Kaka nakupenda sana na ninabarikiwa sana na nyimbo zako by frank mapesa niko bukoba kagera.
@victorswilla64067 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu JJ RWIZA, MUNGU akupe neema zaidi katika huduma yako, akupandishe kutoka utukufu hadi utukufu,barikiwa sana kwa ujumbe mzuri, shalobaro ataokoka tu
@pstjjrwiza21096 жыл бұрын
Asante na ubarikiwe rafiki
@floridawillybatmrsngengena6825 жыл бұрын
Wimbo huu unanikumbushaga Sana Mamaangu 😭😭😭😭😭
@SsSs-oo2nw6 жыл бұрын
Huo ulikuwa ujumbe mzuri kumuandikia mama hata kumuambia kuokoka
@SsSs-oo2nw6 жыл бұрын
Kweli nimesikia nimeguzwa sana sana karibu Kenya please l pray one day you will come to Kenya Nairobi