Mashuhuda wa hayati ali kibao wanasema watekaji walikuwa na bunduki na pingu!! Inamaana ata pingu inaruhusiwa kumilkiwa na raia wa kawaida kama bunduki??...
@NixonJohnson-r4mАй бұрын
Sasa mshahara unalipwa wa nini labda tujiulize ...hivi unasema hujui unatakiwa majina mpka ya vituo bado hujui basi utakuwa haupo kazini au kuna kazi unafanya sio usalama wetu tunaokulipa mshahara..
@DavidKaguluАй бұрын
Hii nchii hii tuna matahira madarakani
@wachimbavisimaАй бұрын
kweli mungu amepunguza hasira maana haya majibu tunayopewa kirahisi rahisi hatujui hatima yetu kwa kweli
@MwenyeHekima-r2iАй бұрын
Wewe sio Muislamu ni mnafiki na ndio mana unaishi na mtu unayemuita mke lkn ni mkiristobhuna lolote unazungumza Leo kwa sababu CHADEMA WAMEITISHA MAANDAMANO M
@JUSTINPinielАй бұрын
Ni dhambi sana kuwadanganya watu Mungu anajua mioyo yenu mnayowawazia watu
@SmilingCityMap-xb9mdАй бұрын
Mungu ulietufanya tuzaliwe tanzania. Tunaomba utusaidie maana hakuna jawabu kwa wakuu walinde vijana wetu maana wewe unajua yote unawajua wanywa damu na wavaao ngozi ya kondoo
@melichmahingule2896Ай бұрын
Kwani hakuna sauti ya. Waziri?? Unakuwa kama wewe ndio waziri mkuu sasa! mshamba sana we babu😢
@CristinLyangaАй бұрын
Na kwa huyo spika wenu,kwa sasa srinagar haja hata ya kusikiliza hilo bunge kabisa, halitendi haki kama ilivokuwa kwa Sita na Makinda. Maana tulia yupo kwajili ya mihemko ya CCM na sio kwa ajili ya wananchi.
@CremenceKavishe-rv1xgАй бұрын
Muulize mkuu wa mkoa wa longudo
@Mjeda-q1mАй бұрын
Du mheshimiwa wewe ndio kiongozi wa serikari bungeni swala hili kuliongelea kubahitaji busala sana vinginevyo wananchi watakuelewa vibaya ukizingatia kwamba vyombo vyetu vya Dola ndivyo vinavyotuhumiwa
@CristovaoMarioJaimeJaimeАй бұрын
Majariwa ulianza vizuri lkn ukapata kigugumizi baada ya Mungu kupindua matokeo ulipo pewa mama Kwa baba uli perfom vizuri saaana, kaa kimya ulinde brand yako
@MkJj-m7gАй бұрын
Majaliwa huyu si ndiye aliyesema Rais Magu ni buheri wa afya, yuko ofisini anachapa kz huku tayari akiwa marehemu? Lakini pia siye huyu aliye miongoni mwa wabunge 28 wa CCM waliopita kwa UTATA bila kupungwa?
@gidongailo7174Ай бұрын
Wananchi tumeshajiuliza na kufanya utafiti kwa muda mrefu. Majibu tuliyo nayo ni kwamba 1. Matukio haya yanafanywa na serikali yenyewe 2. Wanaotumiwa kufanya matendo haya ni Polisi, UVCCM na TISS. Collaboration 3. Nia ya matendo haya ni kuwanyamazisha wote wanaojionesha kuwa critical kwa serikali 4. Wanaofanya haya wanalenga kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakqni hata bila uhalali Ndio maana wanaofanyiwa ni Vyama vingine tu, hatusikii CCM wakifanyiwa haya kwa sababu ndio watendaji wa haya maovu😂😂😂nimeandika kidogo
@bcozhenry2698Ай бұрын
😂😂😂 umeandika 🎉🎉🎉
@emanuelsinyinzaАй бұрын
Wengine nafasi mnapata kwa bahati mbaya.
@daudimchileg307Ай бұрын
Kuwaamini hapana. Kuna mapolice wanatajwa hao akina mafwele wakamatwe kwanza majibu tyr mnayo wale walisema na ushahidi upo sasa kwanini wasiulizwe tuu.
@NixonJohnson-r4mАй бұрын
Mtu mzima unafanya joking kweli ??? Mungu afanyiwi zihaka ipo siku ...mtaikimbia nchi... kauli ya magu mzima ilikuchafua sana unaonekana haujatulia..
@Elly-w3iАй бұрын
Kassim majariwa Bora ukae kimia nilikupenda sana Kwa msimamo wako Kwa sasa Sina Imani tena na wewe Toka utudanganye magufuri mzima kumbe alishakufa
@AndrewMoses-c7cАй бұрын
Wangetekwa na kuuliwa viongozi wa CCM majibu yangepatikana haraka na matukio yangekua yameshakwisha. Nna wasi wasi
@henerichmombury2682Ай бұрын
WA kuulizwa ni yeye au wananchi tujiulize ? KUNA ubaya GANI wachunguzi watoke mbali.
@FrancisThomas-jc8wqАй бұрын
Kama serikali nayo inalalamika, duuuh!!!?
@louisnyoni4139Ай бұрын
Basi tuseme wameshindwa kazi maana basi mngekuwa mnatoa kauli kabla hatajatokea mabaya ,
@JosephIsrael-t6nАй бұрын
Hii inakatisha tamaa na ndiyo maana waziri Mkuu anasfika kama waziri Mkuu aliyewahi kuwa mwongo ukiwalinganisha na mawaziri wakuu waliowahi kuwepo nchini,Inachosha huyu ndiyo ametajwa na rais kuunda Time? Waziri Mkuu ni tatizo
@knight6757Ай бұрын
🙄
@bishopjacobomwaigagaАй бұрын
Kwa sasa mukiona mwezenu Anatekwa Nikuaza pambano hapohapo uoga Ni Dhambi watekaji wakichomwa moto wa wili wengine watajua kumekucha sasa mwezenu akitekwa muna mwacha waende nae hatari
@FadhiliMwaitete-ls2liАй бұрын
Haya tutafakari nini unajuwa kinacho endelea mwenyezi Mungu anawaona Amna chatume wala tuma mnatuteka na mabunduki je raiya anabunduki mjitafakari wenyewe
@HenrymodestKipeshaАй бұрын
Baba usalama wa raia akuna tanzania
@DavidKaguluАй бұрын
Hivi watanzania mnataka ishara Gani,kupima ccm imeshindwa kuongoza nchi hii????
@CristinLyangaАй бұрын
Kwa nini ni chadema tu na ni viongozi wa chadema tu mara zote?
@JacobMwanyumba-m4iАй бұрын
Swala la utekaji ni order maalum ya serikali iliopo madarakani ili kuwatisha wapinzani wasiendelee kuikosoa serikali maana inatumia mda mwingi kujiandaa na uchaguzi kuliko kutekeleza ahadi za kwel
@isamony58Ай бұрын
Viongozi wengi uku vijijini tunawaona kipindi chakapeni tu uchaguzi ukipita hat uwaoni tena nawala hawatusikilizi mwakani hamtuini kupiga kura😢😢😢😢
@LusajoKabukaАй бұрын
Niwazr yule tunayemjua mwenye kusimama haki au ni mwingine sahizi hatuelewi
@MACHAGGECHACHAАй бұрын
Kwa jambo hili anachosema huyo zwazwa waziri mkuu ni upumbavu mtupu. Serikali inahusika kwa jambo hili bila shaka. Anauliza wananchi.!! Ushenzi gani huyo kilaza anasema???
@ZainaKisengo-f6rАй бұрын
Jeshi letu hatulishuku, ila tunashitushwa na tabia Yao wanapomfata kwa mfano mtuhumiwa kwa Nini wasiondoke na familia sambamba
@muhsinikoki4060Ай бұрын
kwanza huyu nimuwongo Sana huyu simtumzuri anaroho yajabu Sana hanalolote
@isamony58Ай бұрын
Kura mwakani mtachaguwana wenyewe ciyo wananchi tumewachoka tunasimama foleni kwenye juwa kuwapigiy kura mkipita tu basi wananchi mnatunyanyapaa amtujali tena
@CristinLyangaАй бұрын
Tulia alisema wanaoisema au kuikosoa serikali washughulikiwe,sasa iweje huwajui???
@AnicetMinde-r4wАй бұрын
Waulizwe Green Brigades
@chidampiri1012Ай бұрын
Serikali haujui na wananchi hawaiju
@RajabuMussa-h5nАй бұрын
Yani ww ni serikali alafu unauliza wananchi mbona wa c cm hawatekwi
@CharlesMwakajinga-r5dАй бұрын
Rais analalamika police nao haiwajui wauwaji waziri mkuu naye hajui inamaanahatupo salama watanzania tunawajibu wa kujiuliza
@juliuskitaluka1206Ай бұрын
Kila mtu analalamika changamoto kubwa sana
@janemwaipopoАй бұрын
Aisee hakuna Cha point hapo
@rithaurassaАй бұрын
Inashangaza viongozi wote eti utekaji hakuna anayejua .Ninani? Anatakiwa ajue zaid?Mbona wakat wa Magu kulikuwa hamna yote haya?
@muhsinikoki4060Ай бұрын
Yani hawa viongozi niwajingakweli
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
HILI TAIFA TUTA FIKA TUMECHOKA SANA
@fortunatuswangubo6013Ай бұрын
Chadema inateka watu ili kujipatia umarufu
@JUSTINPinielАй бұрын
kwanini msiwaulize wale waliosimama majukwaani na wakazungumza wanavyofanyaga maporini?
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Kwani wanainchi wanaotekwa ni wanasiasa? Kama infuata uchaguzi basi ni ninyi CCM mnaowateka na kuuwa. Kwahiyo CCM mnafanya hivyo ili kuendelee kutawala. Kwahiyo mnatutisha mnaiba kura waziwazi sasa kumbe ninyi mnateka na kuuwa kwa sababu ya kutaka kutawala. Ni yale yale yakutuambia kuwa Magufuli. Kwahiyo sisi tusiyo wanasiasa unatuuliza. Kwahiyo unatuambia kuwa mnafanya hivyo ili CCM kuendelee? Kwahiyo mnawatuma kwa masilahi ya nani?
@jumakisailo8496Ай бұрын
Bando langu limeisha bure sioni cha maana alichoongea wazuri mkuu, Hadi nashangaa...!!?🙄🙄🙄
@GiftBatista-p2eАй бұрын
Ata mm charge inaishia
@jumakisailo8496Ай бұрын
@@GiftBatista-p2e , ni ajabu sana..😭😭😭😭😭
@fortunatuswangubo6013Ай бұрын
Mbowe anateka wenzake ili kujipatia umarufu
@NardhisMhagama-sy3eqАй бұрын
Kwanini? Kwanini ? Kipepe
@JumaNjiku-df1fdАй бұрын
Waziri mkuu ni muongo! Watekaji, wauaji ni vyombo vya usalama wa CCM, sio usalama wa Taifa. Usalama wa Taifa hawezi kuwa wapokea amri za chama fulani. Vyombo hivi havijabadilika kutoka kwenye ugonjwa wa siasa za kijamaa ambapo Kila chombo ni Mali ya chama. Majaliwa! Watanzania sio wajinga kama unavyojaribu kuonesha kuwa hawajui ukweli. Serikali haiaminiki tena na wananchi.
@muhsinikoki4060Ай бұрын
anajuwa kilakituhuyu ndowalewale watekaji
@EliaHilukaАй бұрын
Hatulilaumu tunakuuliza wewe upi wajibu wa jeshi la polisi unadhani tumwulize nani kama sio wao
@sondajohn1371Ай бұрын
Jamn nae anaulza
@sergiomartinskadengue3958Ай бұрын
Majaliwa usiwe mnafiki wewe ni muislam bicho cheio tu ni Xanana kesho ananás mwingine halo acha unafki jobi hata aibu
@IsmailKidongoАй бұрын
Bunduki wanazo polisi halafu tulinde wore nchi je aliochoma picha ya raisi Nani aliyomkamata