu96982 ай бұрын
Huu ushuhuda ni miongoni mwa shuhuda bora zaidi nilizowahi kuzisikia. Hakika, Yesu ni BWANA
@dorahmushi-we6ts2 ай бұрын
Ameen
@LydiaMlay2 ай бұрын
ungejua ungekimbia kungali mapema...ila sasa ulifungwa jamani
@emmanuelkato77812 ай бұрын
@@dorahmushi-we6ts⁷😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@MagretMwanga-ux6zmАй бұрын
Naufanananisha na ushuhuda wa emanueli enny aliyekuwa mawenyekiti wawachawi kuzimu mpaka kuokoka na kuwa muhubiri wa kimataifa hakika mungu ni wa upendo
@MoiseMutarami5 күн бұрын
mmh ! awali alisema saa kumi tena saa7 mchana!!.ubora huo sijauona ni kujichosha dunia hii..kukutoa kwenye kusoma neno na kuomba.kuchelewashana tu huko kiroho
@BRIDGIETTNSAJIGWA2 ай бұрын
WELL DONE MSHIKA MAIKI
@bryanlema77652 ай бұрын
Daah kwa kweli
@alineniyo3259Ай бұрын
Amefanya kazi kubwa sana
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Pongezi msimuluzi na pole kwa ysliyokusibu,ur testimony is great lesson to us,may God bless u🙏🇰🇪
@GraceAugust-p2qАй бұрын
Dhu!! Hayo makanisa yako Mungu wa mbinguni tuepushe nayo katika jina la Yesu, Amen
@florencendatila91833 ай бұрын
Shetani mbaya sana Mungu tutetee yani inahuzunisha natamani ningekua na hela nimlipie hayo madeni dah Yesu mfungulie milango huyu baba
@marthamjema4644Ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 hossana JUU mbinguni Hossana JUU mbinguni Hossana JUU mbinguni
@eve7622 ай бұрын
Nimejifunza kitu kukubwa sna ktka hii shuhuda.Mungu akuwezeshe umalize madeni yotena usimame upya.Amen
@valenakomba76862 ай бұрын
Hayo ndo mashariti yanshetani .anakupa pesa lakini anakupa maisha ya shida. Wako watu wanalala chini. Wanakula kwa kuombaomba huku wakati wanamapesa kibao. SHETANI NI MWONGO SANAA.
@JujuGurugu042 ай бұрын
My own uncle is a millionaire but the lifestyle he lives in is something else first he doesn't have teeth all the teeth are gone and he was not sick at all
@teyllalugaziaАй бұрын
Ukichanjwa chale mwilini unakuwa umejikonect na hao mashetani Yani watakuona Hadi utumbo ACHENI kujichanja chale
@carolinederi569017 күн бұрын
@@JujuGurugu04😂😂 nacheka kama mazuri
@NicholasKaberia-ni6be2 ай бұрын
Glory be to God for that very powerful testimony, it has some touching spiritual powers, MUNGU POKEA SIFA NA UTUKUFU UKIWA KATIKA ENZI ZAKO.
@clemenspeter28192 ай бұрын
Yesu ni wangu wa uzima wa milele kamwe sinto t Rudi nyuma Asante Mungu wangu kwa upendo wako mkuu maana umetupenda sana
@RedsMichael2 ай бұрын
Mwanadam anaweza kukuchelewesha lakin hawez kuzuia kusud la mungu tumtegemee mungu kwa Kila jambo amen 🙏🙏🙏
@anethmassawe26353 ай бұрын
Kila mfanyalo kwa neno au kwa tendo fanyeni kwa Jina la Yesu, Mungu atusaidie kumtumia kila mahali na kwa kila kitu😢
@veterinarytips80592 ай бұрын
ALL IN ALL MSHIKA MAIKI ANA STAMINA NZULI SANA APEWE MAUA YAKE
@leoniadaniel94462 ай бұрын
Hahahaaa
@Chapo_ggg2 ай бұрын
😂😂
@emanuelwilliam16072 ай бұрын
Kwakweli uyo jamaa mkono habadilishi 🙆♂️
@gr4hp4882 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@noellema52914 күн бұрын
Umeona eee mshima maiki nakupa maua yako kazi nzuri
@dorahmushi-we6ts2 ай бұрын
Sifa Heshima Shukrani na Utukufu vimrudie Mungu.
@Esthermordecai2 ай бұрын
Zaidi ya yote,ni Yesu Kristo alikusaidia,sifa na shukrani zimrudie bwana,,amen🙏
@FromJesusArmy3 ай бұрын
Praise God! Kweli Mungu anatupenda hata tupitie majaribu gani. Asante sana kwa maisha yako kaka na Mungu aendelee kukupigania wewe Pamoja na familia yako kwa la Yesu. Mungu awabariki watumishi wote waliokuombea.
@ainesytinda44425 күн бұрын
Huu ushuhuda wa huyu baba umenitoa hatua moja kwenda nyingine Mungu akubariki sana na akulejeshee kila ulichoibiwa ktk maisha yako
@صالحالصوافي-غ5و17 күн бұрын
Asante kutoa uwu ushuhuda jamani 😢😢😢pole sana baba
@gracelynferdnand55823 ай бұрын
Yesu jina lako ni la kuaminiwa sana Ahsante kwa kusimama nasi nyakati zote🙏
@naomisamson6869Күн бұрын
Mungu ni mwaminifu sana amekutetea Mungu atakurejeshea vyote ulivyoibiwa
@Mathsworld272 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema sana, kuna baadhi ya watu wengi san sana wanapitia haya wanapitia huu utumw wa shetan bila kujua namn ya kutoka
@SechelelaMnyangwila21 күн бұрын
Hongera sna kaka Emmanuel nipo Dom nimeangalia krep Yako Toka saa 11 ni yoote . Unekombolew ulishaangamia shukuru Imani ya wazazi kiroho
@beatricerauteli357811 күн бұрын
Huyu Mungu ni waajabu sana wacha tu tumtumikie ushuhuda mzuri sana ❤❤❤
@emilyrissling9703Ай бұрын
Asante kwao ushuhuda huu mungu ni mwema. Funzo 👉tukikabithi maisha yetu yesu 💯%, tusome neno kila Siku, tuishi kwa maombi kila siku, tujazwe na Roho mtakatifu,tumtafute mungu ,tusiwe wepesi wa kushawishiwa , tuchukue muda kuchunguza bihashara au Fedha kabla hatuja fanya hatuja yeyote.,tujazwe na neno.. Roho mtakatifu ni msaidizi, na Advicer anatukanya na mapema Kama tunakaa nayeye, .Kama hatuna Yesu ndani yetu , tuko tuputupu na kwa hatari kabisa.
@ritapiusnicolaus70682 ай бұрын
Ee YESU utulinde na hatari zote za roho na zamwili siku zote za maisha yetu 🙏🙏
@Lungu-lx7yd2 ай бұрын
Si Dhani kama Yesu ana kulinda , Mungu ndo anaelinda
@nancynjau79543 ай бұрын
1:14:42 Mungu ameruhusu hayo ili utukufu wake udhirishwe. Huu ushuhuda ni mzito sana 🥺
@IvanMocha2 ай бұрын
Pole sana,kujua Kila kinachoendelea kwako,wanakua wamekuteka nasfi na kufunga ufahamu,unakua chini yao
@divinehopeandsmile3 ай бұрын
Licha walimkamata kuna neema ilikuwa inamlinda ❤❤❤
@bobutingababayo50473 ай бұрын
Kabisa Kiasi cha Chembe ya haradari na bado ilimtendea
@hosianaeliud2433 ай бұрын
Wachawi wafe tuuu
@valentinanduku87182 ай бұрын
Wachaw wafe kabisa
@RichMotherr2 ай бұрын
kabisa Yani,Mungu ni halisi hakika
@DamasMhiche2 ай бұрын
Ni sahihi kabisa, na hicho hata Mimi nimejisemesha moyo kuwa huyu bwana neema ya Mungu ilimbeba sana
@ElizaLaizer-j3z7 күн бұрын
Hii ni kali 🔥🔥🔥🔥Mungu atunusuru tuu bila Yesu haiwezekani
@emanuelmachuikilalakherisi1342 ай бұрын
Nakushuru sana Mungu kwa kunipigania wapendwa wana wa Mungu kwa Yesu kuzuri maana kwa shetani kuna mateso makubwa sana.Ninambariki huyu Yesu kwa kunipigania na kuniepusha na huyu shetani kumbukeni mawakala wa kuzimu duniani Leo ni wengi sana na wanafanya kazi usiku na mchana tumwombe sana Mungu maana hakuna la kumshinda Mungu
@beatricerauteli357811 күн бұрын
Kila kilichopotea Huyu Mungu tunaemtumikia atakirudisha mara mbili 🙏❤️
@lilianJoseph-i9n7 күн бұрын
Mungu atakurudishia kila kilichopotea
@angeljoseph46663 ай бұрын
Pole sn shetani mbaya,Asante Yesu kwa ushuhuda mzuri
@FadhilaMichael2 ай бұрын
Mwacheni mungu aitwe mungu yaani kupitia huu ushuhuda tumejifunza mengi mwenyezi mungu atusaidie tuweze kushinda majaribu kama mwenzetu alivoshinda majaribu makubwa
@MaryNjeri-vy1he2 ай бұрын
Surely our heavenly father is faithful. He can deliver us from anything or any where. We should be more careful, when the deal is good, think twice. May our might father deliver us from any evil.
@EllyUrio27 күн бұрын
Pole sana kwa yaliyo kukuta wamtumainiyo bwana nikama mlima sayuni usimwache yesu kwenye maisha yako
@mrsdeborahurio2 ай бұрын
Bwana Yesu ,asante sana kwa neema yako kwangu! Zaburi 35
@jocelynburemo40472 ай бұрын
Halleluya Mungu wetu ni mwaminifu sana,tuzidi kumuomba tusiache!
@caritasmushi88963 ай бұрын
Ushuhuda huu umenifunza mambo makubwa sana. Pole sana mtumishi wa Mungu. Mungu anahitaji umtumikie.
@AmbweneNdapisiАй бұрын
God's always faithful❤
@Malaika23113 ай бұрын
Nimejifunza kitu cha tofauti sana kutoka kwenye huu ushuhuda. Kuna fake prophets wanatumia nguvu hii hii kuwarubuni na kuwaibia watu wa Mungu.
@ibrahimalex49782 ай бұрын
Huu itakua ukweli mana ukisoma saikorojia ukiona mtu anaongea kwa vitendo ujue huo ni ukweli
@angelhermany52632 ай бұрын
Kwel asilimia 💯
@trophywilson72112 ай бұрын
@@ibrahimalex4978inawezekana ni kweli
@peninahkariuki46792 ай бұрын
What a powerful Testimony, God bless you 🇰🇪🙏
@wizerepamella57622 ай бұрын
Bwana Yesu Christo Atukuzwe siku zote 🙌🙏
@JoyceNdunguru-lg1ug2 ай бұрын
Daah,,mmh MUNGU Baba tunamshukuru sana Kwa ushuhuda.Tuokoe Bwana Yesu na nguvu za Giza.
@LucyMkimala2 ай бұрын
😥😥😥😥Ee Mwenyezi Mungu nikomboe mm na familia yangu kwa Damu Ya Yesu 🤲
@stanleymunene59402 ай бұрын
Mungu akuzidishie pia mm nlikua natafutwa na roho wa giza ila Mungu ni mwaminifu
@wolis20002 ай бұрын
Powerful Powerful Powerful, may the name of the Lord Jesus, be glorified....🙏🙏🙏
@mediabukuru5622 ай бұрын
Mungu awatangulie kwakuruhuru ushuhuda
@AshaJuma-s7l2 ай бұрын
Asante baba mchungaji Kwa ushuhuda mzuri. Hakika binafsi umenijenga🙏🙏
@SabinaKioko-i1f22 күн бұрын
Mungu atusaindie juu 😢😢😢 kweli ni nyakati za mwisho izi
@MariaEnock3 ай бұрын
Finaly kwa Yesu! Yote yanawezekana!! Nimejifunza Mengi mno mno
@victorylaizer3334Ай бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Glory be to you God Sitaacha kukuabudu wew Mungu wa kweli
@alifredmkoka2 ай бұрын
Yesu Kristo yu hai milele, tunaamini na kuabudu kitu halisi na sio mazingaombwe wala kukalilishwa
@SerahMutunga-po1koАй бұрын
Mungu apewa sifa sana sana
@ArestidesRwiza-y4f21 күн бұрын
Hawezi kutuacha kamwe,mungu ni mungu tu,Haoni wachawi,simamanayesu tu,fanya tobaombarehema
@edwardchacha7112 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Kaka Mungu ameskia kirio chako
@noelamilambo2 ай бұрын
Asante Yesu kwaajili ya huyu baba hakika ni shuhuda inafundisha
@antoinensabimana286212 күн бұрын
Mshika Mac big up sana
@FrancisNgomaitara26 күн бұрын
Dunia inamambo 😢mwenyezi mungu naomba ulinzi wako unilinde baba
@saimonijonas43563 ай бұрын
Mungu tusaidie wanaume.Kila tunapohangaika tunahangaika kwaajiili ya wanaotutegemea.
@ZawadiMuhunzi24 күн бұрын
Baba imani yako kwa mungu ndio iliokuokoa
@eliachristopher9220Ай бұрын
Mshika maik mungu akubariki🙏
@kawilimlimuka80053 ай бұрын
Mungu anataka kukutumia kuokoa wengine. Yoel2:25-27
@franklinmbuyik.80524 күн бұрын
Kwa kweli, watu hawa wanateseka na wanataka kuwa na wafuasi wengi ambao wanashiriki mateso yao. Hawakukusudia kamwe kuwaongoza wengine kwenye furaha.
@antoniaemmanuel6754Ай бұрын
Duhhhh pole sana mtumishi, nimejifunza kitu
@mozzkamaru2 ай бұрын
We need the gift of discernment sana.
@Immaculate-f1nАй бұрын
Sure....may the Lord help us
@edmundnkarangu1342 ай бұрын
Pole kwa mapito yote.Mungu atakuinua zaidi😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@BeatriceSoka-c7c2 ай бұрын
Mungu nisaidie roho yà maden iniachoe am so tired
@gilbertbada838518 күн бұрын
Shida ni hukumhusisha mungu. Siku zote muulize mungu kuhusu mradi.
@MerdiaKatokeАй бұрын
Mungu atujaalie neema yake katika nyakati hizi za mwisho Amen
@thoomasmwangende3992Күн бұрын
Mungu nisaidie niondokane na haya
@ClaraChenjemaАй бұрын
Nasikiliza kutoka kenya, haya masimulizi ni mazito sana, lakini tu ashukuru Mungu amekukomboa! Sifa zote na ukuu wote ni kwa Mungu! Halleluja!
@marykarebeti94103 ай бұрын
Huu ushuhuda ni mahubiri kamili. Aiseee!!! Duniani kuna mambo magumu sana. Mungu atusaidie