Pastor naomba uwapeleke kando kila mtu aongee shida zake harafu wafundishe jinzi ya kukaa na kuishi as a husband and a wife
@beatricenjeri5228Ай бұрын
Watu walienda church to find such drama..may the Lord have mercy.
@Infinix23-s4m2 ай бұрын
Ndoa bila mungu siwezi kusimams so nikutegemea mungu na mtaishi Kwa AMANI 🙏🙏🙏🙏
@lilianmbeyuАй бұрын
but why pastor asimsikize huyu mama,l feel her pain,wanaume ni waongo wamama tunapitia mengi😮😮
@OmaSamwel17 күн бұрын
Ma pastors wa siku hizi ni hot 🔥🔥🔥 sometimes utapata ni yy analibu hiyo family 😅😅😅
@lilianmbeyu17 күн бұрын
@@OmaSamwel haki
@beritahkhasiro7918Ай бұрын
Pastor should also meet the two husband and wife in his office privately, listen to them individually and then listen to them without bias and without other people listening in in order to bring forgiveness and reconciliation to this lovely couple.
@MaryannAlivitsaАй бұрын
Very true marriage issues should be solved in private place sasa tushajua alimletea ugonjwa wa zinaa too painful
@beritahkhasiro7918Ай бұрын
@@MaryannAlivitsa may GOD give wisdom to all the counselling teams. Mimi nikiwekwa on the spot hadharani hivyo I move out of there
@atienomarggyi6929Ай бұрын
But they know what to expect when they come to pastor
@daisykinyanjui339723 күн бұрын
Stage
@joelb.l719Ай бұрын
Hebu ohhh hebu Mungu wetu wahuzima na Rehema...this Pastor is so much filled with wisdom and bases on Biblical Truth. I pray all our Pastors are practical this way... families wouldn't have such issues 😢
@Esendi56Ай бұрын
😢😢😢😮😮😮😮😮😮😮ati wakuombee mua hane mungu awaunganishe vile mlikutana mkae pamija na awazingire na ndamu yk ndoa bila maonbi hiyo si ndoa
@AaAa-zo3yj2 ай бұрын
Niukweli pastor niombe ndoa yangu ipone kwa jina la yesu kristo
@helleni20452 ай бұрын
Katika jina la Yesu naomba ndoa yangu ipone, mzee wangu anikumbuke na akumbuke watoto wake in Jesus name Amen
@gbdb25202 ай бұрын
Kumbe tuko wengi wacha God atupiganie
@jentrisachieng25 күн бұрын
Pastor Gillack God bless you alot of wisdom
@noelatsole5552Ай бұрын
Many men,go through a lot in their marriages,God help this man and restore his life
@lilianmbeyu17 күн бұрын
@@noelatsole5552 what about women
@GeraldGichabaАй бұрын
@Gerry Gich i disagree with the Pastor to some extent. He cannot shame the lady that way without listening to her fully. Why condemn her that much? Deuteronomy 1:17
@beatricetsuma9096Ай бұрын
He should fully listen to both sides, akii and moreso pray for the couple and restore the marriage
@Kenyan-t2vАй бұрын
AMEN,pia ndoa yangu ipone Leo in Jesus name 🙏🏽
@danielkamau25542 ай бұрын
Wewe pastor skiza both sides hata mama anahaki ya kuongea don't fovor one side , and bring a solution , this woman has a pain , mine kumchapa that's is not good , ukiskia muke anasema bwana oa tena amefuka mwisho .
@cmg8683Ай бұрын
Ata kama ni ushauri kwa nini ifanyike kwenye umati ambapo ata watoto wachanga wanatazama, Theatrics in church will never end, this is not counseling, it’s intimidation and coercion at best, unless that pastor does a follow up, this will be a waste of time and embarrassment to the couple
@hildainziani7147Ай бұрын
Waaa huyu pastor anakosa wisdom kabisaaaa
@benjaminmusango1498Ай бұрын
God bless you man of God great work 2 empower couples.
@Ellenplaysroblox2 ай бұрын
Naomba mungu achiliya amani Kwa boss wangu roho ya hasira itoke kwao naomba kibali kwa nyumba hii nimalize Miaka yangu ni rudi kenya nikiwa mzima 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rispathequeen2 ай бұрын
Amen amen amen 🙏
@monicamamatimusicministr-oy4ywАй бұрын
Natakasa iyo nyumba kwa damu ya yesu pokea Aman kwa jina la yesu cristo
@joelb.l719Ай бұрын
😢 Such a lovely Pastor, beautiful congratulation and a family in love again... what's the name of this Pastor, please 🙏
@ryan0088Ай бұрын
Pastor Gillack
@Esendi56Ай бұрын
Ukiona mama ameamua bwana achukue mwingine jus amepitia mengi😅😅😅😅
@edinahkerubo6628Ай бұрын
If marriage is not working the best thing is to go & move on with new life
@Clipalert-ft2vjАй бұрын
True hii mambo ya kulazimishana mwishoe watu wanauwana
@JaphetKombe-kr8scАй бұрын
Makanisa siku hizi imekuwa n mahali pa biashara hakika Mungu asaidie makanisa yote ya Newlife
@angelakinyumu2482Ай бұрын
Nonsense,,,i cannot toralate man beating me and ending in hospital😢😢😢pastor na bado unateseka,,never😊
@JoanNyaboke-d3qАй бұрын
Pls kesi zingine wacha kupelekea pastor just kneel down and tell your God
@beatriceolo1222Ай бұрын
Pastor ako sawa , si wamama tunakuanga na shida sana, kama Bwana atachukua ingine si ata parara, acha hiyo mdomo yake tuu
@MamaDee-D2 ай бұрын
Naomba uombee family yangu na watoto wangu wapate nyota ya masomo yao
@jullientministries83512 күн бұрын
Jamani mchungaji ungetulia kidogo umskize huyu mama kisha uwaite kando ujaribu kusaidia ila sio kuegemea upande mmoja....hivi ndio akina mama huletewa magonjwa kwa ndoa
@magdalenekoki21 күн бұрын
Na iwe hivo kwa mume wangu mbaluka in Jesus name
@Elizabeth-u5k1k2 ай бұрын
Pastor mwenyezi mungu akubariki maana kama akialibu ndoa ya kwanza ata ya pili hivyo hivyo mungu awasaindie watunze watoto in jesus name
@AndrewKayago2 ай бұрын
Good work pastor wisdom
@HarrisonMutethia-v9uАй бұрын
Postor ushauri unaotokana na mungu wafaa uwaite mkutano wao wawili uwashauri
@MaureenAteya21 күн бұрын
Mungu naomba unifungue Nami ndoa yangu ipone
@lucymiriti802227 күн бұрын
Huyu pastor mbona hamsikizi huyu mama? She said the truth. Ondokea hizo stress mama. Your life is more important
@LydiahKemuma-c3v2 ай бұрын
Mume wangu afunguliwe kutoka kwa madeni,ndoa yetu ikombolewe kwa sababu ya imedidimia.Ikombolewe katika jina la Yesu
@GraceGichia-b2x20 күн бұрын
Ukiona pastor mwenye hataki kuskiza side zote2 hikosi ata yeye ako na kampango kaside.
@EstherCheruiyot-l6yАй бұрын
Pastor pray for my son and wife they are passing through a lot in life
@j.muturitv8501Ай бұрын
Pastor is right huyu mama is not wise and entertains to negative talks she has an infection hajui kuonga awache kuekelee bwana
@abrahamotienojuma6910Ай бұрын
I Agree with you pastor
@teresaliruma4218Ай бұрын
May God bless pastor Gillack
@Annabelle-z7uАй бұрын
Great preaching ❤
@teresakirsch5693Ай бұрын
Pastor your jughment was not fair, you are not listening to both ! You are so fast to conclution they both need councelling.
@alexsaidi3940Ай бұрын
Apa pastor still the lady is nt free has just accepted bcz you are her spiritual father..she has something to speak call them after the service
@noraonoka8804Ай бұрын
Very true and she has pain in her heart.
@RuthMaina-ox8sb2 ай бұрын
Pastor niombee ndoa yangu ipone bwanangu aachane na mkw Evelyn aangamizwe na kunguni na maradhi alazwe hospitali na asipo surrender afe.
@wachekegathogo264Ай бұрын
Shame on you???huwezi jiombea ama mungu haezi skia Yako?enda shakahola
@womeninunity1755Ай бұрын
Why don’t pastor go to their house and talk to them The way pastor is doing it it’s not fair on them Please remember the family in your prayers I do feel for my sister ❤
@jentrisachieng25 күн бұрын
New life prayer center and church huwa hawafanyi mkutano ya kando
@NaomMongumbu17 күн бұрын
Amen amen amen
@EmilyKerebi-h5xАй бұрын
Pst bwana yangu alienda akaniajia watoto,,,naomba uniombed arudi Niko nairobi
@lenahnyongesa20592 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@dawni9464Ай бұрын
Ama anakubali wawachane na bwana juu bwana amemjeruhi roho ya mama sana kukuwa na kupendana na WA awake wengine. Na huyu Pastor ataki kumsikiza huyu mama. Anamurisha tu.
@sisterolivia98742 ай бұрын
They need cancelling pastor!
@teresakirsch5693Ай бұрын
Very true, the oastor is not good in councelling, he should send them to a professional, even you dont force issues !
@Esendi56Ай бұрын
Mungu tulinde na utuzingire na ndamu yk madui na wachawi wapitee njia na kuona
@maryaugustor698329 күн бұрын
Huyu mwanamke Hana adabu mbele za watu unamwaibisha mbele za watu hii inaonwa Dunia mzima.
@magdalenekoki21 күн бұрын
Ameeeeen
@MaureenAteya21 күн бұрын
Naiwe hivyo kwangu pastor leo wakikutana wapingane
@AgnesBiyogo15 күн бұрын
Ameeen
@victorianganga421128 күн бұрын
Ako na sinda nyingi Sana mama
@BoySamwelАй бұрын
Pastor Ur wiser
@NelsonKelly-p3vАй бұрын
Ndoa yangu ipone Frida hajilo Lucas mke wangu tuishi Kwa amani
@ryarya4279Ай бұрын
Bwana wango an wesha Mimi wawutoto akuna kusadiya at kilaki too mi musenero lilian bwan anayitwa mulyasingo valatin mi toka uganda taka mawobi
@Caroline-iz1seАй бұрын
God bless you man God❤❤❤❤
@marymuhonza4208Ай бұрын
Naombea watoto wangu wawe settled kwa ndoa in Jesus Name
@JenniferNdunge-o2mАй бұрын
Mungu niondolee roho ya talaka
@NancyKemunto-hq4zuАй бұрын
Amen 🙌🙌🙌🙌 ndoa yangu ipone leoo😊
@ayuma47472 ай бұрын
Waaah... Mengine ni wisdom tuu.
@MableGayiАй бұрын
Niombee dadangu apone katika jina la yesu
@Esendi56Ай бұрын
Mko na church na mnatukana😢😢😢😢😢😢😢😢 spirit ya ushetani iwaondole
@millicentakoth8326Ай бұрын
Inafaa asikize both sides anaegemea mwanaume sana
@mercympole8625Ай бұрын
Amen
@RayN-uu6ixАй бұрын
No privacy, pastor you should speak to them only. You are embarrassing them
@Catherine-u2c26 күн бұрын
Bt it's true huyu mama hana uchungu ya ndoa
@stephenmacharia3968Ай бұрын
Leo nimecomment kwa hii paster amesema vizuri tulia kwa doa
@Irine-ei9ec2 ай бұрын
Pia yangu ipone
@victorianganga421128 күн бұрын
Kwanini husikisi mama
@hildamuriungi4828Ай бұрын
The church must repent pastors are taking the church to hello. Let us teach the sheep of christ the way to pray and walk righteous before GOD. Hii cinema kwa kanisa hapana... Messiah must come to reward everyone accordingly. Please let us repent . Did JESUS ask these evil satanic questions kindly
@Ezekiahmosagwe2 ай бұрын
Amen paster
@atienomarggyi6929Ай бұрын
People come here at the last minute when they have been everywhere else
@gracepittman1985Ай бұрын
Kwa nini huyu Pastor anamk3mea kwanamke lakini hamkemei huyu mwanaume kwa ajili ya mambo yake ya uzinzi na wanawake wengine. Na amemletea huyu mama ugonjwa kwa ajili ya kwenda nje ya ndoa.
@johnck5269Ай бұрын
Hajamkemea, anakemea the route course of the problem,,simu ya bwana achana nayo,kamukunji ya muchene epuka na ukuwe busy,, familia itasimama
@Breakthrough-jl2gbАй бұрын
@@johnck5269Nonsense. Two become one, but phone is not part of the oneness
@gracepittman1985Ай бұрын
@johnck5269 Ana ubaguzi huyu sababu na yeye ni mwanaume. Hakuna cha unaguzi kwa Mungu. Mwanaume ni kichwa nyumbani kwake. Kama yeye mbovu na familia yake itakuwa hivyo. Huyu mwanamke siyo mwanzolushi wa uovu ni mume wake. Kama kichwa kibaya na mwili wote utakuwa mbaya. Afamu na Eva. Mungu alitoa amri kwa Adamu aside Sunday la katikati ya bustani wakati Eva hajatolewa ubavuni mwake. Alipokuja Eva adamu ndiye aliyemqambia alivyosema Mungu. Je Adamu alikuwa wapi wakati Eve anao gea na nyoka mpaka akadanganywa? Na alipoulizwa na Mungu badala ya kumwomba msamaha akaanza kumlaumu Mungu kwa kumpa huyo mke. Na hwakuwa uchi alipokula Eva, ila alipokula Adamu ndipo wakawa uchi, kwa nini? Ni kwa sababu Adamu alikula kwa makusudu huku akijua Mungu amekataza, ila Eva alidanganywa. Je aliye na kosa kubwa hapa ni nani? Ni Adamu. Mungu alisema naye uso kwa so. Eve alidanganyika sabau hakuqepo katika mazungumzo ya Mungu na Adamu. Adamu ni kichwa cha Eva kilipoharibika Eva naye akaharibika. Mwanaume ni chanzo cha uovu katika ndoa. Hajui kuishi na mke kwa hekima. Mke hawezi kumheshimu mume anayemdhalilisha mbele za watu au kupigpiga, nyumbani na kumtukana na kumwamrisha Kama kwamba yeye ni bosi wake au mtumwa wake. Hiyo heshima anayoitafuta hataipata kamwe. Abadilike na mke atamheshimu
@mercyalliswellinjesusnamek409Ай бұрын
GOD have Mercy😢
@Chr196Ай бұрын
Pokeeni Amani katika ndoa yenu kuanzia sasa katika jina Yesu Kristo Amina.
@princemozes9923Ай бұрын
👍👍👍👍👍👍
@MamaDee-D2 ай бұрын
Naomba uniombee mtoto wangu aliye poteya arud nyumban amepotea toka tarehe 15 06 24
@estherwaruinunjoroge1598Ай бұрын
Aki huyu pastor hana hekima ya kusimamishe ndoa za waumini wake.
@irinemosati55572 ай бұрын
Kweli pasipo yesu ndoa ni ngumu.Naomba ndoa yangu ipone pia.
@LenaAbuga2 ай бұрын
Pastor ombea bwana yangu awachane na mwk Alice na mchawi wake Na wapigwe na maradhi makali walazwe hosipitalini na wakufe
@rosewoiemitau8376Ай бұрын
Huyo mwanaume anakaa mkora
@wachekegathogo264Ай бұрын
Woooi ameanikwa kwa kanisa.ata huyu pastor
@JanepherMakokha-uy6bo2 ай бұрын
Pastor niombee koo inaniuma nipate kupona
@restutachari98252 ай бұрын
I think pastor ungesikiza both side huyu mama anayapitia so she needs counselling hapa hakuna cha musamaha hiii ziii this woman she's in pain so kishonono mtu haezi jiletea ameletewa
@teresakirsch5693Ай бұрын
Hes not listening to the Woman, i wouldnt go to a coucellor whos one sided !
@Wakiuru-bb1hsАй бұрын
This mchungaji is nonsensical...anakaa msherati yeye mwenyewe
@annndirangu9536Ай бұрын
Mama haskizwi,😢😢
@annndirangu9536Ай бұрын
Nikiwa huyu mama siwezi ngoja tumalize 😅😅
@roselineodanga6748Ай бұрын
Wangesikiza huyu mama haki
@janemuthoni584Ай бұрын
Yesu nifunze kunyamaza especially hapa….lakini ponya wawili
ndoa ni mungu anaJenga na Sisi wanawake tueshimu wanaume zetu na wanaume zetu watupende pia upendo hauchoki ama hauesabu makosa
@marynasim2615Ай бұрын
But napenda huyu mwanaume side ingne😢😢
@ba-jubiinvestmentsltd187Ай бұрын
Pastor hapo sioni sawa judgement juu huyu mwanaume amemletea bibi yake ugonjwa??what good thing can she find in this man Kwa ukweri.mama let him marry if he wants and let God heal her away from him
@ba-jubiinvestmentsltd187Ай бұрын
Pastor dig further truth rather than inside the church.. visit this family there much more than this
@Lifewithsharleen2 ай бұрын
Why is the pastor blaming the lady kwa cheating yabhuyu jamaa🤔.analeta ata kisonono
@restutachari98252 ай бұрын
My quiz too
@evelynekerubo444Ай бұрын
This is so unfair for this woman. they came for a solution and they're going home without any. May The lord help us
@annwanjiru8242Ай бұрын
Maybe ni kakara.utaongea hivi mbele ya watu na mama anakubali waachane
@naomiluseka87362 ай бұрын
Itabidi mkue na mtu waku sanitize masimu hapa sasa🤣🤣🤣🤣