Ni mahubiri ya kiinjirist napenda Sana kusikiliza nyimbo zako
@mwaminifungo46656 жыл бұрын
huu wimbo unafanya niwe mtu wa kutubu kila niusikilizapo mungu akubariki mtumishi wa mungu kwa ujumbe wa Mungu
@daynaanthony86335 жыл бұрын
Tubalikiwe wote tunaelitangaza jina La bwana
@joshuajapa2596 Жыл бұрын
Karibu Geita hizi nyimbo uliziimba mkutanoni nimekumbuka huu wimbo ulinitoa machozi mungu akubariki Geita tunakuitaji
@cesiliatembo30513 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana mtumishi nimebarikiwa kupitia wimbo huu ,uliimba live kanisa la sayuni kwa mchungaji kindole
@dominicantweve15884 жыл бұрын
Nabalikiwa sana na tunzi zako mtumishi
@barakawilliam39932 жыл бұрын
Yaaan nimetafar sana Mungu anisaidie.
@kolinabenedict25344 жыл бұрын
Hongera Sana'a kakaangu barikiwa Sana'a maana huu wimbo unanibarikii na kunigusa ndani ya moyo wangu
@GG-sd6nb8 жыл бұрын
oooh pole niuchungu kuondoka duniani bila Yesu hata Mimi nilikuwa nime ongea na mume kuhusu aokoke lakini akawa kama mama yako ni uchungu sana
@zombem2mbaysmpock3855 жыл бұрын
POLE KWA KUFIWA NA MUMEO NA WW
@bestonkajojo45582 жыл бұрын
Kama umekuja apa baada ya kutazama zecomedy gonga like
@josephayieko20596 ай бұрын
Kutoka Kenya , wapendwa tuokoke pia na kutubu kila wakati😢😢😢😢😢
@sirisaac1788 жыл бұрын
MUNGU akusaidie zaid na zaid mtumishi wa MUNGU! huu wimbo kila siku ni mpya kwangu,kwa mara ya kwanza niliusikiakwa jirani 2013 kwa kweli huwa unanigusa sana sana sana,yawezekana yupo mtu ataokoka kwa kuusikiliza tu,ni mahubiri kamili.naupenda sababu naelewa maana yake,maudhui yake pia...sna neno zuri kuuelezea!
@floridambonagabosikuiziupo19486 жыл бұрын
JJ Ruiza mbona kimya sana sikuizi toa Alubam nyingine nyimbo zako uwa zinanibariki huku dar ukitafuta CD hakuna
@adamambangilekalinga43827 жыл бұрын
Mungu atusaidie tusiukatae wala kuupoteza wokovu
@floridambonagabosikuiziupo19486 жыл бұрын
Uwimbo uwaunanitoa machozi namkumbukaga sana Mamaangu Jackinda ooooMama
@daynaanthony86335 жыл бұрын
Pole sana
@stannymgallah6696 жыл бұрын
Ningekua na mama mimi ningelinga sana katik nyumba ya MUNGU
@venancemgallah64293 жыл бұрын
Balikiwa sana mchungaji kwa nyimbo zako nzuli
@sirisaac1788 жыл бұрын
tusikatae wokovu! Yesu anakuja...
@sophiabanana23093 жыл бұрын
😯🤐
@nurukapoja77594 жыл бұрын
Amina mtumishi kama mama nimeguswa niombe
@mwaminifungo46656 жыл бұрын
nami namwambia kila siku mama yangu aokoke ninaimani ipo siku ataokoka
@daynaanthony86335 жыл бұрын
Usijali ataokoka2
@biturowambura12413 жыл бұрын
Rip Mama rip baba rip Bibi nawakumbuka Sana 😥😥
@sarahedward32352 жыл бұрын
Balikiwa mtumishi unanifaliji san
@saickomsangawale57635 жыл бұрын
ubari kiwe rwiza vijana tunaerewa xaxa mungu akubarikisana
@daynaanthony86335 жыл бұрын
Dah kwakweli tusikatae wokov
@mwalongosamweli44137 ай бұрын
Mama uko wapi
@raheliricardo36952 жыл бұрын
Nice song
@harunisimkonda51925 жыл бұрын
Barikiwa sana JJ Rwiza
@felisterbenjamin77013 жыл бұрын
Jaman tusiuache wokovu
@rosemichael52684 ай бұрын
❤❤❤🎉 good
@ezekielaloyce59173 жыл бұрын
GOOD SONG BUT I ASK ABOUT A NEW SONG CALLED WEE DADA
@tosamary97619 ай бұрын
Amen 🙏 ❤❤❤
@elizaneema92758 жыл бұрын
yoooo pole jamani
@irenealex6583 жыл бұрын
So pain huwa Malia sanaaaaaaaa
@tumanguku40414 жыл бұрын
Penda bure lwiza na nyimbo zako
@japhetsakala44453 жыл бұрын
Uko wapi mama
@AtupakisyeKalundwa6 ай бұрын
Sichoshwi hata nisikilize mara elfu kumi
@cruiseasphotographer2 жыл бұрын
huu mwimbo naupenda hadi leo 2022
@mosesg.pendael83816 жыл бұрын
Lwiza ninakujua. Niko Musoma. Hii sio acting yako. Ninakuombea Mungu afungue milango upate pesa uimbe tena. Huu sio uchezaji wako wa hisia. Lwiza unavurugaga nywele unagalagala chini na suti....