JIONGEZEE MAARIFA KUHUSU PTSD

  Рет қаралды 4,804

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Jiongezee maarifa kuhusu tatizo la kiakili lijulikanalo kama Post Traumatic Stress Disorder (PTSD) na hasa jinsi gani unaweza kumsaidia mtu mwenye tatizo hili sababu watu wengi sana nyakati hizi wanapitia matatizo mengi yanayotokana na stress/ msongo wa mawazo unaopelekea kupata athari fulani kwenye akili na hata utendaji ambao unaweza kuathiri maendeleo ya mtu husika.
.
Katika somo hili tutajifunza maarifa kadhaa juu ya PTSD na jinsi tunavyoweza msaada kwa wahanga wa tatizo hili.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#PTSD #Trauma #SPN

Пікірлер: 20
@samohazakwani6899
@samohazakwani6899 4 жыл бұрын
Assalaam alaykum. Shkrn sana brother kwa somo zuri sana. Allah atuwezeshe kuwasubiria watu km hawa, maana km huna subra utagombana nao. Anaweza kuwa ni mtoto alikosa mapenzi ya wazazi utotoni japokuwa wako hai, hata akiwa mkubwa bado anayo anajihisi yeye hana bahati hapendwi na mengine mengi. Allah akubariki uzidi kutuelimisha.
@johnmwamengo4398
@johnmwamengo4398 4 жыл бұрын
Nakubali
@bonfilsbabone9647
@bonfilsbabone9647 4 жыл бұрын
Vizuri sana wenzetu ninafurai kuwa na nyiye ninaishi marekani
@asanathyunus3654
@asanathyunus3654 4 жыл бұрын
M/mungu atupe subra 🤲🤲🤲🤲🤲
@mtaani_life6281
@mtaani_life6281 4 жыл бұрын
Habari, unaeza tengeza video kuhusu chanzo cha wivu
@samimdhahabu6813
@samimdhahabu6813 4 жыл бұрын
Allah barik xana wew
@DEOHDTV
@DEOHDTV 4 жыл бұрын
Nimekwelewa kaka nimekuwa nikikufatilia sana
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Asante sana
@benardpaul1271
@benardpaul1271 4 жыл бұрын
Asanteni sana kwa elimu zuri bro
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 4 жыл бұрын
Shukran sana
@fadhilibrahim3480
@fadhilibrahim3480 4 жыл бұрын
Shukurani sana nadhani somo hili linatuhusu sote bimana tutakumbwa na misiba pia mambo mengine
@helenamusa432
@helenamusa432 4 жыл бұрын
Ahsante brother kwa hii somo
@jeremiahburton8999
@jeremiahburton8999 4 жыл бұрын
Powerful insight 🧠💪....kazi yako ni njema sana... Nafurahi kuona tuna KZbinRS Kama wewe Ezden in Tanzania
@njuujera1415
@njuujera1415 4 жыл бұрын
😭😭😭😭ndo mm unaniongelea kaka ezden
@bushirikwizombe653
@bushirikwizombe653 4 жыл бұрын
Nimeipanda brother mungu akusimamie
@jonasbonne9372
@jonasbonne9372 4 жыл бұрын
Thanks my teacher 💝
@kasimsudy4210
@kasimsudy4210 4 жыл бұрын
Dah broh kwa nn hukunip elimu hii mapema ad mam anafarik
@mubarakamtuguta4642
@mubarakamtuguta4642 4 жыл бұрын
kama tusiwakumbushe je nn tiba adi wazoee hiyo hali. kwamba yaliyowakuta hata yakiwakuta tena yasiwe yana wathili.
@goujoulalialbashir5642
@goujoulalialbashir5642 4 жыл бұрын
Bonjour ?
@benardpaul1271
@benardpaul1271 4 жыл бұрын
Bonjour
What are the Myths and Facts Behind ADHD? | The Agenda
35:56
TVO Today
Рет қаралды 11 М.
5 ONE-MINUTE Habits to Beat DEPRESSION
9:53
Doctor Ali Mattu
Рет қаралды 450 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
Rewiring the Anxious Brain: Neuroplasticity and the Anxiety Cycle: Anxiety Skills #21
14:17
What it's like to live with adult ADHD | Britain and Me
8:31
Schizophrenia and Dissociative Disorders: Crash Course Psychology #32
11:44
Transform Your Dreams into Reality with 'The Mindset Code'
34:17
Florencia Andres
Рет қаралды 2,3 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН