Mashaa llah tunanufaika Sana Allah swt akujaalie maisha mema na familia na waumini kwa ujumla
@mwanamkuutaib11 ай бұрын
Amin Mungu ampe umndri mrefu
@zainabuzainabu41603 ай бұрын
MashaaAllah Allah akuifadhi shekhe wetu.
@carloshernandezvalda2136 Жыл бұрын
Mashaalah Allahu barik
@kibibimwasera8188 Жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah
@hamidamohamed9068 Жыл бұрын
Alhamdulilah tutafute elimu elimu ni nuru .
@fadhilahaji79297 ай бұрын
Shukrani Sheikh Othmani kwa darasa yko ya tiba
@user-ju1pl7rr8n Жыл бұрын
Jazakallah kheir 🙏
@user-cb1uq7vd7f11 ай бұрын
Asalaam alaykum warahmatunillah taala wabarakat alhamdulillah mashaa llah Allah swt akujaalie heri nyingi na amani Nuru na mwangaza wa kheri kwa kila jambo lako
@user-cb1uq7vd7f11 ай бұрын
Asalaam alaykum warahmatunillah taala wabarakat alhamdulillah shukran kwa daawah nzuri kila la heri Allah swt akujaalie heri nyingi na amani Nuru na mwisho wenye kheri pia
@user-hl2sd9gn2m Жыл бұрын
Jazaka Allah kheri
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@user-rz5no7us8e Жыл бұрын
Ma Shaa Allah shukran sheikh Allah akujazie Kila la kheri
@AshaDinya-ph6tu Жыл бұрын
Jazakahu khair allaah akupe afya kwa mafundisho haya
@arafatkoroboy8030 Жыл бұрын
Shukran sana Ustadh wetu
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
Alhamdulillah Amiiin.
@esaqbillow1017 Жыл бұрын
SUBHANA LLAH
@miishhassn Жыл бұрын
🙏🙏🙏❤️
@FeswalIslam-fh8hp Жыл бұрын
Mashallah Allah akupe maisha marefu shekh Othman utangaze maneno ya mtume
@rizikially3457 ай бұрын
MUHAMMAD (SAW) 💪🏽 jitahid usiishié mtume...
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Eh! Hassan Makelele nakuona!
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Asali ni dawa nzuri lkn siku hzi kuipata asali safi si rahisi. Watu wakuaminiwa na wanakuuzia sukari.
@neemagondwe926Ай бұрын
Asali nunua tabora,inyonga ila sehem nyingine wanatupiga asali haieleweki
@neemagondwe926Ай бұрын
Au nunua kwa afisa nyuki.....
@VickKulekana-si1ib4 ай бұрын
Ni kwel mimi najuwa asali ni dawa kubwa
@fadhilahaji79297 ай бұрын
Sheikh hili Aswi la kuangalia ya harmu yanaepukika na ndio yametuzunguka
@nalingarowl704811 ай бұрын
Kumbe manabii waliwahi kuugua?.Yesu hakuwahi kuugua Wala kuuongelea ugonjwa
@Teacher........9 ай бұрын
*we unajua kuwa ni kipofu hujui ulisemalo haya bwana kalaga baho na ubwezi wako*
@pachawadoto591111 ай бұрын
Kwani mwenye kisukari anatumia asali!?
@ImamKamna11 ай бұрын
Huwezi kutumia asali fanya sunnah ya hijama utapona
@bonybonaya2106 ай бұрын
Naam anatumia akiitoa povu
@VickKulekana-si1ib4 ай бұрын
Ndio nasikia kwenye kisukar anatumia anaitowa povu
@shaviercharvinho18 Жыл бұрын
hii dawa haina madhara kwa mwanamke
@muhammadmuhammad5043 Жыл бұрын
Haina Dhara Hata Kwa Watoto ila Watoto Unawapa Kwa Ucheche
@faridahalil4456 Жыл бұрын
Asali utaitumia vipi ikiwa una kisukari????
@bonybonaya2106 ай бұрын
ieke kwa chungu ubandike kw jiko uitoe povu. Hapo ndo utaitumia na haitakudhuru biidhnillah