Only almighty God to help our beloved country Kenya. We rebuke the spirit of confusion in Jesus might name amen.
@jacklinewahome24166 күн бұрын
Jesus Christ,hii Kenya inaelekea wapi 😭 Heri Uhuru Kenyatta aki 🤔..those who killed Genz may never know peace.
@JosephineNzioki-qy2ot6 күн бұрын
Adani na wote wenye kuuza Airport must go, What a greedy leader😢🤔🤔🤔 he will finish Kenya!!!?!
@ColletaOngango6 күн бұрын
Huyu hajui, atajua Kenya sio ya wazee, Kenya ni Gen z Mungu tusaidie kwa hii kenya.
@jacklinewahome24166 күн бұрын
Ruto is a trouble maker in this country 😕😭
@okothvincent60276 күн бұрын
U thought ur smart nabdo😂😂😂
@gladysnabwana66906 күн бұрын
EVERY SPIRIT OF CONFUSION IN ZAKAYO GOVERNMENT CHOMEKA KUZIMU MILELE 🔥🔥🔥🔥🔥
@PhilomenaMueni-bd5eu6 күн бұрын
Hii serikali sijui inatupeleka wapi jamani mungu aingililie katikati 🙏🙏
@mummygrandm11556 күн бұрын
Mwindi for all people kenya kwisa😢😢
@kaniniveronicah58225 күн бұрын
I'm tired na hii kenya...huyo jamaa asiruusiwe.thr worst government ever tutaikumbuka..
@user-ok7rn2np5o4 күн бұрын
Ruto. Ni. Mwizi. Con. Man. Muuaji. Ruto. Anataka. Kumaliza. Wa. Kenya. Na. Kutuza. Kws. Wahindi. Sisi. Wote. Tupiganie. Airport. Miaka. Ijayo. Watoto. Wetu. Watasubuka. Kwa. Sababu. Ya. Ruto. Mwizi. Akifanya. Wa. Kenya. Kuendelea. Kuwa. Maskini. 2027. Lazima. Tumupeleke. Ruto. SIGOI. Huyu. Mwizi. Ametuhagaisha. Na. Kutuulia. Watoto. Wetu. Tumekubaliana. ADANI. Akifika. Kenya. Tutachoma. Airport. Na. Adani. Munyewe. Inchi. Yetu. Ya. Kenya. Hataenda. Tukiona. Tumekata
@user-hu9mg5kz4q5 күн бұрын
Weeee
@Esendi5646 күн бұрын
Rutto ata make sure kila kitu chenye uhuru alilinda ameuza😢😢😢😢😢
@user-hu9mg5kz4q5 күн бұрын
Ivano inamanisha ati wenye walisafiri bado wako apo,na wenye wanataka kusafiri akuna ss kwisha sss ,
@karuruchoroke43745 күн бұрын
Repercussions of ICC suspect.
@SandraSoso-ih2qq6 күн бұрын
Aki mungu atusaidie kenya inaelekea wapi sasa 😢😢
@swahito2065 күн бұрын
Ruto ni mwizi anataka wakenya waende wakatafute Kazi nchi zingine ili ateke wahindi bure kabisa.
@lornandeda36353 күн бұрын
Ivano hapo ni Kenya amaa Saudi Arabia
@Alicetenisha6 күн бұрын
Rem.Genz kenya its me and you??we are young ,,watoto tunazaa sasa hivi wataumia vipi in coming 20yrs😢😢😢kama airport imeuzwa for 50yrs,,inamaanisha watoto wetu pia watateseka vilivyo,,hii tusikubali 😢😢😢😢😢
@chepindichepindi33286 күн бұрын
I love kenyans. They will not agree.
@MitchellErminaКүн бұрын
Ruto alienda na ndenge gani na akirudi vipi mimi mbona sielewi tena mkivutwa kazi mtaenda kufanya kazi jamany msijali
@Alicetenisha6 күн бұрын
Tumechokaaaaaaaa😢😢😢😢😢😢Genz amkeni !!!!!!lets fight for our future,,,aky former president Uhuru uko wapiiiiiiiii😢😢😢😢
@lucyjuma-nl2ko6 күн бұрын
And the way ruto ashatravel to USA urgently..... But why akaamua kuuza for sure 😢 kweli Kenya kwisha
@tabithakariuki36126 күн бұрын
Ati what????so na wale wako kwa wenyewe hakuna kurudi kenya ama????ruto ni kweli hiyo kichwa yake ni mkebe ya makamasi tuu
@emmaculatekarembogarama67096 күн бұрын
Rutto Mungu akushughulikie popote ulipo umetia kisirani na ufukara mkubwa taifa kenya utawala wako wakishetani lazima uende chini kwa jina la Yesu
@Beckyvillahjoshua6 күн бұрын
We kimeumana yawah
@AsoupiaAsopia1236 күн бұрын
Hakuna lililo gumu kwa meenyezi mungu mungu tetea nchi yetu ya kenya tulikozea wapi mungu tusamee
@LydiaSyombua6 күн бұрын
Team strong nipitieni tugrow woteeee ❤❤❤❤❤
@carolynekhavere83795 күн бұрын
Kenya imeboo kabisa heri kila mtu apate share yake tunayo kwengine I'm very tired
@strongwomanwithnoregret82345 күн бұрын
Jana kuna rafiki yangu amekuja saudi
@officialqrespect6 күн бұрын
Waaaaaa ,Kenya ni God tu 😢😢😢😢,si kuchomwa kwa mashule,accident ,kuliwa waaa nikubad
@lucythuo78476 күн бұрын
Hawa tatoto 70 wanakosekana waliuzwa Kuna ambulance zilikua zinaigia jkia Kuna pahali walipelekwa wenye wanafanya jb huku please tuabieni ukweli
@zittamwambanga876 күн бұрын
Zakayo can do anything juu anajuwa watu hawamtaki.
@Esendi5646 күн бұрын
Rutto uluminati kbs ss anataka watu walipe aje taxis yy ni doo alikuja kufanya doo juu akuna kitu amefanya tangu aingie kwa kiti mojiga kbsa
@maryachieng16656 күн бұрын
😢😢😢😢
@LucyWambui-qr1pw6 күн бұрын
Mungu wangu kenya inaelekea wapi😭😭😭😭
@RayMah-px8ql6 күн бұрын
Huyo ruto hakuna mchawii anaeza yy kwanii😢😢😂😂 hizo n gani
@MaryClement-gq3se6 күн бұрын
Naona kenya wanaanza maandamano😂😂😂
@presenternathan94906 күн бұрын
Zinapaa chini ndege sio
@lucykungu31146 күн бұрын
Na wahindi wote warudi india kaa baya
@ChristineMuinde-fq2jo6 күн бұрын
Kwani wenye wameuziwa watakua wanafugia kuku au sio
@conniekerubo83256 күн бұрын
Mybe watapomoa waweke project zingine
@DouglasOmwenga-t3h6 күн бұрын
Open your minds Christine
@JesicahMoraa6 күн бұрын
Ooh God aki zakayo ametumalisa kenya tunaenda wapi 😢😢
@JudithNgula6 күн бұрын
Lakini huyu Ruto ni mtu wa aina gani
@jacklinewahome24166 күн бұрын
Hana haja na Kenya.
@isagreg84826 күн бұрын
Mlimchagua wenyewe mkasema hamupangwigwi
@JudithNgula6 күн бұрын
Inawezekana ata hii Kenya Ruto Kashauza kitambo na sisi wakenya hatuna habari 😭😭