KABLA YA KUUMBWA DUNIA ALLAH ALIKUA WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM

  Рет қаралды 438,446

arkas online tv

arkas online tv

Күн бұрын

Пікірлер
@jeremiahmoemi9606
@jeremiahmoemi9606 Жыл бұрын
Nilisilimu mimi na familia yangu yote kwa ajili ya haya mawaidha ya kupendeza hivy😊❤
@aishawangui-pr4ye
@aishawangui-pr4ye Жыл бұрын
Neema kumbwa iyo Allahu Akbar..mimi peke ata watoto wangu bado ..yarabbi fungua roho ya watoto wangu waseme shade kabla mauti
@HASSANNGOME-ow3ob
@HASSANNGOME-ow3ob Жыл бұрын
Mashaallah! Allah akupe ucha mungu wewe pamoja na familia yako
@adijarashidswedi6979
@adijarashidswedi6979 Жыл бұрын
Manshallah 🤲
@abdullakhalfan31
@abdullakhalfan31 Жыл бұрын
MASHAA ALLAH
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 Жыл бұрын
​@@aishawangui-pr4yehakika watakuwa kwa uwezo wa Allah
@Seifchui007
@Seifchui007 9 ай бұрын
Sheikh Athuman maalim ni mtu WA maana kabisa Allah akupe umri mrefu
@aminaanyoso7648
@aminaanyoso7648 Ай бұрын
Ameen 🤲
@jumannembaraka5528
@jumannembaraka5528 9 ай бұрын
Mungu akujaalie umri mrefu uzidi kutupa elimu
@iddikimia4951
@iddikimia4951 Жыл бұрын
Shekh Othman Allah akupe umri mrefu na afya njema❤
@fatmaomar2996
@fatmaomar2996 Жыл бұрын
Amiiiiiiiiiiiin Amiiiiiiiiiiiin thumma AmiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinN
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 10 ай бұрын
Ameen ya rabi
@badruboy__
@badruboy__ 9 ай бұрын
Amin 🤲
@nassorali1034
@nassorali1034 9 ай бұрын
Amiiin walahi laadhim ishaallah amjaalie
@seiffakir8694
@seiffakir8694 9 ай бұрын
Amin 🤲
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 24 күн бұрын
Tunaompenda shekhe Othman maalimu Kwa ajili ya Allah tuzidi kumuombea dua Allah ampe umri mrefu tuzidi kupata elimu kutoka kwake
@EstherKomba
@EstherKomba 10 ай бұрын
Mungu akubariki naomba t uniombee mm ni mkristo lakini nimeprndezwasana na mafundisho naomba unidlim
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 9 ай бұрын
Mtafute sheikh kwa namba hizo zilizoandikwa hapo juu in shaa Allah utaufahamu zaidi Uislam na utasilimu
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 8 ай бұрын
Hivi unajua hadidhi maana yake nini?
@AnuariSatari
@AnuariSatari 7 ай бұрын
Mungu atakuongoza amin sisi some wangonjjwa hata ni waislàmu mungu atutibu
@rahimhussein9323
@rahimhussein9323 9 күн бұрын
@@AnuariSatari ee yarab tujaalie mwisho mwema yarab
@Felice_Dubet
@Felice_Dubet 9 ай бұрын
Alhamdullilah suala la mungu watu wengi wanajiuliza. Sheekhe wewe umejibu vizuri masha Allah. Allah akupe baraka
@moodyyahaya3040
@moodyyahaya3040 9 ай бұрын
A.alyekum
@michaelmwangi3669
@michaelmwangi3669 6 ай бұрын
Nilisilimu mimi pia juu ya haya mawaidha but napigwa nyumbani kwetu na familia
@mrishosudi1896
@mrishosudi1896 Жыл бұрын
Allah Allah Allah Mawaidha Matam sana Allah azidi kumpa Afya Shekh wetu lakini pia na wanao fatilia darsa hili kwa nia ya kheri😊
@cishahayoali1136
@cishahayoali1136 Жыл бұрын
Mashaallah, sheikh wetu Allah akulipeni pepo ya firdaus aalaa, Ameen! tumeilimika kwa darsa hi!
@SultanHamso
@SultanHamso Ай бұрын
ALHAMDULILLAH KUA MUISILAMU: ALLAH UMZIDISHIE ELIMU NA FAHAMU SHEIKH ATHUMAN MAALIM´: NA MWENYEZI MUNGU; ATUJALIE NA WATOTO MFANO WA SHIEKH WETU ATHUMANI MAALIM: AMEEN INSHALLAH:
@jeremiahmoemi9606
@jeremiahmoemi9606 Жыл бұрын
Uìslamu ndio Dini ya haki waaAllahu akbar
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Na ndiyo maana majini yalisilimu kuwa waislam.
@ShaniSaleh
@ShaniSaleh Жыл бұрын
Naona kafiri unateseka sana😂😂😂
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 9 ай бұрын
Sasa Nan kafir apo????​@@ShaniSaleh
@Tr.Abdussamiy
@Tr.Abdussamiy 8 ай бұрын
​@@mwassamwassa7264 Ndio, majini yanaona haki na binadamu aliyeahinda jini akili anashindwa kufutata haki
@HalimaSaid-w2j
@HalimaSaid-w2j Жыл бұрын
Shukran shekhe wetu Kwa kutuelimisha,Allah akuzidishie kila la kher na tuzidi uelimishana na kuongozana katika mambo ya Kher In Sha Allah 🤲
@ChilumbaAthumani
@ChilumbaAthumani Жыл бұрын
Sheikh hongera sana kwa kazi nzuri, Mungu kakujaalia Mungu akuzidishie kheri
@MaalimomiyyOmiyy
@MaalimomiyyOmiyy Жыл бұрын
Shukrn shehe kwa darsa ya mola wetu wa haki
@husnaRamadhan-di3ov
@husnaRamadhan-di3ov 16 күн бұрын
Mashaallah mawaidha matam uislamu ndo dini ya haki natamani allah anipe ulimi wangu niweze kuwatoa uliepotea njia niwalete katika njia ya allah inshaallah 🤲
@kimwanachangani3922
@kimwanachangani3922 Жыл бұрын
SUBHANA LLAH WALAILAHA ILA LLAH ..AL MALIK QUDUUS
@abdallaismail2427
@abdallaismail2427 Жыл бұрын
Niko na suali kwako Sheikh langu Allah akubarikie.... Umesema kua Allah kitu cha kwanza aliumba ni Kiti chake cha enzi, kiti hiki kiliwekwa juu ya maji, na kiumbe cha pili ni kalamu, Jee hiki kiumbe maji kiliumbwa kilikua namba ngapi ? Kwa maana umesema kua kiti cha enzi kiliwekwa juu ya maji jee haya maji yalikuwepo kabla ama ni vipi hapo sijafahamu naomba unifahamishe,, Napenda sana mawaidha yako Sheikh. Allah akujazi killa la kheri daima
@ramadhaniayoub8171
@ramadhaniayoub8171 Жыл бұрын
Allah akisema kuwa na kina kuwa
@kipangatz19
@kipangatz19 9 ай бұрын
Maji yalikuwa hali ya gesi
@zangzang1574
@zangzang1574 9 ай бұрын
Hutopata jibu apo shehe wangu.kuna kiti kuna karamu.sasa hiki kiti kilikaaa wapi? Na maji yalitokea wap Na yeye aliumba kiti kwaajili gani? uliza kama utapata jibu. 😂😂😂
@zangzang1574
@zangzang1574 9 ай бұрын
Story
@MahmoudKhamis-cv9pi
@MahmoudKhamis-cv9pi 3 ай бұрын
Cha Kwanza kuumbwa ni maji shehe kasahau.
@MakaraniCherehani
@MakaraniCherehani Жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun Allah tulinde tusiwe iblisi mpinga ukweli, ukifa 2ukweli utauona na utajutia kila lililohaqi ukalipinga.
@NajmaShekilindi
@NajmaShekilindi 12 күн бұрын
Masha allah mungu azidi kukupa afya njema na wepesi kwakila jambo lako
@SaidaChiry
@SaidaChiry 25 күн бұрын
Wallah allam mwenyezi mungu akulinde na maradhwi akupe sikha njema uzidi kutufundisha mawaidha yako mazur napeyapenda sàan INSHA ALLAH
@SamiaKalus
@SamiaKalus Жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukuongoza na kukuhifadhi kwa ajili ya mawaidha mazuri
@rukiyakibera76
@rukiyakibera76 Жыл бұрын
Sheikh tafadhali record Quran yote, ili tusikilize sisi na vizazi vijavo, tabaraka Allah
@HatibuChaka
@HatibuChaka Ай бұрын
Maashallah Allah akubaarik AKUPE neema katika maisha mapya ya uislam na akujaalie mwisho mwema wewe na familia yako
@AhAu2-oi5wn
@AhAu2-oi5wn 8 ай бұрын
Barak llah....Allah akulipe kwa kutoa darsa
@ElizabethMayemba
@ElizabethMayemba 2 ай бұрын
Allah akupe maisha marefu shekh wangu uweze kutufikia na sisi huku tulipo kusema ukweli mi nakupenda kwaajili ya Allah tabaarak taalah
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 8 ай бұрын
Allah namuomba anikutanishe nawe live kabla ya kufa nimuombe Allah akupe ninachokipeda kutoka kwake akupe maana wewe ni wa kuombewa jema wala siyo baya inshaallah
@JohJongo
@JohJongo Ай бұрын
Mashallah kwny hii historia ya kuumbwa kwa dunia , nafkir m/mung anapenda tutumie akir / ufahamu jpo anajua. Ukirudi kwny kuchkua mchanga mpka kupewa cheo cha kutoa roho. Na meng ya kujifunza humu .
@swalehalaidaroos6074
@swalehalaidaroos6074 Жыл бұрын
TAKBIIIIR...ALLAHU'AKBAAR Jazakallah kher'inshallah yaa sheikhuna,
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 Жыл бұрын
SUBHANALLAH ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM Barakallahu Feek
@HalimaSaid-w2j
@HalimaSaid-w2j Жыл бұрын
Ma Sha Allah,kisa kizur nimejifunza mengi Alhamdulillahi
@abdaladelo371
@abdaladelo371 Жыл бұрын
Allahu akbaru lahhawla Wala quwata ila bilahi
@momadeabdulremane5436
@momadeabdulremane5436 Ай бұрын
Mwenhezimungo akuzidichiye lilimo na hikmah.amiin.
@HabibuMatary
@HabibuMatary Ай бұрын
Shukran sheikh letu Allah akupe umri mrefu tuendelee kunufaika nawe
@herimwinge-et9ei
@herimwinge-et9ei 4 ай бұрын
Jazaka Allahu kheir, Mwenyezi Mungu atupe mwisho ulio mwema.
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Жыл бұрын
Swallalah Allayhi Wasalam Jazzakumllah Khery
@saadaali-o2j
@saadaali-o2j Жыл бұрын
Ma Shaa Allah Tabarakallah Allah (S.W.T) akuhifadhi nakila Shari
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
Alhamdulilah. nakumbuka nikiwa mdogo nilimuuliza ili swali mama yangu.Nakumbuka nilimsumbua sana kila akinielewesha ndipo nilizidi kumuuliza zaidi.Mwisho akaniambia nilale , nikiamka atanipa jibu sahihi.
@fatmehfaraj5188
@fatmehfaraj5188 Жыл бұрын
Shukran wa jazakallah kheir.Darsa nzuri yenye manufaa mashaallah
@universitylink
@universitylink 10 ай бұрын
Mashaallah kama unesilimu kwa mawaidha kama haya ya sheikh Othman Maalim Allah akulipe kheir na yeye katika hii dunia na Akhera maana ukimuongoza mtu mmoja ni bora kuliko ngamia Mia wekundu kwa sasa magari ya thamani yawe Mia ndio uone ubora wake. Pia Mashaallah Sheikh Othman Maalim ni mfasaha sana na anafundisha kwa njia iliyo nyepesi kabisa mnyonge mnyongeni haki yake mmpeni
@DaudaBilikesi
@DaudaBilikesi 4 ай бұрын
Allah akusimike na akuimarishe katika imani na taqwa Bwa Jeremiah kwa kusikia , kupokea na kuamini HAKI.
@HassanAli-w5n7r
@HassanAli-w5n7r 3 ай бұрын
Allah akuzidishie umri wenye barka sheikh wetu
@mohamedswadiq6732
@mohamedswadiq6732 Жыл бұрын
Darsa Ya Elimu MashaAllah
@momadeabdulremane5436
@momadeabdulremane5436 Ай бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته. ماشاء الله تبارك الله.
@JamaliHusseni
@JamaliHusseni 26 күн бұрын
laailaaha ilaa anta subhaanaka innaaa kuntu minadhwalimiin astaghfirullah!!!.
@mrsahmadhajraah1550
@mrsahmadhajraah1550 11 ай бұрын
Mashalah shukran sn shekh wwtu ALLAH AKUJAALIE MWISHO MWEMA, SHEKHE ZANGU OTHMANI MAALIM NA OTHMANI MICHAEL MNAFANANA USOMAJI MPAKA UONGEAJI
@BarakatChomba
@BarakatChomba 11 ай бұрын
Alhamdulilah shekhe Tunaelimika sana mawaidha yako yote yanatutowa kwenye kiza .Allah akulinde namashaani wakibinadamu na mashaitwaan wa kinijini (Ameen) Allah akupe umri mrefu( Ameen)
@MohamedDahir-hj2oq
@MohamedDahir-hj2oq 9 ай бұрын
Mansha Allah sheikh othman maalim mungu akuweke wacdi hii kwa mizani yako wakati ya aqira.
@LinconLopez
@LinconLopez 9 ай бұрын
Subhanallah laah ilah anta subhana khain kuntu mina dhwalimin
@Mohammad-c3z5x
@Mohammad-c3z5x Жыл бұрын
Masha Allah jazaakallhahu-lkhair.
@kassidpandu866
@kassidpandu866 9 ай бұрын
Ni suala gumu kujibu lakini umejibu vizuri sana Mashaalah
@ShamtemShamtem
@ShamtemShamtem Жыл бұрын
Natamani niwemwnafunzi wa huyu sheikh anajua sana nimsomi hassa
@MasudIssa-u9i
@MasudIssa-u9i 8 ай бұрын
Mashaalla othuman. Mungu akupe umri mrefu tuendele kujifunza darasa
@jymvumbi4804
@jymvumbi4804 Жыл бұрын
Subhana-Llah kwa kweli na uhakika Mungu ni Mkubwa Mno, na Ma-Sha-Allah kwa Sheikh wetu Uthman kwa kutuzindua akili kwa wenye ambao tulikuwa hatujielewi.
@zamBakar-y3j
@zamBakar-y3j Жыл бұрын
Allah akutunze shekhe Othman, nimejifunza
@SuleimaniSaidi-f5t
@SuleimaniSaidi-f5t 24 күн бұрын
ما شاء الله تبارك الله اللهم ان كان رزقي في السماء فانذر وان كان في الارض فاخرجه وان كان حراما طاهر وان كانك عند فرج اللهم انا نسالك النار اللهم انا نسالك النار
@abdulimaliki
@abdulimaliki Жыл бұрын
Maasha. Allh. Ummat. Muhammd. S. W. S.
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t Жыл бұрын
Shekh Allah akulipe kesho akhera,biidhinlah
@Happy-be8hh
@Happy-be8hh Жыл бұрын
Kiufupi كان الله قبل خلق الزمان والمكان، وهو الآن على ما عليه كان Allah alikuepo kabla ya kuumba nyakati na sehemu, na yeye sasa hivi yupo alipokuepo
@NurdiniMchana
@NurdiniMchana 2 ай бұрын
Allhh akupe umri mrefu shekhe wetu 17:26
@allysaid6984
@allysaid6984 Жыл бұрын
Sheikh nakupenda Kwa ajili ya Allah naomba anijalie niwe kama ww
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 9 ай бұрын
Shekhe mungu akupe umri mrefu nimependezewa Sana na mawaidha yako,
@BakariJuma-q6n
@BakariJuma-q6n 9 ай бұрын
Mashaallh Mungu akipenda umri mrefu na afya njema amen
@nassorali1034
@nassorali1034 9 ай бұрын
Umur twawil ya shekh othmani maalim .....na Akher twayib inshaallah ...yaatikil.afya
@AnisaA-v4v
@AnisaA-v4v 7 ай бұрын
Allah akulipe na akutunze❤
@BandaNchasi
@BandaNchasi Жыл бұрын
Sheikh,Allah akupe umri mkubwa ,afya,uzima ,lakini pia fursa ya kutufundisha Elimu hii,na nyingine zote njema. Ni Mimi banda HALIFA nchasi wa PahiKondoa
@minabuelysee8
@minabuelysee8 Жыл бұрын
Amin
@thuleythasule7036
@thuleythasule7036 Жыл бұрын
Wanyumban kwetu sote tunapat elimu lakin kunawatu ufaham wao baad haujawafunguka inshaallah allah awafungulie
@thuleythasule7036
@thuleythasule7036 Жыл бұрын
Wanyumban kwetu sote tunapat elimu lakin kunawatu ufaham wao baad haujawafunguka inshaallah allah awafungulie
@thuleythasule7036
@thuleythasule7036 Жыл бұрын
Wanyumban kwetu sote tunapat elimu lakin kunawatu ufaham wao baad haujawafunguka inshaallah allah awafungulie
@thuleythasule7036
@thuleythasule7036 Жыл бұрын
Wanyumban kwetu sote tunapat elimu lakin kunawatu ufaham wao baad haujawafunguka inshaallah allah awafungulie
@mariamahmed6859
@mariamahmed6859 Жыл бұрын
Allahumma Amiin jazakallah kheyr shekhe wetu
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 9 ай бұрын
Hata mimi swali hilo la mungu alikuwa wap lilinisumbua sana!!
@kwisa4899
@kwisa4899 5 ай бұрын
Sasa hivi yupo wapi unajiuliza vitu vya kijinga unakakujua ya nyuma yaliyopo uyajui mbinguni ni wapi?
@a.856
@a.856 Ай бұрын
Jazaka Allah khayran
@evordluanda5184
@evordluanda5184 10 ай бұрын
Kumbe karamu nayo Mungu aliiumba. Nikajua imetengenezwa na Binadamu.
@DaawaTV-c8v
@DaawaTV-c8v 8 ай бұрын
Allah(s.w) ameumba kila ktu kilichomo Mbinguni na ardhini! Allah ametupa elimu tu sisi wanaadamu ya kutengeneza vitu kwa uwezo wake yy! Alimfundish adam majina ya vitu vyotee vilivyomo duniani kwahyo tayar Allah aliumba kila ktu.
@yusufusafundi5058
@yusufusafundi5058 3 ай бұрын
🤲🤲
@abdulrahmanmandandu8519
@abdulrahmanmandandu8519 7 күн бұрын
Chanzo chake
@jannffer
@jannffer 8 ай бұрын
Glory be to God for this revelation
@HamisjumaJuma
@HamisjumaJuma Жыл бұрын
Takbiiir Allah Akbar...Suburban Allah...!!!!
@kandellahramadan5794
@kandellahramadan5794 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@ashajumasaid7285
@ashajumasaid7285 Жыл бұрын
Shukran Sana shekhe, kwa elimu..Barakallahu fiikum
@HamadHamad-b1p
@HamadHamad-b1p 9 ай бұрын
Mashaallah Allah akulipe jaza njema
@hidayashabani5897
@hidayashabani5897 10 ай бұрын
Mashallah,Shukran sana kwa mawaidha haya
@HAJIABDALA-g8e
@HAJIABDALA-g8e 11 ай бұрын
Allah kullipe shekhe kwa ellimu unaito kwa jamio
@AbdallahYusufu-rc5xu
@AbdallahYusufu-rc5xu 9 ай бұрын
ماشاالله برك الله تعلمين الشيخ أثمن معلم
@abdulimaliki
@abdulimaliki Жыл бұрын
❤laailaaha illallhu.. muhamad. Rasulu llh
@Khalifaibrahim-oh7ti
@Khalifaibrahim-oh7ti 9 ай бұрын
Allah akuhifandhi sheikh othuman maalim
@kibibijaphary6918
@kibibijaphary6918 Жыл бұрын
Allah Akbar Allah Akulinde Mashaa Allah Nimepata Darsa zuri kabisaa
@HADIJALIVENGWA
@HADIJALIVENGWA 2 ай бұрын
Mungu atupe mwisho mwema
@Majaliwa-s1k
@Majaliwa-s1k Жыл бұрын
Mashaalaah Allah akuhifadhi na akupe umri uzidi kutuelimisha
@omarshariffabubakar1543
@omarshariffabubakar1543 17 күн бұрын
Allah bless you 🙏
@zaitunimussa-e9w
@zaitunimussa-e9w Жыл бұрын
Allah akulinde kama alivyomlinda mtume wetu katika pango
@lilatito2816
@lilatito2816 9 ай бұрын
Allah akupe salama mwalimu bali ningependa kisa hiki kiendelee zaidi
@HamisaSimon
@HamisaSimon 7 ай бұрын
mungu akuzidishiye kira raheri hakika mawaidha mazuri kwer
@rubbyruu7172
@rubbyruu7172 Жыл бұрын
MashaAllah MUNGU awahifadhi nyote mulio silimu mume ufuata njia sahihi
@NeemaAlly-hu1rd
@NeemaAlly-hu1rd 7 ай бұрын
At me nina mshukuru sana sheeh angu
@HadjatiMayidiya
@HadjatiMayidiya 6 ай бұрын
Jazakallah Kheir sheikh
@mwanarusiali4430
@mwanarusiali4430 Жыл бұрын
Masha Allah.....Allahu Akbar❤
@IdaarusDyn
@IdaarusDyn 9 ай бұрын
Shukran shekh kwa maelezo mazur yenye faida kubwa
@ahmadabdallah6641
@ahmadabdallah6641 Жыл бұрын
Shekhe Asalam Alaykum. Afwan, hakuna watu weupe. Chukua karatasi nyeupe na hao wanaojiita weupe ulinganishe utapata tofauti. Hiyo rangi yao hata sijui jina lake kama ni nyekundu ama pink. Huu ndio ukweli. Kama nimemkwaza mtu poleni. Shukran
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 Жыл бұрын
Wakisema watu weupe inaeleweka. Haina mjadala hii
@zulfajuma8394
@zulfajuma8394 Жыл бұрын
Wape jina basi
@makenaOG
@makenaOG Жыл бұрын
Ama wewe ni miongoni mwa wale ambao hawasikizi wapate faida bali wanasikiza tu iliwapate hoja tu za kukosoa
@wamburamatutu7302
@wamburamatutu7302 Жыл бұрын
@@makenaOGHaswaa maana concerb yake siioni.
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 Жыл бұрын
Una hoja ..kweli wao ni waridi iliopauka..ila cha msingi ni kupata elimu anayotoa shekhe
@mshamuwadhamira8346
@mshamuwadhamira8346 Жыл бұрын
Maana yake Kwa hadithi inaonesha MAJI yaliumnwa mwanzo kabla ya Arsh ndio maana Arsh ikawekwa juu ya MAJI. Ma Shaa Allah. Raha sana
@sama-_8368
@sama-_8368 11 ай бұрын
Kweli kabisa maji ndio ya mwanzo kwa maelezo hayo
@yasinabdulkadir1925
@yasinabdulkadir1925 11 ай бұрын
Nadhani nimeelewa kama wewe.
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 9 ай бұрын
Naam kiumbe cha kwanza kuumbwa na Allaah ni Maji=,(bahari saba) cha pili ni Arshi,=( ndio kiumbe kikubwa kuliko viumbe vyote ni kubwa sana hadi haielezeki) Ama kalamu ni kiumbe cha kwanza kwa maana ya kuwa ni cha kwanza kuumbwa kabla ya kuumbwa viumbe vyote baada ya Maji na Arshi. Maana maji na arshi ni viumbe alivyo jinasibisha navyo na ndio maana kuna; Maji, kisha Arshi ipo juu ya Bahari ya saba na Allaah yupo juu ya hiyo arshi lakini bila ya kuitegemea hiyo Arshi na huku akiwa ni mwingi wa kutenda alipendalo.
@Athmanmasini
@Athmanmasini Жыл бұрын
Mungu akuzidishie umri mrefu uzidi kutunaswia😊😊
@SalmaSalim-ch5gt
@SalmaSalim-ch5gt 9 ай бұрын
Subhanallah Allah atusameh makosa yetu
@HashimuMohamedi-n2i
@HashimuMohamedi-n2i Ай бұрын
Asala alykum warahmatullaj wabarakaatuh shukran shekh mungu akjbariki
@shinayzashiraaz4588
@shinayzashiraaz4588 6 ай бұрын
Jazakumullah kheirun
@AlhabibMujahiddjibril
@AlhabibMujahiddjibril 9 ай бұрын
عسى أن أكون ممن يتقربون إليه في الجنة
@RizqAmiss
@RizqAmiss 2 ай бұрын
Allah atupe umri mrefu hehe wetu uzidi kuteelumisha
@saidyfundi
@saidyfundi 12 күн бұрын
Allah kupe umri mrefu
@OmanOman-bm1lr
@OmanOman-bm1lr Жыл бұрын
Nyienaopinga maneno ya Allah someni mtajuwa kelele za nini yeye kasoma na anatowa darsa kutokana na alivosoma kama hamjasoma keleleni
MJUE SWAHABA MYAHUDI KUTOKA KWA BINGWA WA HISTORIA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:07:16
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADE LINK HABARI
Рет қаралды 154 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
UTAKUJA KUJUTIA WAKATI WAKO UNAOUPOTEZA// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:18:04
arkas online tv
Рет қаралды 41 М.
JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM
34:54
Said Salim Matango
Рет қаралды 1,6 МЛН
001 OTHMAN MAALIM    VITA VYA  BADRI
3:04:00
Viste Lacky
Рет қаралды 253 М.
02 SURAH AL BAQARAH (Tafsiri Ya Quran Kwa Kiswahili)
3:24:01
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 2 МЛН
Mawaidha ya Othman Maalim wema hauozi | kisa cha kijana aliyevuta bangi
52:54
Idh - har online Tv
Рет қаралды 106 М.
BAADA YA MAUTI - SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:21:20
Arahman Tv Online
Рет қаралды 178 М.
SIRI NZITO NDANI YA MBINGU SABA | SHEIKH MSELEM BIN ALY
1:12:10
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН